Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page67/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   63   64   65   66   67   68   69   70   ...   206

3.5.4.3 Kitendawili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kitendawili--yaani jambo fulani mtu analisema ambalo ni gumu kulielewa.

(1) Maneno gani hutumika kwa misemo mifupi au maswali ambayo yana maana ambayo mtu anatakiwa kuitegua au kutafuta jibu?

riddle, conundrum, enigma, puzzle, problem

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusimulia kitendawili?

tell a riddle, give a riddle

(3) Maneno gani hutumika kwa tendo la kujibu kitendawili?

kujibu

3.5.4.4 Mashairi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mashairi.

(1) Maneno gani hutaja mashairi?

mashairi

(2) Maneno gani hutaja mkusanyiko wa mashairi?

anthology

(3) Maneno gani humtaja mtu anayeandika mashairi?

poet

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusema shairi?

recite

(5) Maneno gani hutaja sehemu au kipande cha shairi?

line, stanza, verse

(6) Maneno gani hutaja vipengele vya shairi?

rhyme, rhythm

3.5.4.5 Historia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na historia.

(1) Maneno gani hutaja historia?

historia

(2) Maneno gani hutaja kipindi fulani katika historia?

era, epoch, civilization, period, age

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye anajifunza kuhusu historia?

historian, archaeologist

3.5.4.6 Mapokeo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mapokeo ya mila na desturi--yaani jambo fulani ambalo mababu wa zamani waliwaambia watu wa kila kizazi kifuatacho.

(1) Maneno gani hutaja mapokeo ya mila na desturi?

mapokeo, mila na desturi, mapokeo ya mila na desturi

3.5.4 Simulizi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja simulizi.

(1) Maneno gani hutaja simulizi?

story, tale,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuelezea au kusimulia simulizi?

tell a story, relate, narrate

(3) Maneno gani hutaja simulizi ya maisha ya mtu?

my/your/his story, tell about yourself, biography, biographical, biographer, autobiography, autobiographical,

(4) Maneno gani humtaja mtu anayesimulia simulizi?

storyteller, narrator,

3.5.5.1 Lugha chafu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno machafu yanayohusikiana kujamiiana, kunya, kifo, ulaanifu, na miiko mingine. Ni muhimu kupima usahihi wa kuweka maneno machafu katika kamusi. Iwe chaguo la wasemaji wa lugha kama neno fulani iwekwe katika kamusi. Maneno machafu yanayowekwa katika kamusi yawe na alama wazi kuonyesha kwamba maneno hayo ni machafu. Maneno machafu yanatumika mara kwa mara kuzidi hisia ya usemi fulani.

(1) Maneno gani hutaja kauli au hotuba ambayo inafikiriwa yenye matusi au kutokufaa?

bad language, strong language, swear word, four letter word, curse, obscenities, profanity, swearing, unprintable,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutumia lugha chafu au maneno machafu?

swear, curse, cuss,

(3) Maneno gani hutumika katika njia chafu?

matusi

(4) Maneno gani huelezea hotuba au matendo ambayo ni machafu au yenye upungufu?

obscene, coarse, crude, dirty, filthy, improper, indecent, lewd, naughty, profane, risqué, rude, saucy, suggestive, vulgar,

(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anatumia maneno mengi yenye uchafu?

foul-mouthed,

3.5.5 Mazungumzo ya kijinga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mazungumzo ya kijinga--yaani jambo ambalo mtu analisema na watu wengine wanaona ni la kipumbavu au kijinga.

(1) Maneno gani hutaja mazungumzo ya kijinga au kipuuzi?

maneno yasiyofaa, maneno ya kipuuzi

(2) Maneno gani huelezea mazungumzo ya kijinga au kipuuzi?

foolish, meaningless, silly, stupid,

(3) Maneno gani humtaja mtu anayesema vitu vya kijinga au kipuuzi?

babbler, fool,

Page

3.5.6.1 Ishara za mikono


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kufanya ishara kwa kutumia mikono au kichwa--yaani kusogeza sehemu fulani ya mwili ili kuwasili ujumbe.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya ishara?

ishara ya mkono, kupunga mkono, kufanya ishara, kuashiria

(2) Maneno gani hutaja ishara?

gesture (n), sign (n), signal

3.5.6.2 Kuonyesha kitu kwa kidole au mwili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuonyesha kitu kwa kutumia kidole au mwili--yaani kusogeza sehemu ya mwili wako kuelekea kwenye jambo au kitu ili kwamba watu wakiangalie.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kitu fulani?

indicate, point to, point at, point out, signal that, gesture towards

3.5.6.3 Onyesho la sura


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maonyesho ya sura--yaani njia ambazo watu husogeza sehemu za nyuso zao kuonyesha hisia au kuwasili jambo.

(1) Maneno gani hutaja njia ya mwonekano wa sura?

expression, look, face, countenance, facial expression, the look on someone's face,

(2) Maneno gani hutaja maonyesho au maelezo kwa kutumia macho?

stare, glare, roll your eyes, wink, blink, lift your eyes, raise your eyebrows, narrow your eyebrows, wrinkle your brow,

(3) Maneno gani hutaja maonyesho au maelezo kwa kutumia mdomo?

lick your lips, smack your lips, kiss, purse your lips,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutoa maonyesho au maelezo kwa kutumia sura yako?

make a face, get an expression on your face, have an expression on your face, give someone (an expression)

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya maonyesho au maelezo mahsusi?

frown (in disapproval or worry), gape, grimace (in pain), pout, scowl, snarl, start,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kutabasamu?

kutabasamu, kukenua

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kutabasabu?

break into a smile, someone's face lights up,

(8) Maneno gani huelezea sura ambayo inaonyesha hisia nyingi?

expressive, animated,

(9) Maneno gani huelezea sura ambayo haionyeshi hisia?

expressionless, impassive, blank, deadpan, inscrutable, poker-faced,

(10) Maneno gani huelezea maonyesho au maelezo kwa njia ya mwonekano wa sura ambayo yanaonyesha aina fulani ya hisia?

cheerful, solemn, horrified, pained, wry,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   63   64   65   66   67   68   69   70   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page