Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page133/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   129   130   131   132   133   134   135   136   ...   206

6.7.7.1 Mfuko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mifuko.

(1) Maneno gani hutaja mifuko?

bag, purse

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?


6.7.7.2 Ala ya kisu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ala ya kisu--yaani chombo au kopo la silaha.

(1) Maneno gani hutaja ala?

sheath, holster

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?


6.7.7 Chombo, kopo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na makopo au vyombo.

(1) Maneno gani hutaja kopo au chombo?

container, vessel, bowl, pot, receptacle, bottle, box, crate, barrel, bucket, can, case, suitcase, chest, chamber pot,

(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea matendo ambayo zana hizi zinafanya?

contain, hold, carry

(3) Maneno gani hutaja kilichomo kwenye kopo au chombo?

contents

(4) Maneno gani hutaja sehemu za kopo au chombo?

lid, lip, neck

6.7.8 Sehemu za zana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu za zana au mashine. Fikiria zana na mashine mbalimbali na kila sehemu ya kila zana na mashine.

(1) Maneno gani hutaja sehemu za zana?

shaft, head, gear, lever, fulcrum, switch, key, spring

(2) Sehemu za kisu ni zipi?

handle, hilt, guard, blade, edge, tip, back, flat

(3) Sehemu za nyundo ni zipi?

handle, neck, head, claw

(4) Sehemu za msumeno ni zipi?

handle, blade, teeth

6.7.9 Mashine, mtambo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mashine au mitambo.

(1) Maneno gani hutaja mashine au mitambo?

machine, mechanics, machinery, apparatus, engine, motor

(2) Maneno gani hutaja aina za mashine au mitambo?

pump, generator, grinder, mill, computer,

(3) Maneno gani hutaja mitambo au mashine zinazotumika nyumbani?

appliance, refrigerator, stove, oven

(4) Maneno gani hutaja mtambo au mashine ikifanya kazi?

be on, run, operate, work

(5) Maneno gani hutaja wakati mashine haifanyi kazi?

be off, break down, broken

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuwasha mashine au mtambo?

start, turn on, switch on, ignition

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuzima mashine au mtambo?

stop, turn off, shut down

6.7 Zana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida kwa vifaa, zana na mashine, kwa jumla. Maeneo ya maana yaliyomo kwenye sehemu hii yatumike kwa vifaa na mashine ya kawaida au ya jumla zinazotumika kwa kazi mbalimbali. Vifaa au mashine maalumu ziingizwe kwenye eneo la maana linalohusu kazi ambayo inatumia kifaa au mashine ile.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vifaa au zana, kwa jumla?

tool, implement, utensil, device, instrument, gadget, hardware, paraphernalia,

(2) Maneno gani hutaja seti au kundi la vifaa au zana?

kit, tool kit

(3) Maneno gani hutaja chombo au sanduku la vifaa au zana?

toolbox, tool cabinet

(4) Vifaa gani hutumika katika kupanda mlima?

ladder, stepladder, rope ladder, rung, step,

(5) Maneno gani hutaja vifaa vyote na vitu vingine vinavyohitajika kwa kazi fulani?

equipment, apparatus, gear, kit, things, stuff, tools,

Page

6.8.1.1 Kumiliki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumiliki kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumiliki kitu fulani?

own, possess, have, belong to

(2) Maneno gani humtaja mtu anayemiliki kitu fulani?

owner,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kudai kitu fulani ni cha kwako?

call, claim, have dibs, lay claim to, stake a claim

6.8.1.2 Mtajiri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtajiri.

(1) Maneno gani hutaja kuwa mtajiri?

be wealthy, be rich, rich person, the rich, the wealth, the upper class, live comfortable, be well-off, well-to-do

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mtajiri?

rich, wealthy, affluent, prosperous, well-off, privileged,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mtajiri sana?

fabulous wealth, filthy rich, millionaire, billionaire

(4) Maneno gani humtaja mtu aliye na ya kutosha lakini siyo mtajiri wala maskini?

middle class, bourgeois

6.8.1.3 Maskini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa maskini.

(1) Maneno gani hutaja kuwa maskini?

be poor, be below the poverty line, hardship case

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni maskini?

poor (person, man), destitute (person), needy, bankrupt, broke, needy, underprivileged, impoverished,

(3) Maneno gani hutumika kwa umaskini mkali sana?

destitute, abject poverty, owns nothing but the clothes on his back

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa maskini?

poverty,

(5) Mtu ambaye ni maskini anaitwaje?

poor person, tramp, bum, hobo, beggar, homeless person

(6) Watu ambao ni maskini wanaitwaje?

wamaskini

6.8.1.4 Kuweka akiba ya mali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na akiba ya mali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka akiba ya mali?

store, put it away, stash it away

(2) Maneno gani hutumika katika kudunduiza utajiri, yaani kuweka kidogo kidogo pembeni?

save, invest

(3) Mali iliyowekwa akiba inaitwaje?

wealth, savings, investments

(4) Akiba ya mali inawekwa wapi?

benki, akaunti



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   129   130   131   132   133   134   135   136   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page