Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page16/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   12   13   14   15   16   17   18   19   ...   206

2.1 Mwili


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno ya kawaida yanayotaja mwili mzima na sehemu za jumla. Angalia mchoro wa mwili na kuandikia kila sehemu. Maneno fulani yataleta maana pana zaidi kuliko mengine. Hakikisha kuingiza maneno ya jumla na maalumu yote.

(1) Maneno gani hutaja mwili?

mwili

(2) Maneno gani hutaja umbo la mwili wa mtu?

build, figure, physique,

(3) Maneno gani ya kawaida hutaja sehemu ya mwili kwa jumla?

sehemu ya mwili

(4) Maneno gani huelezea kitu kuhusu mwili wa mtu?

physical, physically, bodily,

(5) Maneno gani hutaja chembe hai?

cell, cellular, chromosome, protoplasm,

Page

2.1.4 Ngozi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ngozi ya mtu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja ngozi ya mtu kwa jumla?

ngozi

(2) Maneno gani hutaja ngozi ngumu?

callus, calloused,

(3) Maneno gani hutaja mikunjo au makunyanzi kwenye ngozi?

line, wrinkle, fold, crease,

(4) Maneno gani hutaja madoa au alama ngozini mwa mtu?

doa, baka, chunusi, alama ya kuzaliwa, mabakabaka

(5) Maneno gani hutaja vidonda vidogo kwenye ngozi?

pimple, acne, zit, whitehead, blackhead,

(6) Maneno gani hutaja rangi ya ngozi ya mtu?

skin color, coloring, complexion, pigment,

(7) Maneno gani huelezea rangi ya ngozi ya mtu?

rangi ya ngozi, hudhurungi, kukwajuka, kusawajika, wekundu wa uso, kutahayari

(8) Maneno gani huelezea rangi ya ngozi ya mtu iwapo wanaumwa au wanaogopa?

pale, anemic, ashen, bloodless, cadaverous, deathly, flushed, ghastly, lurid, pallid, pallor, pale-faced, pale as death, pale as a ghost, pasty, sallow, wan, white as a sheet, go white, turn blue,

(9) Maneno gani huelezea hali ya ngozi ya mtu?

laini, ngumu, sugu, kukauka, yenye chembe, kuchunuka

(10) Maneno gani huelezea ngozi yako baada ya kuwa kwenye jua?

sunburn, tan, tanned, suntan, burn, blister,

(11) Maneno gani hutaja vipele vidogo vidogo kwenye ngozi yako iwapo unahisi baridi, ugonjwa au uwoga?

goose flesh, goose pimples, goose bumps,

2.1.5 Nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nywele.

(1) Maneno gani hutaja nywele?

nywele

(2) Maneno gani hutaja unywele mmoja?

strand

(3) Sehemu za unywele mmoja zinaitwaje?

ncha ya unywele, mzizi wa unywele, kinyeleo

(4) Maneno gani hutaja nywele za sehemu fulani za mwili?

nywele za kichwa, laika, usinga, nywele za mwili, mavuzi

(5) Maneno gani hutaja nywele usoni?

nyusi, kope, ndevu, sharubu, ndevu kama beberu, sharafa

(6) Maneno gani huelezea aina au hali za nywele?

kutia mawimbi, kupota, ndefu, finyu

(7) Maneno gani huelezea rangi ya nywele?

blond, red, auburn, chestnut, fair, dark, grizzled, mousy, ginger, sandy,

(8) Maneno gani humwelezea mtu mwenye nywele zenye rangi fulani?

blonde, brunette, redhead, towhead, redheaded, fair-haired, dark-haired, black-haired, grey-haired,

(9) Maneno gani huelezea mwelekeo wa ukuaji wa nywele kichwani?

utosi wa nywele, kileleta cha nywele, mitindo ya nywele

(10) Maneno gani humwelezea mtu aliye na nywele nyingi?

kujaa nywele

(11) Maneno gani humwelezea mtu aliyepoteza nywele zake?

kipara, upaa, kupungua nywele

(12) Maneno gani hutaja uchafu kwenye nywele?

dandruff, dander,

2.1.6 Mfupa, kiungo na fundo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mifupa na viungo vyake.

(1) Maneno gani hutaja mfupa?

mfupa

(2) Maneno gani hutaja mifupa yote ya mwilini?

kiunzi cha mifupa

(3) Maneno gani hutaja mifupa maalumu?

fuvu la kichwa, bupuru la kichwa, mtulinga, uti wa mgongo, ubavu, muundi goko

(4) Sehemu za mfupa zinaitwaje?

uboho, kiini cha mfupa

(5) Maneno gani hutaja fundo au kiungo katika mifupa miwili?

ungio, kiungo

(6) Sehemu za fundo au kiungo zinaitwaje?

gegedu, kano, kishimo

(7) Maneno gani huelezea kishindo cha kutenguka kwa vifundo?

kukwaruza, kishindo

2.1.7 Nyama ya mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mkusanyiko laini wa seli mwilini.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tishu au mkusanyiko laini wa seli mwilini kwa jumla?

nyama, tishu

(2) Aina za tishu mbalimbali zinaitwaje?

kikoromeo, koo, kano, gegedu, tezi, mtoki, tezi za limfu

(3) Maneno gani hutaja mishipa au misuli?

mshipa, nyama, ukano wa mvungu wa goti, misuli za mkono

(4) Maneno gani huelezea nyama au misuli ya mtu fulani?

muscular, firm, flabby, fleshy,

(5) Maneno gani hutaja kano?

tendon, ligament, sinew, hamstring

2.1.8.1 Moyo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na moyo na mishipa ya damu.

(1) Sehemu za moyo zinaitwaje?

moyo, mba ya moyo, uwazi wa moyo, kilango cha moyo

(2) Sehemu za mishipa ya damu zinaitwaje?

mshipa wa damu, ateri, mshipa mkubwa wa damu, mkole

(3) Maneno gani hutaja kupiga kwa moyo?

beat (v), thump, throb,

(4) Maneno gani hutaja kupiga kwa moyo kwa kasi?

pound, race, rapid heart beat,

(5) Maneno gani hutaja kupiga kwa moyo ukiwa na shida?

heart murmur, irregular heart beat, skip a beat,

(6) Maneno gani hutaja mapigo ya moyo?

beat (n), heartbeat, pulse, rhythm,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kusikiliza mapigo ya moyo?

take someone's pulse, listen to someone's heartbeat, feel for a pulse,

(8) Maneno gani hutaja moyo kuzungusha damu mwilini?

pump,

(9) Maneno gani hutaja damu kupitia mishipa ya damu?

flow, circulate, blood pressure,

(10) Maneno gani hutaja kusimama kwa mapigo ya moyo?

stop beating, heart attack,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   12   13   14   15   16   17   18   19   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page