Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page71/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   67   68   69   70   71   72   73   74   ...   206

3.6.3 Somo la kufundishia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na somo ambalo linafundishwa au somo ambalo unasoma au unajifunza shuleni.

(1) Maneno gani hutaja somo linalofundishwa?

mada, fundisho, somo

(2) Maneno gani hutaja masomo yote ambayo unajifunza au unasoma shuleni?

course, syllabus, curriculum,

3.6.4 Darasa, kipindi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na darasa--yaani kipindi ambacho somo linafundishwa.

(1) Maneno gani hutaja darasa au kipindi shuleni?

class, lesson, period, session, lecture, seminar, tutorial, course,

3.6.5 Kusahihisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusahihisha makosa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusahihisha makosa?

kurekebisha, kusahihisha, kukosoa, kuhariri, kusimamia kazi ya uhariri, mhariri, kushutumu, shutuma, kulaumu, kukaripia, kukemea, karipio, kemeo, kuadhibu, kuadhibisha, adhabu, kutekeleza adhabu, kutimiza adhabu, adhabu ya viboko, nidhamu, mdhibiti nidhamu

3.6.6 Sayansi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sayansi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sayansi kwa jumla?

science

(2) Maneno gani hutaja tawi fulani la sayansi?

hisabati, hesabu, maumbile, falaki, majusi, mwanafalaki, kifalaki, elimu ya sayari, elimu viumbe

(3) Maneno gani hutaja tendo la kujifunza au kusoma kuhusu ulimwengu wa asili?

physics, chemistry, natural science, physical science,

(4) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa anga?

astronomy, astrology,

(5) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa ardhi?

geology,

(6) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa maji?

hydrology, oceanography,

(7) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa viumbe hai?

biology, ecology

(8) Maneno gani humtaja mtu anayesoma sayansi?

scientist

3.6.7 Mtihani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtihani.

(1) Maneno gani hutaja mtihani?

test, exam, examination, quiz

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufaulu mtihani?

pass, fail

(3) Maneno gani hutaja maksi unazotolewa katika mtihani?

grade, score, mark, results

(4) Maneno gani hutaja mwalimu anapopanga au kuweka maksi kwenye mtihani?

grade, mark

3.6.8 Jibu katika mtihani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanahusiana na jibu la swali katika mtihani.

(1) Maneno gani hutaja jibu la swali katika mtihani?

answer, result, solution

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutoa jibu katika mtihani?

answer

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutafuta au kupata jibu?

solve, work out

3.6 Kufundisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufundisha.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufundisha?

teach, educate, instruct, lecture, edify, tutor, coach, inform, indoctrinate, infuse, instill,

(2) Maneno gani humtaja mtu anayefundisha?

teacher, tutor, lecturer, professor, coach, trainer, faculty, educator,

(3) Maneno gani humtaja mtu aliyefundishwa?

pupil, student,

(4) Maneno gani hutaja kile kilichofundishwa?

teaching, subject, education

Page

3 Lugha na wazo


Tumia eneo la maana hili (Lugha na wazo) kwa maneno ya kawaida yanayotaja shughuli za kiakili na kimaneno kwa jumla. Kimsingi eneo hili la maana ni kwa ajili ya kuweka katika makundi maneno yanayofanana. Kwahiyo, labda hakuna neno la jumla katika lugha ambalo linaweza kutumika kwa kuleta maana pana zaidi ya neno linalozungumziwa.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja shughuli za kiakili na kimaneno kwa jumla?

psychology, life of the soul

Page

4.1.1.1 Mpenzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mpenzi--awe wa kike au wa kiume.

(1) Maneno gani humtaja mpenzi?

girlfriend, boyfriend, partner, lover, mistress, old flame

4.1.1 Rafiki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na urafiki.

(1) Maneno gani hutumika katika kuelezea uundaji wa urafiki?

kujenga urafiki, kufanya urafiki na, kupata kuwa marafiki

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa marafiki?

kuwa marafiki na

(3) Maneno gani hutaja urafiki wenyewe hasa?

urafiki

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye ni rafiki?

rafiki, mwenzi wa moyoni, mpenzi

(5) Ishara za urafiki zinazoonekana ni zipi?

kushikana mikono, kuonyesha upendo, kuwa pamoja, kufanya vitu pamoja, kushirikishana, kutoa zawadi

(6) Maneno gani huelezea urafiki?

intimate, intimacy, close, deep, long-standing, old friend, improper

(7) Maneno gani huelezea urafiki ambao umekwenda vibaya?

uhusiano umevunjika, urafiki umevunjika, uhusiano wenye matatizo, kutokuelewana

4.1.2.1 Mahusiano ya kikazi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahusiano kati ya watu wanaofanya kazi pamoja.

(1) Maneno gani hutaja mahusiano kati ya watu wanaofanya kazi pamoja?

working relationship, affiliation, association, partnership

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha husiano la kikazi?

form an association, form a partnership

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuhusiana na watu wengine kazini?

affiliate with, partner with, work with, work together, collaborate

(4) Maneno gani humtaja mtu mnayefanya kazi pamoja naye?

associate (n), partner, coworker, colleague, collaborator, fellow worker, affiliate

(5) Maneno gani hutaja kundi la watu wanaofanya kazi pamoja?

partnership, association, office, working group



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   67   68   69   70   71   72   73   74   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page