Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page73/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   69   70   71   72   73   74   75   76   ...   206

4.1.6.4 Mkinaifu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomwelezea mkinaifu--yaani mtu fulani ambaye anafanya mambo bila msaada wa wenzake.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anafanya mambo bila msaada wa wenzake?

mkinaifu

4.1.6.5 Faraghani, hadharani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni cha binafsi--kitu fulani kinachohusu wewe tu, na kwa maneno yanayoelezea kitu fulani ambacho ni hadhara--yaani kitu fulani kinachohusu watu wengi.

(1) Maneno gani huelezea kitu fulani kinachohusu wewe tu?

faraghani, cha binafsi

(2) Maneno gani huelezea kitu fulani kinachohusu watu wengi?

hadharani

4.1.6 Utengano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na utengano--yaani wakati kundi la watu ambao hawakubaliani na wanapigana.

(1) Maneno gani hutaja utengano wa kundi la jamii?

utengano, mfarakano, kutopatana, ugomvi, kutokubaliana, kutokulingana, fitina, mapigano

(2) Maneno gani hutaja tendo la kugawanya kwa kundi la jamii au kati ya makundi ya jamii?

kuganwanya, kuweka fitina, kushindanisha, kugombana, kutofautiana, kutokulaliana, kutengana, kutenganisha

(3) Maneno gani huelezea kundi lililotenganishwa?

iliyotenganishwa, isiyoungana, iliyogawanyika, kwenda katika mielekeo tofauti, pasipo mpangilio, kubishana

(4) Maneno gani humwelezea mtu, nguvu au mvuto ambao hutenganisha kundi?

kugawanya, kutenganisha, mwenye kuvuruga

4.1.7.1 Kuvunja uhusiano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuvunja uhusiano.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvunja uhusiano?

leave, walk out, desert, break up

(2) Maneno gani huelezea urafiki ulioharibika?

uhusiano ulivunjika, uhusiano wenye mashaka, wenye shida, kutoelewana, kutoshirikiana

4.1.7 Kuanzisha uhusiano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuanzisha uhusiano.

(1) Maneno gani hutaja kuanzisha kwa uhusiano?

kuanzisha uhusiano, kujiunga

4.1.8 Kuonyesha upendo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuonyesha upendo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwonyesha mtu upendo?

kuonyesha upendo, kubusu, kukumbatia, kushikana mikono

4.1 Mahusiano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahusiano kati ya watu na kati ya makundi ya watu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha uhusiano?

get acquainted, get to know, start a relationship, develop a relationship, form an association, form a partnership

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuhusiana na watu wengine?

relate to, associate with, affiliate with, participate with, partner with, fellowship with, interact with, be acquainted with, work with, collaborate, have a relationship, going together, going out, going steady

(3) Maneno gani hutaja uhusiano wenyewe hasa?

affiliation, alliance, bonding, relationship, relation, association, comradeship, participation, partnership, interaction, fellowship, interpersonal relationship,

(4) Maneno gani humtaja mtu aliye katika uhusiano?

associate (n), comrade, participant, partner, friend, coworker, colleague, acquaintance, ally, collaborator, fellow (student), age mate, affiliate

(5) Maneno gani hutaja kundi la watu walio katika mahusiano?

pair, partnership, association, fellowship,

(6) Maneno gani huelezea kundi la watu walio katika mahusiano?

allied, bonded, related, friendly, affiliated, associated,

Page

4.1.9.1.1 Babu, bibi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanoyotaja wazazi wa wazazi wako na mababu.

(1) Maneno gani huwataja wazazi wa wazazi wako?

babu, bibi, mzazi mkubwa

(2) Maneno gani huwataja mababu zako?

babu mkubwa, mzee, baba wa ukoo, babu mkuu, mama mkuu, bibi mkuu

(3) Maneno gani huelezea mambo ya mababu yako?

ancestral, ancestry,

4.1.9.1.2 Baba, mama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanoyohusiana na wazazi.

(1) Maneno gani hutaja wazazi wako?

mzazi, mama, baba, mzee

(2) Maneno gani hutaja baba yako?

father, dad, old man, pa, papa, sire,

(3) Unatumia maneno gani unapozungumza na baba yako?

Dad, Father, Daddy, Pop,

(4) Maneno gani hutaja mama yako?

mother, mom, mum, ma, mama

(5) Unatumia maneno gani unapozungumza na mama yako?

Mom, Mum, Mother, Mommy, Mummy,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mzazi?

fatherhood, motherhood, parenthood,

(7) Maneno gani huelezea mambo ya wazazi wako?

ya baba, ya mama, ya wazazi, ya kuukeni, ya kuumeni

(8) Kama baba yako ana mke zaidi ya mmoja, je unawaitaje wale wake zake wengine?

mke wa baba, mke wa pili, mama mdogo

(9) Kama baba yako amekufa na mama yako akaolewa na mume mwingine, je utamwitaje yule mume wa pili wa mamako?

baba wa kambo

(10) Kama mama yako amekufa na baba yako akaoa mke mwingine, je utamwitaje yule mke wa pili wa babako?

mama wa kambo, mama mdogo

4.1.9.1.3 Kaka, dada


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kaka na dada.

(1) Maneno gani huwataja watoto wa baba na mama yako?

umbu, kaka, dada

(2) Maneno gani huonyesha utaratibu ambao kaka na dada za mtu walizaliwa?

kaka, kaka mkubwa, kaka mdogo, bwana mdogo, dada, dada mkubwa, dada mdogo, mdogo, mkubwa

(3) Maneno gani huwataja watoto wa baba yako kwa mama mwingine, au wa mama yako kwa baba mwingine?

kaka au dada upande wa kuumeni au kuukeni, ndugu baba mmoja, ndugu mama mmoja

(4) Ikiwa baba yako au mama yako anaoa au kuolewa na mtu mwingine ambao tayari anao watoto wa ndoa yake ya awali, maneno gani hutaja watoto hao?

kaka wa kambo, dada wa kambo



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   69   70   71   72   73   74   75   76   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page