Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page20/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   16   17   18   19   20   21   22   23   ...   206

2.3.1.7 Kuakisi, kioo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuakisi nuru.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuakisi nuru?

reflect, mirror (v),

(2) Maneno gani hutaja nuru kuakisiwa na kitu?

reflect off, bounce off

(3) Maneno gani hutaja taswira au picha inayoakisiwa?

reflection, mirror image,

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachoakisi nuru?

mirror, looking glass, reflector,

(5) Maneno gani huelezea kitu kinachoakisi nuru?

reflective,

2.3.1.8.1 Nzuri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mtu mzuri au kitu kizuri--yaani kuwa na sura inayopendeza.

(1) Maneno gani humwelezea mwanamke ambaye ni mzuri?

beautiful, good-looking, pretty, attractive, striking, handsome, lovely, gorgeous, stunning, ravishing, of great beauty, elegant,

(2) Maneno gani humwelezea mwanaume ambaye ni mzuri?

good-looking, handsome, attractive, cute, hunky, rugged, striking, gorgeous, be a fine figure of a man, dashing,

(3) Maneno gani humwelezea mtoto ambaye ni mzuri?

beautiful, lovely, cute,

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kizuri?

beautiful, attractive, pretty, lovely, gorgeous, splendid, magnificent, stunning, superb, exquisite, elegant, artistic,

(5) Maneno gani huelezea mahali ambapo ni pazuri?

beautiful, lovely, pretty, scenic, picturesque, magnificent, beauty spot, spectacular,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimefanyika kwa njia nzuri?

beautifully, prettily, attractively, exquisitely,

(7) Maneno gani hutaja ubora wa kuwa na uzuri?

beauty, looks, good looks,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kiwe kizuri?

beautify, spruce up,

(9) Maneno gani huelezea kitu au mtu ambaye siyo mzuri wala mbaya?

plain, average, ordinary,

2.3.1.8.2 Mbaya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayomwelezea mtu au kitu ambacho ni kibaya--yaani sura au mwonekano wake haupendezi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hana sura au mwonekano mzuri?

not good-looking, plain, homely, not much to look at, unattractive,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mbaya kabisa?

ugly, hideous, repulsive, grotesque, unsightly,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kibaya?

ugly, hideous, revolting, unattractive, unsightly,

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho ni kibaya?

eyesore, monstrosity, blot on the landscape,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimefanyika kwa njia mbaya?

rude, uncomely, uncouth, ungainly, ungraceful, unseemly,

(6) Maneno gani hutaja ubora wa kuwa na ubaya?

ugliness,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kiwe kibaya?

contort, deface, disfigure, distort, mar, misshape,

(8) Maneno gani huelezea sura ya mtu ambaye ni mwovu?

contorted, cunning, hard-featured, rough,

2.3.1.8 Sura


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jinsi kitu kinavyojitokeza.

(1) Maneno gani hutaja sura ya kitu?

sura, wajihi, sifa

(2) Maneno gani hutaja mwonekano au sura ya mtu?

appearance, looks, image, visage, features, countenance, profile,

(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimoja kinafanana na kitu kingine?

look like, have the look of, have the appearance of, resemble,

(4) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kina sura ya aina husika?

look (good/bad), be (dark/young) in appearance, (good/bad) looking,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba nguo zinapendeza zikivaliwa na mtu fulani?

suit, look good on, flattering

(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimoja kinapendeza pamoja na kitu kingine?

go with, set off, match, go together, complement, matching, blend in,

2.3.1.9 Kitu kinachotumika kwa kuona


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja miwani na vyombo vingine ambavyo vinasaidia watu kuona.

(1) Maneno gani hutaja vyombo vinavyotumika ili kuona vizuri zaidi?

miwani, kioo, darubini, hadubini

(2) Maneno gani hutaja miwani?

glasses, eyeglasses, corrective lenses, contact lens, bifocals, spectacles, specs, monocle,

(3) Watu hutumia vyombo gani ili kuona vitu vidogo?

microscope, magnifying glass, magnifier,

(4) Watu hutumia vyombo gani ili kuona mbali?

telescope, binoculars, field glass,

(5) Watu hutumia vyombo gani ili kulinda macho yao?

sunglasses, dark glasses, goggles,

(6) Vitu hivi hufanya kazi gani?

enlarge, reflect, focus

2.3.1 Kuona


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuona kitu--yaani kwa jumla au bila kukusudia kuona kitu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuona kitu?

kuona, kuonekana

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuona kitu kwa muda mfupi tu?

kutupia jicho, kuangalia kidogo, kuchungulia

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuona kitu ambacho ulikuwa unatafuta?

spot, sight, observe,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuona kitu kwa shida?

make out, distinguish,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kuweza kuona?

sight, sense of sight, vision, eyesight,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayeona kitu?

mwangalizi, mtazamaji, mchunguzi, aonaye, shahidi

(7) Maneno gani hutaja kitu kinachoonekana?

upeo wa macho, mandhari

(8) Maneno gani hutaja mara ya kwanza kuona kitu?

sight, at first sight, your first sight of,

(9) Maneno gani huelezea jinsi gani mtu anaweza kuona?

blind, astigmatism, clear-eyed, clear-sighted, cross-eyed, eyesight, good eyesight, poor eyesight, farsighted, lynx-eyed, myopia, myopic, nearsighted, purblind, sightless, visionless,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu ili mtu asiweze kuona?

blindfold, blind, dazzle, block someone's view,

(11) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na tendo la kuona?

seeing, optic, optical, visual,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   16   17   18   19   20   21   22   23   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page