3.5.6.4 Kucheka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maonyesho au maelezo ya hisia nzuri, kama vile tendo la kucheka--yaani sauti zinazotolewa na mtu fulani wakati amefurahi au anafikiri kwamba jambo fulani ni la kichekesho.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kucheka kwa jumla?
• laugh, laughter, laugh at (something), have a laugh
(2) Maneno gani huelezea namna ambavyo mtu anacheka?
• laugh aloud, laugh out loud, chortle, heehaw, guffaw, cackle, yuck it up, squeal with laughter, canned laughter
(3) Maneno gani hutaja tendo la kucheka kidogo au kimya kimya?
• laugh silently, chuckle, giggle, ripple of laughter, titter, twitter,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kucheka sana au kwa sauti?
• roar with laughter, laugh uproariously, howl with laughter, shriek with laughter, hearty laugh, peals of laughter, laugh helplessly, laugh your head off, laugh hysterically, have hysterics, roll in the aisle, almost die laughing, double up, convulsed with laughter, split your sides
(5) Maneno gani hutaja tendo la kucheka kwa muda mrefu?
• can't stop laughing, have the giggles, fall over/about laughing, have a good laugh, laugh till the tears roll down your cheeks
(6) Maneno gani hutaja tendo la kumcheka mtu kwa sababu amefanya kosa?
• laugh at, mock, titter, snicker, snigger
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kucheka?
• start laughing, burst out laughing, burst of laughter, dissolve into laughter
(8) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kucheka?
• make someone laugh, amuse, crack someone up, have someone in hysterics, have someone in stitches, tickle, ticklish
(9) Maneno gani huelezea kitu au mtu achekeshaye?
• mcheshi, kichekesho, igizo, mtani, mchekeshaji
(10) Maneno gani hutaja sauti ambayo mtu anaitoa anapocheka?
• ho ho ho, ha ha ha
(11) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kutokucheka?
• (try to/can't) keep a straight face, stifle a laugh
(12) Maneno gani hutaja tendo la kutabasamu?
• smile, smile at, grin, wide grin, big smile, half smile, slight smile, smirk, crack a smile, beam
(13) Watu hutumia njia gani nyingine kuonyesha kwamba wanajisikia vizuri?
• clap, applaud, applause, cheer, jump up and down, jump for joy, dance for joy, shout for joy, make merry, revel, weep for joy, ululate
(14) Watu husemaje wanapokuwa na furaha?
• Hurrah! Hooray! Yeah! Three cheers! Hallelujah! Yippee! Yahoo!
3.5.6.5 Kulia, chozi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanaoyohusiana ma tendo la kulia machozi--yaani maji yanapokuwa kwenye macho kwa sababu ya huzuni au maumivu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kulia?
• cry, weep, be in tears, tearful, have tears in your eyes, weeping, weepy, squall,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kulia sana?
• cry your eyes out, tears roll down your cheeks, eyes full of tears, eyes are brimming with tears, cry your heart out, cry yourself to sleep,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kulia kwa kupiga kelele?
• sob, bawl, howl, wail,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kulia kwa njia ya kuudhi?
• snivel, sniffle, whimper, blubber, blub, crybaby,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kulia?
• start to cry, start crying, burst into tears, break down, turn on the waterworks, get teary,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kukaribia kulia?
• be close to tears, have a lump in your throat, fight back tears, choke back the tears,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kulia kwa sababu kitu kimeingia kwenye jicho lako?
• cry, your eyes water,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu alie?
• make someone cry, reduce someone to tears, bring tears to someone's eyes, tearful, tearjerker,
(9) Maneno gani hutaja tone moja la maji kutoka jicho?
• chozi
(10) Machozi hufanya nini?
• kudondoka, kububujika
(11) Watu hufanyia nini machozi?
• kufuta, kukausha
(12) Watu husemaje kumnyamazisha mtu anayelia?
• don't cry, there there,
3.5.6 Ishara, mfano, alama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja ishara na alama--yaani picha au umbo ambalo lina maana.
(1) Maneno gani hutaja kitu au picha inayoleta mfano wa jambo fulani?
• ishara, kiashiria
3.5.7.1 Kuandika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuandika.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuandika?
• kuandika
(2) Maneno gani hutaja herufi na alama tunazozitumia kuandika?
• orthography, alphabet, letter, punctuation, accent, tone mark, underline, underscore,
(3) Maneno gani hutaja vitu vilivyotumika katika kuandika?
• writing materials, paper, pen, ink, pencil
3.5.7.2 Maandishi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu vilivyopo katika maandishi--yaani vitu ambavyo vina maandishi.
(1) Maneno gani hutaja vitu vilivyo katika hali ya maandishi?
• written material, literature, writing, book, composition, essay, article, card, document, inscription, envelope, page, passage
(2) Maneno gani hutaja kitu kitumikacho kutunza vitu vilivyo katika maandishi?
• library, bookcase, file cabinet, archive
3.5.7.3 Kusoma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusoma.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusoma?
• kusoma
(2) Maneno gani humtaja mtu anayesoma?
• reader, readership, circulation
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusoma kwa sauti au kusoma kimya kimya?
• aloud, out loud, silently, recite
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusoma kwa haraka?
• scan, skim, browse, read over, look through
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusoma kwa umakini?
• study, read up on, pore over
Share with your friends: |