Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page19/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   15   16   17   18   19   20   21   22   ...   206

2.3.1.2 Kutazama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kutazama mtu au kitu--kuona kitu kinachotokea kwa muda mrefu kwa sababu umevutiwa nacho na unataka kujua imekuwaje.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutazama kitu?

watch, observe, look on, see (a movie),

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuendelea kutazama kitu?

not take your eyes off, stand over,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutazama kitu ili mabaya yasitokee?

watch, keep an eye on, observation, monitor,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutazama kitu kwa siri?

watch, keep a watch on, surveillance, observation,

(5) Maneno gani humtaja mtu anayetazama?

spectator, viewer, audience, onlooker, observer, lookout,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kutazama kitu kwa muda mrefu, lakini siyo kukiangalia wakati wote?

watch, keep an eye,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kutazama kila mara ili kuona kama mabaya yanatokea?

alert, watchful, vigilant, keep your eyes peeled, keep your eyes open, look out, keep a lookout for,

2.3.1.3 Kuchungua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kuchunguza kitu--yaani kuangalia kitu kwa umakini kwa sababu unataka kujifunza kuhusu hicho.

(1) Maneno gani hutaja kuchunguza kitu?

examine, look at, have a look at, take a look at, analyze, study, inspect, go through, go over, look over, check, check over, scrutinize, look hard at, pore, peer at, focus on, pry,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumchunguza mtu?

examine, inspect,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchunguza kitu?

examination, analysis, inspection, check, check-up, study, scrutiny, post mortem,

2.3.1.4 Kuonyesha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuonyesha kitu kwa mtu ili akione--yaani kumsababisha mtu aone kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kitu kwa mtu?

show, let someone see, let someone have a look, present, produce, flash,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kitu fulani kwa kuondoa kitu kingine ambacho kimekifunika hapo?

show, expose, reveal,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kitu ambacho una fahari nacho?

show off, flourish, parade, flaunt,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha mtu kitu kilipo?

show, point out, point to, mark, indicate,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kitu kwenye umati wa watu?

show, display, put something on show, put something on display, exhibit, be on show, be on display, unveil,

(6) Maneno gani hutaja tukio iwapo kitu kinajitokeza au kinaonyeshwa?

show (n), exhibition, display, presentation, showing,

(7) Maneno gani hutaja kitu kinachojitokeza au kinachoonyeshwa?

display, exhibit,

2.3.1.5.1 Kutokea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitu vinavyoonekana kwa kujitokeza, na vitu vinavyotoweka.

(1) Maneno gani hutaja kitu kinachoonekana kwa kujitokeza?

kutokea, kujitokeza, kuonekana

(2) Maneno gani hutaja kitu kinachotoweka?

kutoweka, kupotea, kudidimia, kufifia

(3) Maneno gani hutaja tukio la kitu kuonekana kwa kujitokeza?

appearance,

(4) Maneno gani hutaja tukio la kitu kutoweka?

disappearance,

2.3.1.5 Kuonekana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuweza kuona kitu--yaani maneno yanayoelezea kitu kinachoonekana, kitu kisichoonekana, kitu ambacho ni rahisi kuona, au kitu ambacho si rahisi kuona.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuweza kuona kitu?

can see, can make out, catch a glimpse of,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kutoweza au kushindwa kuona kitu?

can't see, can't make out,

(3) Maneno gani huelezea kitu kinachoonekana?

kuonekana, wazi

(4) Maneno gani huelezea kitu kisichoweza kuonekana?

kutoweza kuonekana, kisichoonekana, kisichotambulika (kwa ajili ya udogo wake)

(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni rahisi kuonekana?

clear, distinct, apparent, clear-cut, conspicuous, prominent, stand out, evident, glaring, manifest, obvious, patent, pronounced, unmistakable,

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho si rahisi kuonekana?

unclear, not clear, faint, blurred, blur, blurry, barely discernible, dim, inconspicuous, indistinct, obscure, unapparent,

(7) Maneno gani hutaja jinsi gani kitu kinaweza kuonekana?

clarity, visibility,

(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinatokea mahali ambapo watu wanaweza kuona?

in full view of, in front of, in front of someone's eyes, before someone's eyes, in the open, exposed to view, unhidden, within view,

(9) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kinatokea mahali ambapo watu hawawezi kuona?

out of sight, hidden from view, away from people's eyes,

(10) Maneno gani hutaja kitu kinachozuia kitu kingine ili kisionekane?

becloud, befog, block, blot out, cloak, cloud, conceal, cover, eclipse, enshroud, hide, mask, obfuscate, obscure, obstruct, occlude, screen, shroud, veil,

(11) Maneno gani huelezea kitu kinachozuiwa ili kisionekane?

beclouded, befogged, blocked, cloaked, concealed, covered, eclipsed, enshrouded, hidden, masked, obscured, screened, shrouded, veiled

2.3.1.6 Kupenyeza nuru


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kiasi mtu anavyoweza kung'amua kitu, au kiasi kitu kinavyopenyeza nuru.

(1) Maneno gani huelezea kitu kinachong'amuka?

kung'amuka, kupenyeza nuru, ya kupenya nuru, kuwa angavu

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho nuru hupenya ndani yake, lakini mtu hawezi kuking'amua kabisa?

yenye kupenyeka nuru, kisicho dhahiri, yenye ukungu, kufifilika, kisichoonekana vizuri, kisicho wazi

(3) Maneno gani huelezea kitu kisichong'amuka hata kidogo?

kisichopitisha nuru, kisichopenyeka nuru, cha giza



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   15   16   17   18   19   20   21   22   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page