4.7.5.1 Kuchunguza jinai
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchungza jinai, ajali, au mhalifu--yaani, kujaribu kugundua taarifa zinazohusu jambo baya fulani lililotokea kwa sababu unataka kujua ni nani aliyetenda jambo baya lile, au kujaribu kugundua taarifa zinazomhusu mtu fulani kwa sababu unafikiri amefanya jambo baya.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchunguza jinai au ajali?
• investigate, look into, inquire, hold an inquiry, conduct an inquiry, make inquiries, go into, probe, delve into, be under investigation, examine, obtain evidence,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumchunguza au kumpeleleza mtu fulani ili kujua kama amekosa?
• obtain evidence, poke around, snoop, surprise, try, question,
(3) Maneno gani hutaja utaratibu au hatua za uchunguzi?
• investigation, inquiry, inquest, inquiries, probe, inquisition, post-mortem, autopsy,
(4) Maneno gani hutaja maarifa kuhusu jinai fulani?
• evidence, facts, proof
(5) Maneno gani hutaja tendo la kugundua kwamba mtu amefanya kosa la jinai?
• catch, detect, entrap, catch red-handed, trap, trip up, find out, prove,
(6) Maneno gani humtaja mtu anayechunguza jinai?
• investigator, private investigator, detective, private detective, inquisitor, private eye
4.7.5.2 Kutilia shaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtilia mtu fulani shaka--yaani, kufikiri kwamba labda mtu fulani amefanya jambo baya.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kufikiri kwamba mtu fulani amefanya jambo baya?
• suspect (v), suspicious, suspicion, have a sneaking suspicion, smell a rat, have your suspicions
(2) Maneno gani huelezea jambo fulani linalokusababisha kumtilia mtu fulani shaka?
• suspicious, suspect (adj), fishy, dubious, questionable,
(3) Maneno gani humtaja mtu fulani anayetiliwa shaka?
• suspect (n),
(4) Maneno gani humwelezea mtu fulani anayetiliwa shaka?
• suspected (terrorist), be under suspicion,
4.7.5.3 Kushitaki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumshitaki mtu kwamba amefanya jambo baya.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshitaki mtu fulani?
• accuse, confront, accost, incriminate, blame, point the finger at, criticize, hold responsible, find fault with, be direct with, don't mince words, tell off, rebuke, reprove, remonstrate, to rebuke, correct, reproof, remonstrance, castigate, cast aspersions, prove, offer proof
(2) Maneno gani humtaja mtu anayemshitaki mwingine?
• plaintiff
(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye ameshitakiwa?
• the accused, the defendant
4.7.5.4 Kutetea dhidi ya mashitaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtetea mtu fulani ambaye ameshitakiwa kwamba amevunja sheria.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtetea mtu fulani dhidi ya mashitaka?
• make defense, defend, uphold, protect, fortify, excuse, apologize, plead, make a case for, represent, advocate, argue a case, prove, offer proof
4.7.5.5 Shahidi, kushuhudia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushuhudia mahakamani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushuhudia mahakamani?
• witness, testify, give evidence, tell about, recount, provide information, facts, truth, false witness, perjure, perjury, report, cross-examine, hearsay
(2) Mtu ambaye hushuhudia anaitwaje?
• shahidi, mtu aliyesema kwa kiapo, mtu anayetoa mathubutu
(3) Maneno gani hutaja tendo la shahidi kusema uongo?
• false testimony, perjury
4.7.5.6 Kubatilisha mashitaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kubatilisha mashitaka dhidi ya mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kubatilisha au kuondoa mashitaka?
• kuondoa, mashitaka, kubatilisha mashitaka, kubatilisha shutuma, kubatilisha kengemeko, kufuta mashitaka, kutoa mashitaka
4.7.5.7 Kuapa, kiapo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuapa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuapa?
• kula kiapo, kuapa, kuapa kwa ahadi, kuahidi, rehani, dhamana, kuombea laana, kuweka nadhiri, kuinua mkono wa kiume, maafikiano, kusihi kwa kiapo
4.7.5.8 Kuthibitisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumthibitisha mtu--yaani kuthibitisha kwamba mashitaka dhidi yake yalikuwa si sahihi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumthibitisha mtu?
• kuthibitisha, kulipa kisasi, kuthibitisha haki ya, kutetea, kumshuhudia (mtu), kulipiza kisasi, ulipizaji kisasi, uthibitisho, kutetea, utetezi, thibitisho, mathubutu, ushuhuda
4.7.5 Utaratibu wa maswala ya kisheria, kesi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na utaratibu wa maswala ya kisheria--yaani kesi.
(1) Maneno gani hutaja njia ya kufuata utawala wa sheria?
• kesi, daawa, njia ya haki, kutetea hoja, kuhukumu, mashitaka, maandishi rasmi ya utetezi
4.7 Sheria
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sheria.
(1) Maneno gani ya kawaida yanataja sheria kwa jumla?
• law
(2) Maneno gani huelezea kitu fulani kinachokubaliana na sheria au kisichokubaliana na sheria?
• in accordance with, just, lawful, legal, legality
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutekeleza sheria?
• law enforcement, police, policeman, enforce
(4) Maneno gani humtaja mwanasheria?
• lawyer, advocate, barrister, bar
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutawala sheria?
• Jaji Mkuu, hakimu wa Amani, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, jaji wa Mahakama Kuu, kupeleka mhalifu mahakamani akahukumiwe, Idara ya Mahakama, jaji, hakimu, baraza la wazee wa mahakama, mzee wa baraza
(6) Maneno gani hutaja jukumu la mtu kutii sheria?
• responsible, responsibility, obligation
(7) Maneno gani hutaja haki za mtu katika sheria?
• right
Share with your friends: |