Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page132/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   128   129   130   131   132   133   134   135   ...   206

6.6.7.3 Kuzuia maji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzuia maji.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuachisha maji yanayotiririka?

dam, block, stop up, divert, dike, flood control

(2) Maneno gani hutaja bwawa linalotumika kwa ajili ya kuachisha maji yanayotiririka?

dam, dike, levee

6.6.7.4 Kufanya kazi baharini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi baharini.

(1) Kazi gani hufanyika baharini?

growing seaweed, scuba diving, pearl diving, offshore drilling, fishpond

6.6.7 Kufanyia kazi maji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanyia kazi maji.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchimbia kisima?

dig (a well), drill (a well), sink (a bore hole)

(2) Maneno gani hutumika katika utunzaji wa maji au akiba ya maji?

reservoir, cistern, water tank, water barrel, bucket, jerry can, water tower

(3) Maneno gani hutumika katika utaratibu au mfumo wa kuwasilisha maji?

canal, water-way, navigation channel, lock, dock

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutumia nishati ya maji?

water-power, water mill, water-wheel

(5) Maneno gani hutumika katika tendo la kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya maji?

dam, hydroelectric power plant, electric generating plant, dynamo

(6) Maneno gani hutumika katika tendo la kutoa au kuondoa maji kutoka katika kitu fulani?

sieve, drain, press, extract, strain

6.6.8.1 Kufanyia kazi umeme


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanyia kazi umeme.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanyia kazi umeme?

electrical work

(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na umeme?

electrician

(3) Maneno gani hutaja umeme?

electricity, electric, electronic, positive, negative, terminal, socket, plug, wire, power, pole, transformer, hydroelectric

(4) Maneno gani hutaja betri?

battery,

6.6.8 Kufanyia kazi mashine


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanyia kazi mashine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanyia kazi mashine?

manufacturing, operate

(2) Maneno gani hutaja mashine?

machine, machinery, hardware, computer

(3) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na mashine?

mechanic, machinist, operator, engineer

Page

6.7.1.1 Zana za kutobolea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kutobolea--yaani zana zinazotumika kutoboa mashimo au matundu katika kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja zana zinazotumika katika kutoboa mashimo katika vitu fulani?

awl, drill, punch, pin

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?

poke, dig, jab, pierce, prick, stick

6.7.1.2 Zana za kuchimbia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kuchimbia.

(1) Kuna aina gani za zana za kuchimbia?

hoe, pick, shovel, spade

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?


6.7.1 Zana za kukatia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kukatia.

(1) Kuna aina gani za zana za kukatia?

knife, paring knife, butcher knife, jackknife, pocketknife, hunting knife, ax, hatchet, saw, blade, razor blade, scissors, wire-cutters

6.7.2 Zana za kutwangia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kutwangia.

(1) Kuna aina gani za zana za kutwangia?

hammer, mallet, club, pestle

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?

pound, hit, smack, club

6.7.3 Zana za kubebea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kubebea.

(1) Zana gani hutumika katika kubebea vitu?

pole, pack, backpack, suitcase, case, briefcase, sling, stretcher, tray, grass ring for head, carrying basket for back, rope, string, liana

(2) Maneno gani hutimika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?


6.7.4 Zana za kuinulia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kuinulia.

(1) Zana gani hutumika katika kuinua vitu?

lever, pulley, block and tackle

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?


6.7.5 Zana za kufungia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kufungia.

(1) Maneno gani hutaja kitu fulani kinachotumika katika kuunganisha vitu?

adhesive, band, belt, binder, binding, bolt, bond, brace, bracket, brad, buckle, button, cable, cement, chain, cinch, clamp, clasp, clip, clothespin, cord, cotter, coupler, dowel, fastener, fastening, fetter, glue, gum, guy, handcuff, hasp, hemp, hinge, hitch, hook, knot, lace, lacing, lariat, lashing, lasso, latch, line, linkage, lock, loop, manacle, mooring, nail, nut, padlock, paste, peg, pin, safety pin, straight pin, plaster, putty, rivet, rope, screw, shackle, shoelace, shoestring, snap, solder, staple, stay, stitch, stocks, strap, string, tack, tape, thong, thread, thumbtack, truss, twine, wedge, wire, wrap, wrapping, yarn, zipper

(2) Maneno gani hutaja zana zinazotumika katika kuunganisha vitu?

screwdriver,

6.7.6 Zana za kushikilia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na zana za kushikilia--yaani zana zinazotumika katika kushika na kukaza vitu ili visisogeze, na zana zinazotumika katika kushika vitu ambavyo huwezi kuvishika kwa mkono (k.m., vitu vya joto sana).

(1) Zana gani hutumika katika kushikilia vitu?

clamp, vise, pliers, tongs, tweezers, hot pad,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   128   129   130   131   132   133   134   135   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page