Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page18/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   14   15   16   17   18   19   20   21   ...   206

2.2.3 Kutema mate


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mikono na miguu kwa jumla.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutema mate?

kutema mate

(2) Maneno gani hutaja mate?

mate, ute, udende, udelele

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutoa udenda nje ya mdomo?

drool, slobber, drivel, dribble,

(4) Maneno gani hutaja uzalishaji wa mate?

kutokwa mate, mdomo umejaa mate, mdomo umejaa maji

(5) Maneno gani hutaja hali ya kukosa mate mdomoni?

mouth is dry,

(6) Maneno gani hutaja sauti inayotolewa wakati wa kutema mate?

ptui,

2.2.4 Kamasi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kamasi puani.

(1) Pua huzalisha au hutoa nini?

mucus, snot, booger

(2) Maneno gani huelezea hali ya pua lenye kamasi?

run, runny nose, be stuffed up

(3) Watu hufanyia nini kamasi?

blow your nose, pick your nose, wipe your nose,

(4) Watu hutumia nini ili kupenga kamasi?

handkerchief, hanky, tissue,

2.2.5 Damu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na damu na kuvuja kwake.

(1) Maneno gani hutaja utokaji wa damu?

kutokwa damu, utokaji wa damu, kuvuja damu, kuvujisha damu, muhina, kutokwa na muhina, kumwagika (kutoka kidonda)

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuvuja damu kwa wingi?

pour, stream from, spurt, gush,

(3) Maneno gani hutaja kuisha au kuzuia kwa kutokwa damu?

kuganda, kugandama, kugandisha, kutungamana, fundo (la kuzuia damu)

(4) Maneno gani hutaja damu?

damu, tone la damu

(5) Maneno gani hutaja damu iliyogandama?

donge (la damu), kigaga, doa la damu

(6) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho kimevujikia damu?

bloody, bloodstained, gory, gruesome,

(7) Maneno gani hutaja damu nyingi?

pool of blood,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kumtolea mtu damu?

give blood, blood transfusion,

(9) Maneno gani hutaja aina ya damu ambayo mtu anayo?

blood type,

2.2.6 Jasho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutoa jasho.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutoa jasho?

kutoa jasho, kuvuja jasho

(2) Maneno gani hutaja jasho?

jasho

(3) Maneno gani hutumika kumwelezea mtu anayeanza kutoa jasho?

kuanza kutoa jasho

(4) Jasho hufanya nini?

kukauka

(5) Watu hufanya nini ili kuondoa au kuzuia jasho?

kuoga, kufua nguo, kutia kiondoaharufu

(6) Maneno gani humwelezea mtu aliyetoa majasho mengi?

mwenye kutoa jasho, aliyejaa jasho

(7) Maneno gani huelezea harufu ya jasho?

kunuka, kikwapa, kutuzi, gugumu, uvundo wa mtu asiyeoga

(8) Tone moja la jasho huitwaje?

tone la jasho

2.2.7 Kukojoa, mkojo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukojoa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukojoa?

kukojoa, kutabawali

(2) Maneno gani hutaja mkojo?

mkojo

(3) Watu hukojoa wapi?

choo, msala, uani

(4) Mafigo na kibofu cha mkojo hufanya nini?

kutengeneza mkojo, kukusanyisha mkojo

(5) Maneno gani hutaja jiwe linalotokea kwenye mafigo?

kidney stone, pass (a kidney stone)

2.2.8 Kunya, kinyesi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kunya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kunya?

kunya, kwenda choo, kuwa na haja kubwa

(2) Maneno gani hutaja kinyesi?

kinyesi, mavi

(3) Maneno gani huelezea kama kinyesi ni cha majimaji?

kuharisha, kuhara, kuendesha

(4) Maneno gani huelezea ugumu wa kunya?

kufunga choo, uyabisi wa tumbo

(5) Maneno gani hutaja tendo la kujisafisha baada ya kunya?

kujisafisha

(6) Watu hutumia vitu gani kwa ajili ya kujisafisha?

maji, karatasi ya choo

(7) Vitu gani hutumika kwa ajili ya watoto wachanga?

nepi

(8) Watu hunya wapi?

choo, msala

(9) Maneno gani hutaja harufu ya kinyesi?

fetid, malodorous, putrid,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kujamba?

kujamba, majamba, kushuta

2.2 Utendaji wa mwili


Tumia eneo la maana hili kwa utendaji wa mwili mzima tu. Tumia maeneo ya maana yanayofuata kwa utendaji wa sehemu za mwili. Katika kila eneo la maana, andika maneno yote maalumu yanayotumika kwa wanyama.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja utendaji wa mwili kwa jumla?

utendaji

(2) Maneno gani ya kawaida hutaja utoaji wa mwili kwa jumla?

utoaji wa mwili, unyaji, utemaji, matokezo ya mwili, mnyunyizo

(3) Maneno gani hutaja nyongo?

nyongo

Page

2.3.1.1 Kuangalia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuangalia mtu au kitu--kuona mtu au kitu kwa sababu umekusudia kufanya hivyo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuona kitu kwa kusudi?

kuangalia, kuchunguza, kutazama

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia kitu kwa muda mrefu au kwa kushangaa?

kukodoa macho, kukazia macho, kutumbulia macho, kuangaza macho

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia kitu kwa muda mfupi?

glance, cursory glance, look at briefly, (eyes) flicker over, take a quick look,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia vitu vingi au eneo kubwa kwa haraka?

scan, survey, reconnaissance, reconnoiter, look over, eyeball, perusal, peruse, scout, skim, sweep

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia vitu vingi wakati wa muda fulani?

browse, look around, sight-seeing,

(6) Maneno gani huelezea jinsi unavyomwangalia mtu ikiwa humwamini?

eye, look somebody up and down,

(7) Maneno gani huelezea jinsi unavyomwangalia mwanamke ikiwa umevutiwa naye?

leer, ogle, make eyes at, goggle, peep, admire,

(8) Maneno gani huelezea jinsi unavyoangalia kitu ikiwa una hasira au hauna furaha nacho?

glare, scowl, frown, give a dirty look, glower,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia kitu kwa kuangaza macho kwa sababu ni ngumu kukiona?

squint, peer, crane your neck,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia kitu kwa siri?

peek, peep, take a peep, sneak a look at, snoop around, spy,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kuangalia kitu fulani na kuangalia kitu kingine tofauti?

look away, avert your eyes



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   14   15   16   17   18   19   20   21   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page