Page 8.4.1.1 Kalenda
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kalenda.
(1) Maneno gani hutumika katika kutaja kalenda au chapisho lingine linaloonyesha siku za mwezi na mwaka?
• calendar, pocket calendar, wall calendar, daily planner, schedule
(2) Maneno gani hutumika katika kutaja siku au tarehe fulani?
• date, January 1, 2000, 1-1-00, the first of January 2000
(3) Maneno gani hutumika katika kutaja mfumo wa kuhesabu miaka?
• calendar, Gregorian calendar, Julian calendar, BC (before Christ), AD (ad Domino), Christian era
8.4.1.2.1 Usiku
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja usiku.
(1) Maneno gani hutaja usiku?
• night, nighttime,
(2) Maneno gani hutaja usiku huu?
• tonight, this night,
(3) Maneno gani hutaja usiku wa jana?
• last night,
(4) Maneno gani hutaja usiku wa juzi?
• two nights ago, the night before last,
(5) Maneno gani hutaja usiku wa kesho?
• tomorrow night,
(6) Maneno gani huonyesha jambo linalotokea wakati wa usiku?
• at night, during the night, in the night, by night,
(7) Maneno gani hutumika katika kuonyesha kwamba kitu kinatokea kila usiku?
• nightly, every night, each night,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinatokea wakati wa usiku kucha?
• all night long, the whole night long,
8.4.1.2.2 Jana, leo, kesho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja siku zikihusiana--yaani siku ya leo na siku kabla yake na baada yake.
(1) Maneno gani hutaja siku moja ukilinganisha na siku zilizoitangulia na siku zilizokuja baada yake?
• leo, jana, juzi, majuzi, kesho, kesho kutwa, kesho yake, jana yake
8.4.1.2.3 Saa la siku
Use this domain for words referring to a time of the day.
(1) Maneno gani hutaja saa fulani la siku?
• time, hour, watch,
(2) Maneno gani hutaja pambazuko?
• dawn, sunrise, daybreak, aurora, cockcrow, dawning, sunup,
(3) Maneno gani hutaja wakati kati ya pambazuko na adhuhuri?
• asubuhi, dhuha
(4) Maneno gani hutaja adhuhuri au katikati ya siku?
• adhuhuri, saa sita mchana
(5) Maneno gani hutaja wakati kati ya adhuhuri na machweo?
• mchana
(6) Maneno gani hutaja machweo au kuzama kwa jua?
• sunset, sundown, twilight, dusk, nightfall, it gets dark, gloaming,
(7) Maneno gani hutaja wakati kati ya machweo na muda wa kulala?
• evening, early evening, late in the evening, tonight, eventide, vesper, late night,
(8) Maneno gani hutaja muda ambapo unaanza kulala?
• bedtime, time to go to sleep,
(9) Maneno gani hutaja katikati ya usiku?
• midnight, the middle of the night, pumpkin hour
(10) Maneno gani hutaja wakati kati ya katikati ya usiku na pambazuko?
• late at night, the early hours of the morning (2-4), the small hours, the wee hours of the morning, the first watch, the second watch
(11) Maneno gani hutaja wakati kabla ya pambazuko?
• alfajiri
(12) Maneno gani hutaja muda ambapo unaamka?
• time to get up,
8.4.1.2 Siku, mchana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja siku au mchana.
(1) Maneno gani hutaja siku au mchana?
• day, whole day, day and night, a day and a night, 24 hour day, 'morning, noon and night'
(2) Maneno gani hutumika katika kuonyesha kwamba kitu kinatokea kila siku?
• daily, every day, each day
(3) Maneno gani hutaja siku yoyote ya baadaye (na haijulikani itakuwa siku gani)?
• someday, one day, a certain day, the other day, some day in the future, one day long ago
(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinatokea wakati wa siku nzima?
• all day long, the whole day long, the whole day through,
(5) Maneno gani hutumika kwa wakati jua linawaka?
• day (as opposed to night), during the day, daytime, daylight, daylight hours
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja siku za wiki.
(1) Majina ya siku za wiki ni yapi?
• Sunday, Monday, Tuesday, Wednesday, Thursday, Friday, Saturday
(2) Maneno gani mengine hutumika kwa siku za wiki?
• first day of the week (Sunday), second day of the week (Monday), midweek (Wednesday), Sabbath (Saturday), the Lord's day (Sunday)
(3) Maneno gani hutumika katika kutaja siku zote za wiki pamoja?
• siku za wiki, siku za juma
8.4.1.3 Wiki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na wiki.
(1) Maneno gani hutaja wiki?
• wiki, juma
(2) Maneno gani hutumika kwa kuonyesha kwamba jambo hutokea kila wiki?
• weekly, every week, each week
8.4.1.4.1 Miezi ya mwaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na miezi ya mwaka.
(1) Majina ya miezi ya mwaka ni yapi?
• January, February, March, April, May, June, July, August, September, October, November, December
8.4.1.4 Mwezi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwezi.
(1) Maneno gani hutaja mwezi?
• month, this month, last month, next month, the months to come
(2) Maneno gani hutumika katika kuonyesha kwamba jambo hutokea kila mwezi?
• monthly, every month, each month
(3) Maneno gani hutaja vipindi vya mwezi?
• mbalamwezi, mwezi mchanga, mwezi mwandamo
8.4.1.5 Majira
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja majira za mwaka zinazohusiana na vipindi vya mwaka, hali ya hewa, au vipindi vya malimo.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja majira ya mwaka?
• season
(2) Maneno gani hutaja majira zinazohusiana na kipindi cha mwaka?
• winter, spring, summer, autumn, fall, holiday season, Christmas season, new year, midsummer, midyear,
(3) Maneno gani hutumika kwa sehemu ya mwaka wa shule?
• muhula
(4) Maneno gani hutaja majira yanayohusiana na hali ya hewa?
• majira, majira ya mvua, masika, kiangazi, kipupwe, vuli, majira ya mavuno, majira ya kuvuna, majira ya njaa
(5) Maneno gani hutaja majira yanayohusiana na kipindi cha malimo?
• planting season, growing season, harvest season, hunger season
Share with your friends: |