Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page72/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   68   69   70   71   72   73   74   75   ...   206

4.1.2 Aina za watu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja aina mbalimbali za watu.

(1) Maneno gani huwataja watu wa kike na wa kiume?

man, woman, boy, girl

(2) Maneno gani huwataja watu wenye umri tofauti tofauti?

mtoto mchanga, mtoto, kijana, mtu mzima, mzee

(3) Maneno gani huwataja watu wa jamii au mbari tofauti?

Mwafrika, Mzungu, Mhindi, Mwarabu, mwekundu, mweusi, mweupe

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye ana wazazi wa jamii, mbari au taifa tofauti?

half-breed,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye ana wazazi wa jamii, mbari au taifa sawasawa?

full-blooded,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayelihusu kundi lenu?

one of us, one of our own, one of ours, insider, friend

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye halihusu kundi lenu?

foreigner, stranger, enemy, foe

4.1.3.1 Kukutana kwa mara ya kwanza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukutana na mtu fulani kwa mara ya kwanza.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukutana na mtu fulani kwa mara ya kwanza?

kumtambulisha mtu, kujitambulisha, kutambulishana, kutambulishwa kwa mtu fulani, kujulishana, kujulishwa kwa mtu fulani

4.1.3 Kumfahamu mtu fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kumfahamu mtu fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumfahamu mtu fulani?

know someone

(2) Maneno gani hutaja hali ya kumfahamu mtu fulani, lakini kutomfahamu vizuri?

know someone by sight, be acquainted with, be acquaintances, don't know well, we've met,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kumfahamu mtu fulani baada ya kumkuta kwa mara ya kwanza?

get to know, get acquainted,

(4) Maneno gani humtaja mtu fulani unayemfahamu, lakini si rafiki yako sana?

acquaintance, casual acquaintance

(5) Maneno gani hutaja tendo la kujua kuhusu mtu fulani ambaye bado hujamfahamu?

know someone's name, know of someone, have heard the name, have heard of someone, have heard about someone

4.1.4.1 Matabaka katika jamii


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na matabaka katika jamii.

(1) Maneno gani hutaja matabaka katika jamii?

class, caste, background, status, social standing, strata

(2) Maneno gani humtaja mtu anayelihusu tabaka la juu (k.m., tajiri)?

upper class, aristocracy, privileged, elite, titled, posh, your betters, rich,

(3) Maneno gani humtaja mtu anayelihusu tabaka la katikati?

middle-class, bourgeois, the bourgeoisie, white-collar

(4) Maneno gani humtaja mtu anayelihusu tabaka la chini (k.m., maskini)?

working class, lower class, the masses, blue-collar, humble, popular, underclass, your inferiors, poor,

(5) Maneno gani humtaja mtu anayelihusu tabaka sawasawa nawe?

peer

(6) Maneno gani hutaja tendo la kupanda kwenye tabaka la juu zaidi?

move up in the world, upwardly mobile, social climber

(7) Maneno gani huelezea jamii ambayo haigawanyiki katika matabaka?

classless

4.1.4 Jirani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja jirani--yaani mtu anayeishi karibu.

(1) Maneno gani humtaja mtu anayeishi karibu?

jirani

(2) Maneno gani humwelezea jirani mwema?

jirani mwema, jirani mkarimu

(3) Maneno gani huonyesha kwamba yule mtu anaishi jirani?

kuwa majirani, kuishi karibu, kuishi katika ujirani uleule, kuishi kwenye mtaa mmoja

(4) Maneno gani hutaja eneo linalozunguka nyumba yako?

ujirani, mtaa wetu, eneo la vyumba vya kuishi, mazingira, kitongoji chetu

4.1.5 Umoja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na umoja--yaani kundi la watu wanaokubaliana na hawapigani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya umoja wa kundi la jamii?

umoja, muungano, maungamano

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuungana kwa kundi moja la jamii au kati ya makundi ya jamii?

kuungana, kuunganika, kupatana, kuchangamana, kuunga mkono kwa, kuungwa pamoja, kufanya umoja

(3) Maneno gani huelezea kundi lililoungana?

kuunganika, isiyogawanyika, kuwa na nia moja, kusudi moja, yenye lengo moja tu, umakini katika lengo

(4) Maneno gani humwelezea mtu, nguvu au mvuto ambao huunganisha kundi?

inayounganisha, inayofanya kuwa pamoja

4.1.6.1 Mkimwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mkimwa--yaani mtu fulani ambaye hataki kuzungumza na watu wengine au kuwa rafiki nao.

(1) Maneno gani humwelezea mtu fulani ambaye ni mkimwa?

unfriendly, cold, inhospitable, hostile, antagonistic, give someone the cold shoulder,

(2) Maneno gani humwelezea mtu fulani ambaye hapendi kuwa tani, na anataka kuwa peke yake?

antisocial, standoffish, distant, aloof, dour, reserved

(3) Maneno gani huelezea husiano ambalo ni la ukimwa?

unfriendly, cool, strained, frosty, turn sour

(4) Maneno gani huelezea hali au mahali ambapo watu si marafiki?

unfriendly, unwelcoming, inhospitable, impersonal, forbidding

4.1.6.2 Kujitenga wewe mwenyewe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujitenga na wenzake na kutohusiana nao.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujitenga na wenzake na kutohusiana nao?

kujiweka pekee, kujitenga, kujiondoa, kufarikisha, kusitiri, kujiuzulu

4.1.6.3 Peke yako


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa peke yako.

(1) Maneno gani humwelezea mtu aliye peke yake?

alone, on your own, by yourself, unaccompanied, marooned, isolated

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu fulani peke yako?

all by yourself, single-handed, solo, in isolation, self-made

(3) Maneno gani humwelezea mtu fulani anayepitisha muda mwingi peke yake?

solitary, loner, recluse, keep to yourself

(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa peke yako?

solitude, isolation, solitary confinement, privacy

(5) Maneno gani humwelezea mtu aliye peke yake na anaona huzuni?

lonely, lonesome

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusikia ukiwa kwa sababu mtu fulani ambaye unampenda si pamoja nawe?

miss, want to see someone, feel lonesome, long for someone



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   68   69   70   71   72   73   74   75   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page