4.5.3.3 Nidhamu, kufunza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nidhamu.
(1) Maneno gani yanahusiana na nidhamu?
• nidhamu, kufunza, kuadibisha, ufundishaji wa nidhamu, adhabu, kufundisha nidhamu
4.5.3.4 Kuteua, kuagiza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumteua mtu mwingine, au kumpa mamlaka mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumteua au kumchagua mtu mwenye mamlaka?
• kuteua, kuagiza, kumwekea mtu mamlaka, kunaibisha mamlaka, kuajiri, kuapisha mamlaka, kuchagua kwa kupiga kura
(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye mamlaka?
• responsible
4.5.3 Kutumia mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutumia mamlaka.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kutumia mamlaka?
• kutumia mamlaka, kutekeleza, kuamuru
4.5.4.1 Kutii
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtii mtu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutii?
• obey, abide by the law, submit, comply
(2) Maneno gani humtaja mtu anayetii?
• law-abiding citizen
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayetii?
• mtiifu, nyonge, nyenyekevu, msikivu, wa kudumu
4.5.4.2 Kutotii
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutomtii mtu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutotii?
• disobey, break the law, refuse to submit, rebel
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye hatii?
• law breaker, criminal, rebel
(3) Maneno gani yanahusiana na mtu asiyetii?
• mkaidi, mwasi, wa jinai, halifu, wa kijinai
4.5.4.3 Kutumikia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtumikia mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumhudumu au kumtumikia mtu mwingine?
• kutumikia, kuhudumia, kukidhi haja ya mtu, kukidhi matakwa ya mtu, huduma
(2) Maneno gani humtaja mtumishi?
• mtumishi, msaidizi wa nyumbani
(3) Maneno gani humtaja mtumishi ambaye anafanya kazi nyumbani kwa mtu mwingine?
• butler, maid, chambermaid, housemaid, houseboy,
4.5.4.4 Mtumwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomtaja mtumwa--yaani mtu anayemilikiwa na mwingine na anayepaswa kufanya kazi bila mshahara.
(1) Maneno gani humtaja mtumwa?
• slave, bondservant, serf
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mtumwa?
• slavery, bondage, servitude
4.5.4.5 Kufuata, kuwa mwanafunzi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mwanafunzi wa mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanamtaja mwanafunzi anapofuata mtu mwingine?
• kufuata, kuwa mwanafunzi, kuwa mfuasi, kufuatisha, mfuasi, muunga mkono, mwanafunzi, kufuata kiongozi, kuandama, kuatisha vitendo vya mtu fulani, kuiga, kuigiza, kufuata nyayo
(2) Maneno gani humtaja mwanafunzi?
• disciple, adherent, devotee, follower, imitator, learner, proselyte
4.5.4.6 Kuasi mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuasi mamlaka.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuasi mamlaka?
• rebel, revolt, resist, rise up, rise against, mutiny, overthrow
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuasi?
• rebellion, revolt, revolution, sedition, insurrection, insurgency, mutiny, civil disobedience, coup, coup d'etat, counterrevolution, putsch, takeover, uprising,
(3) Maneno gani hutaja utaratibu au hatua za kuasi?
• rebel cause, rebel movement
(4) Maneno gani hutaja tukio la kuasi?
• act of rebellion, rebellious act, revolutionary act, demonstration, riot, disorder, sabotage
(5) Maneno gani humtja mtu anayeasi?
• rebel, activist, agitator, anarchist, belligerent, conspirator, extremist, guerrilla, insurgent, liberationist, militant, mutineer, rabble-rouser, radical, rebel, revolutionary, revolutionist, terrorist
(6) Maneno gani humwelezea mtu anayeasi?
• rebellious, revolutionary, defiant, mutinous, radical
(7) Maneno gani huelezea mapinduzi?
• violent, peaceful
(8) Kiongozi wa uasi au mapinduzi anaitwaje?
• leader of a rebellion, rebel leader, revolutionary leader
(9) Kiongozi wa uasi au mapinduzi hufanya nini?
• lead a rebellion, organize a rebellion,
(10) Watu wenye mamlaka hufanya nini ili kusimamisha uasi au mapinduzi?
• kutumia polisi na wanajeshi, kuzuia, kupinga, kutumia jeshi la mgambo, kukomesha uasi, kutumia nguvu
4.5.4.7 Huru
Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa huru.
(1) Maneno gani huelezea nchi ambaye ni huru?
• independent, sovereign, self-governing
4.5.4 Kujiweka chini ya mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujiweka chini ya mamlaka.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kujiweka chini ya mamlaka?
• kujiweka chini ya mamlaka, kukubali na mamlaka, kutisha na mamlaka, kutii mamlaka
4.5 Mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mamlaka.
(1) Maneno gani yanataja mamlaka?
• mamlaka, uwezo wa kisheria wa kutenda jambo, uwezo, haki, utawala, mamlaka ya kuongoza, kuwa na amri juu ya, mamlaka ya dola moja juu ya dola nyingine
Page 4.5.5.1 Jina la cheo, jina la heshima
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jina la heshima.
(1) Maneno gani hutaja jina linalotumiwa kumwita au kumsalimia mtu?
• jina, cheo
(2) Maneno gani hutaja majina ya heshima yanayotumika katika kumsalimia mtu mwenye mamlaka?
• bwana, mzee, shikamoo, mheshimiwa, mtukufu
Share with your friends: |