Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page54/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   50   51   52   53   54   55   56   57   ...   206

3.4.1.4 Kuwa na shauku


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na shauku.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na shauku ya jambo au kitu fulani?

be interested in, show interest, express interest, find something interesting, take an interest in, be curious about,

(2) Maneno gani hutaja hisia za shauku?

interest, curiosity,

(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye shauku?

interested, curious,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu fulani kuwa na shauku?

interest, get someone interested, entertain, stimulate, stir, appeal to, attract someone's interest, attract someone's attention, interestingly, hold your attention, rekindle interest, revive interest,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo ni la kuvutia?

interest, curio, attraction, entertainment,

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anavutia au anafurahisha?

interesting, colorful, a character, entertainer,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni la kuvutia au kufurahisha?

interesting, be of interest, entertaining, lively, stimulating, stimulation, unusual, have character,

(8) Maneno gani huelezea muda ambao jambo la kuvutia au kufurahisha linatokea?

interesting, eventful, colorful, never a dull moment,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kupendelea zaidi jambo au kitu fulani?

get interested, become interested, get into,

(10) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kupunguza kupendelea au kuvutiwa na jambo au kitu fulani?

lose interest,

(11) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo au kitu fulani kiwe zaidi cha kuvutia au kufurahisha?

make something more interesting, liven up, jazz up, add variety,

(12) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani kila mara kwa sababu unavutiwa na hilo jambo?

follow (a sport), be into, take something up,

(13) Maneno gani hutaja jambo unalofanya kwa sababu unalipendelea au unavutiwa na jambo hilo?

hobby, interest, recreation,

3.4.1.5 Kujiamini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kujiamini--yaani kuwa na uhakika kwamba unaweza kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujiamini?

feel confident, sure of yourself, think positively, secure in yourself

(2) Maneno gani hutaja hisia za kujiamini?

confidence, morale, positive thinking,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajiamini?

confident, assured, self-assured, assertive,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajiamini kupita kiasi?

overconfident,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujiamini?

encourage, boost someone's morale, raise someone's confidence,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujiamini?

encouragement, boost, morale raiser,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujiamini?

encouraging,

(8) Maneno gani hutaja hali ya kujiamini zaidi?

your morale rises

(9) Maneno gani hutaja hisia za kujiamini kupungua?

demoralize, shake someone's confidence, lose confidence

(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hajiamini?

insecure, unsure of yourself

3.4.1 Kuhisi vizuri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yahusianayo na hisia nzuri (au msisimko mzuri).

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri

feel good, feel up,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia nzuri au msisimko mzuri?

good feelings, positive emotions, good attitude,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejisikia vizuri au mtu mwenye hisia nzuri?

up, high,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia nzuri sana au msisimko mzuri sana?

exhilarated,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na msisimko mzuri kwa muda mrefu?

happy,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kuwa na hisia nzuri?

cheer, hearten, entertain, brighten your day,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husabaisha mtu kuwa na hisia nzuri?

cheerful (thought),

3.4 Hisia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida ambayo yanahusiana na hisia na mihemuko.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kupata hisia ya jambo fulani?

feel, experience,

(2) Maneno gani hutaja sehemu ya mtu ambayo inamsababisha kuhisi hisia zake?

moyo, hisia za moyoni, msisimuko

(3) Maneno gani hutaja hisia?

feeling, emotion, sentiment,

(4) Maneno gani huelezea hisia?

heart-felt, strong, powerful, deep, shallow, passing,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi jambo fulani sana?

be gripped by,

(6) Maneno gani hutaja hisia zenye nguvu?

strong feeling, strong emotion, passion,

(7) Maneno gani humwelezea mtu aliye na hisia zenye nguvu?

msisimuko, jazba kali, kujisikia shauku, mkuto, yenye mhemuko, yenye tabia ya kuvutwa kwa urahisi, kuona furaha, kukunjamana (kwa uso), kupanda (kwa jazba)

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia na jambo fulani kwa muda mrefu?

attitude, mood, state of mind, frame of mind, spirits, morale,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kuwa na hisia na jambo fulani?

make you feel, stimulate, stir, arouse, raise, touch,

(10) Maneno gani hutaja jambo ambalo linasababisha mtu kuwa na hisia na jambo fulani au kitu fulani?

stimulation,

(11) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo husababisha mtu kuwa na hisia na jambo fulani au kitu fulani?

stimulating, rousing, touching, emotional,

(12) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo fulani kuonyesha hisia?

emote, express, show, act out, display,

(13) Maneno gani humwelezea mtu ambaye haonyeshi sana msisimuko?

bila msisimuko, bila kujisikia, kutokuhisi, baridi, bila kuona furaha, bila kuonyesha furaha, pasipo huruma, mkali, mkorofi, mkatili, kutokujali (hisia za) wengine, mpole, mtulivu, mkimya

(14) Maneno gani hutaja hali ya kutawala hisia zako?

control yourself, self-control, restrain yourself, restraint, contain yourself, keep your temper,

(15) Maneno gani humwelezea mtu mwenye mihemuko yenye nguvu sana na anashindwa kujitawala?

hysterical, have hysterics, go to pieces, fall apart, break down, have an emotional breakdown, go berserk, snap, crack, crack up, give in to, get carried away, have a fit,

(16) Maneno gani hutaja hali ya kutawala hisia zako tena baada ya kushindwa kujitawala?

snap out of it, get a grip on yourself, pull yourself together,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   50   51   52   53   54   55   56   57   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page