Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page99/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   95   96   97   98   99   100   101   102   ...   206

4.8.2.5 Kisasi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kisasi--yaani kuwatendea watu mabaya kwa sababu walikutendea wewe mabaya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kulipa kisasi?

revenge, get revenge, take revenge, in revenge, avenge, get back at, get even with, pay back, repay, requite, retaliate, in retaliation, retribution, wreak vengeance, I'll get you for this, be out to get,

(2) Maneno gani hutaja kisasi?

revenge, reprisal, requital, retaliation, retribution, tit-for-tat, vendetta, vengeance,

(3) Maneno gani humtaja mtu anayelipa kisasi?

avenger, nemesis,

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayetaka kulipa kisasi?

vengeful, vindictive,

(5) Maneno gani hutaja hali ambayo watu wote wawili wamefanyiana mabaya?

be even, be quits,

(6) Maneno gani huelezea jambo lililofanyika kwa kulipa kisasi?

retributive,

4.8.2.6 Ghasia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ghasia au mgomo--yaani, watu wengi wanapopigana na wakivunja sheria.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya ghasia au mgomo?

riot (v), loot, disturb the peace, go on a frenzy, go on a rampage, be in an uproar, run amuck,

(2) Maneno gani hutaja mgomo au ghasia?

mgomo, ghasia, fujo

(3) Maneno gani hutaja watu wanaofanya mgomo au ghasia?

rioter, mob, rabble,

(4) Maneno gani huwaelezea watu wanaofanya mgomo au ghasia?

frenetic, wild,

(5) Maneno gani huelezea matendo au hali wakati watu wanapofanya ghasia au mgomo?

riotous, convulsive, disorderly, tumultuous, turbulent,

4.8.2.7 Kusaliti


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsaliti mtu--yaani kumkabidhi mikononi mwa maadui zake.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumsaliti mtu?

betray, double-cross, stab in the back, sell out, sell someone down the river,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumtia mtu mikononi mwa maadui zake?

kutia mikononi, kusaliti, kusalimisha, kufichua siri, kuhaini, kudanganya, kughilibu

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwajulisha maadui kuhusu mambo ya siri?

blab, inform on, rat on, snitch, squeal, tattle,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusaliti nchi yako?

betray, turn traitor, collaborate, treason,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumsaliti mtu?

betrayal, sell-out, treachery, treason,

(6) Maneno gani huelezea kitu mtu anachofanya wakati wa kumsaliti mtu mwingine?

treasonous (action), subversive (activity)

(7) Maneno gani humtaja mtu anayemsaliti mwingine?

betrayer, collaborator, informant, informer, Judas, rat, renegade, saboteur, snitch, squealer, subversive, tattle-tale, traitor

(8) Maneno gani humwelezea mtu anayemsaliti mwingine?

treacherous,

4.8.2.8 Kuwa na ukali, mjeuri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mjeuri au kuwa na ukali--yaani, maneno yanayomwelezea mtu anayeelekea kushambulia, kuumiza, au kuua watu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mjeuri au mkali?

violent, brutal, aggressive, vicious, savage, barbarous, bloodthirsty, barbaric

(2) Maneno gani humwelezea mnyama ambaye ni mjeuri au mkali?

fierce, vicious, savage, ferocious,

(3) Maneno gani huelezea jambo mtu analofanya ambalo ni jeuri au kali?

violent, violently, vicious, brutal, savage, ferocious, rough, bloody, forcible, stormy, barbarous,

(4) Maneno gani huelezea hadithi inayohusu watu wanaofanya mambo makali au majeuri?

violent, gory,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye ni mjeuri au mkali?

mjeuri, mkatili

(6) Maneno gani hutaja matendo makali au majeuri?

violence, aggression, brutality, savagery, ferocity, fierceness, force, fury, barbarity,

(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye si mjeuri wala mkali?

peaceful, non-violent

4.8.2.9 Adui


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na adui--yaani, mtu ambaye unapigana naye.

(1) Maneno gani humtaja adui?

enemy, the enemy, foe, adversary, hostile, opponent

(2) Maneno gani hutaja kundi ambalo unapigana nalo?

opposition, the other side,

(3) Maneno gani huelezea kitu kilichomilikiwa na maadui?

enemy (troops/action/tanks), hostile (forces/territory)

4.8.2 Kupigana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupigana na mtu mwingine. Maneno yaliyomo kwenye eneo la maana hili yanaelezea hali ya watu wawili au makundi mawili kupigana kuhusu kitu fulani au ili kufikia lengo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la waadui kupigana?

fight, have a fight, get into a fight, fighting, battle, brawl, bully, clash, come to blows, confront, duel, engage (the enemy), face (an enemy), feud, jostle, joust, oppose, scuffle, set-to, spar, skirmish, squabble, strive, struggle, tussle, war, wrestle, be in the fray, go on the warpath,

(2) Maneno gani hutaja mapigano?

affray, altercation, battle (n), bout, combat, conflict, contest, crisis, duel (n), feud (n), gunfight, row, shootout, showdown, skirmish, spat, squabble, strife, struggle (n), tiff, war (n),

(3) Maneno gani hutaja mapigano baina ya watu wachache?

fight (n), brawl (n), fracas, fray, free-for-all, melee, scrap, scuffle (n),

(4) Maneno gani hutaja mapigano baina ya watu wengi?

fighting, battle, clash (n), confrontation,

(5) Maneno gani hutaja mapigano ambao pande zote haziwezi kuyashinda, yaani hakuna mshindi?

stalemate, standoff,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayesababisha mapigano?

arouse, challenge, embroil, fan the flames, goad, incite, instigate, provoke, rally, rouse, spur, stir up,

(7) Maneno gani humtaja mtu anayepigana na mwigine?

fighter, hooligan,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   95   96   97   98   99   100   101   102   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page