Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page85/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   81   82   83   84   85   86   87   88   ...   206

4.3.4.6.1 Kuharibu, kuozesha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuharibu au kuozesha jambo linalotokea, kama vile tukio, kazi, uhusiano, au hisia--yaani kufanya kitu ambacho kinapunguza upendelevu, starehe na ufanisi wa jambo linalotokea. Kufanya jambo baya ili watu hawawezi kuendelea na shughuli zao wala kuzifurahia sana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu au kuozesha ubora wa jambo fulani?

spoil, impair, mar, detract from

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu kazi ya mtu mwingine?

spoil, mess up, undermine, sabotage, throw a wrench in the works, pour cold water on,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu au kuozesha uhusiano?

spoil, sour, poison,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu au kuozesha tukio fulani?

spoil, mar, put a damper on, cast a shadow over,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu sifa ya mtu fulani?

spoil, damage, damaging, discredit, harm, tarnish, be tainted,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu au kuozesha kitu kabisa?

ruin, destroy, wreck, screw up, spoil everything,

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye anazuia watu wengine kufurahia tukio fulani?

wet blanket, spoilsport, killjoy,

(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakijaharibika?

unspoiled, unblemished,

4.3.4.6 Kujiingiza bure


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujiingiza bure--yaani kujihusisha na kitu ambacho hakikuhusu, kama vile mambo au shughuli za mtu mwingine, au kuingilia ugomvi wa watu wengine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujiingiza katika mambo ya mtu mwingine?

kujiingiza, kukatilia, kuingilia, mpekuzi

(2) Maneno gani humtaja mtu anayejiingiza katika mambo ya mtu mwingine?

busybody, eavesdropper, interloper, intruder, meddler, snoop

4.3.4.7 Kujiingiza kwa nguvu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujiingizia mahali fulani, kama vile nyumba, kwa nguvu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujiingiza katika jambo kwa nguvu?

kuingia kwa nguvu, kulazimisha njia

4.3.4.8 Kuteka nyara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumteka nyara mtu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumteka nyara mtu?

kidnap, abduct, kidnap, nab, shanghai, snatch,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumteka nyara mtu?

kidnapping, abduction,

(3) Maneno gani humtaja mtu anayemteka nyara mtu mwingine?

kidnapper, abductor, snatcher

4.3.4.9 Mkatili, mwonevu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mkatili au mwonevu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mkatili au mwonevu?

cruel, ruthless, heartless, sadistic, bloodthirsty

(2) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mkatili au mwonevu?

cruelty,

4.3.4 Kumtendea mema


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumtendea mema mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumfanyia mema mtu fulani?

kumfanyia mema, kumpenda, kufadhili, kumtendea mema

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anawafanyia mema watu wengine?

accommodating, benevolent, benign, caring, charitable, chivalrous, considerate, courteous, gentle, gracious, humane, kind, kindhearted, kindly, nice, obliging, thoughtful,

(3) Maneno gani hutaja tendo jema ambalo mtu anamfanyia mtu mwingine?

kindness, benefit (n), blessing, courtesy, charity,

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kufanya mema?

consideration, courtesy, graciousness, kindness, kindliness, thoughtfulness

Page

4.3.5.1 Asiyesema ukweli


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtu asiyesema ukweli.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hasemi kweli?

si mwaminifu, mwongo

4.3.5.2 Mwaminifu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mwaminifu--yaani kuendelea kumpenda na kumtendea mema mtu mwingine ili akuamini daima.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mwaminifu?

faithful, loyal, devoted, staunch, true, unswerving,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mwaminifu?

stand by, stick by, be true to,

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mwaminifu?

faithfulness, allegiance, devotion, fidelity, loyalty, solidarity,

4.3.5.3 Anayetumainiwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtumainifu--yaani maneno yanayomwelezea mtu anayetegemewa kufanya kama anavyopaswa.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mtumainifu?

reliable, responsible, faithful, honest,

(2) Maneno gani humtaja mtu mtumainifu?

man of his word,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mtumainifu?

keep your word, keep your promise

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mtumainifu?

integrity,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumtegemea mtu fulani kufanya jambo fulani?

rely on, depend on

4.3.5.4 Asiyetumainiwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtu asiyetumainiwa.

(1) Maneno gani humwelezea mtu asiyeweza kutegemewa afanye anachopaswa?

sio mwaminifu, asiye madhubuti, asiyetimiza wajibu

4.3.5.5 Kudanganya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumdanganya mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja kutenda kwa njia ambayo mtu kumfanyia mwingine aamini kitu kisicho cha kweli?

kudanganya, kupunja, kupumbaza, kulaghai, kusonga, kughilibu

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumdanganya mtu fulani?

punja, uwongo, hadaa, ujanja, mazingaombwe

(3) Maneno gani humtaja mtu adanganyaye?

mwongo, mchawi, laghai, mfanya kiini macho, mjanja

(4) Maneno gani humtaja mtu anayedanganya ili aibe?

mlaghai, tapeli, mchunguzi

(5) Maneno gani humtaja mtu anayejibadilisha kuwa mtu mwingine?

mdanganyi, tapeli, laghai, jambazi, mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo

(6) Maneno gani humwelezea mtu anayedanganya?

mdanganyifu, mwenye hila, mjanja, mhaini



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   81   82   83   84   85   86   87   88   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page