4.6.3.1 Dola zinazotawala
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na aina za dola zinazotawala--yaani, kundi lililopo ndani ya serikali.
(1) Maneno gani yanahusiana na aina za dola zinazotawala?
• mkutano wa watu wa shughuli maalumu, bunge, baraza la kutunga sheria, halimashauri, baraza la mawaziri, baraza la usuluhishi, mahakama kuu, mamlaka, dola
4.6.3 Shirika la serikali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na shirika la serikali.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mfumo wa madaraka ya serikali kwa jumla?
• muundo, halmashauri, madaraka ya serikali, serikali, idara, wizara, tawi
4.6.4 Kutawala
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutawala.
(1) Maneno gani yanahusiana na utawala au tendo la kutawala?
• kutawala, enzi, utawala, kumiliki, kuongoza, kisimamia, kuwa na mamlaka, mtawala
4.6.5 Kutiisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumtiisha mtu, yaani kumweka chini ya mamlaka yako.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kutiisha au kumweka mtu chini ya mamlaka yako?
• kutiisha, kushinda, kukomesha, kutumikisha, kugandamizwa, kupaswa kutii, ushindi, kushinda
4.6.6.1.1 Kukamata mhalifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkamata mhalifu.
(1) Polisi humfanyia nini mhalifu anayeshukiwa?
• pursue, hunt down, look for, post want ads
(2) Maneno gani hutaja polisi wanapomkamata mhalifu?
• arrest, apprehend, apprehension, bust, capture, catch, collar, detain, detention, nab, pick up, seize, seizure, take away, take into custody, take prisoner, trap,
(3) Polisi humfanyia nini mhalifu?
• arraign, book, lock up, imprison, put behind bars, handcuff, chain
4.6.6.1.2 Kuhukumu kusiko rasmi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhukumu kusiko rasmi--yaani kumtia adhabu mtu fulani iwapo haupo katika mamlaka, kwa mfano umati wa watu wakimkamata na kumwua mhalifu.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumhukumu mtu kusiko rasmi, yaani adhabu isiyotolewa na mtu mwenye mamlaka?
• informal justice, mob justice, lynch
4.6.6.1 Polisi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na polisi.
(1) Maneno gani hutaja polisi?
• police, police officer, policeman, police force, chief of police, posse,
(2) Polisi hufanya nini?
• enforce the law, investigate crime, patrol, set up roadblocks, file reports
(3) Polisi hutumia vifaa gani?
• gun, revolver, billy club, handcuffs, police uniform, badge, police car, siren, police radio, whistle
(4) Polisi wanafanya kazi wapi?
• mahali kwa kutumia polisi, kuzuia uhalifu barabarani, ofisi ya polisi, kituo cha polisi
4.6.6.2 Usuluhishi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na diplomasia, yaani upatanishi kati ya mataifa.
(1) Maneno gani yanahusiana na diplomasia au upatanishi kati ya mataifa?
• usuluhishi, diplomasia, upatanishi, ubalozi, ya kidiplomasia, maafisa wa ubalozi katika nchi, uhusiano wa kibalozi, hekima, busara, balozi
4.6.6.3 Kuwakilisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwakilisha mtu mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwakilisha mtu fulani?
• represent, act for,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuongea kwa niaba ya kundi la watu?
• speak for, represent,
(3) Maneno gani humwonyesha mtu anayemwakilisha mtu mwingine?
• as someone's representative, on someone's behalf, on behalf of, for
(4) Maneno gani humtaja mtu anayemwakilisha mtu mwingine?
• representative, contingent, envoy, delegate, delegation, deputation, mission, mouthpiece, spokesman,
(5) Maneno gani humtaja mtu anayeiwakilisha serikali au nchi yake katika nchi ya kigeni?
• ambassador, ambassador, embassy, diplomat, diplomatic,
4.6.6.4 Uchaguzi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uchaguzi.
(1) Maneno gani yanahusiana na uchaguzi wa afisa la serikali?
• uchaguzi, kuchagua, kupiga kura, wateule, uchaguzi mkuu, kupigia kura, uchaguzi wa rais, kampeni ya uchaguzi
4.6.6.5 Siasa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na siasa--yaani shughuli za wanasiasa na vyama vya siasa.
(1) Maneno gani hutaja chama cha siasa?
• chama cha siasa, chama cha mapinduzi
(2) Maneno gani humtaja mwanachama wa chama cha siasa?
• member, card-carrying, Democrat, Republican, Communist, Nazi, Fascist,
(3) Maneno gani humtaja mwanasiasa?
• politician, official, senator, member of parliament, congressman, councilor, deputy, dictator, diplomat, governor, legislator
(4) Maneno gani hutaja mkutano wa chama cha siasa?
• convention, caucus,
(5) Maneno gani hutaja utendaji wa chama cha siasa?
• politics, movement, machine,
4.6.6 Kazi za serikali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kazi za serikali--yaani mambo yanayotendwa na serikali.
(1) Kazi za serikali ni nini?
• shughuli za serikali, kutengeneza sheria, kurekebisha biashara, baina ya mataifa, usafiri wa umma, mambo ya taifa, manufaa na maslahi ya umma, shule ya serikali, mashirika ya huduma za umma, kuleta amani, mpatanishi, kufanya vita, kupigana vita, kutekeleza sheria, kumshitaki mtu, idara ya upelelezi wa jinai, mtoaji sheria, sera ya fedha
(2) Maneno gani hutaja mfumo wa posta?
• mail, post, post office, stamp, postman, postal
4.6.7.1 Nchi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nchi au taifa.
(1) Maneno gani yanahusiana na nchi au taifa?
• nchi, taifa
(2) Maneno gani hutaja sehemu au maeneo ya nchi fulani?
• state, province, region, territory
(3) Maneno gani hutaja mipaka ya nchi fulani?
• border, boundary
(4) Maneno gani hutaja bandera na alama nyingine za nchi fulani?
• flag, standard, seal, coat of arms
(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na nchi fulani?
• national
(6) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na nchi mbili au zaidi?
• kimataifa
Share with your friends: |