Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page17/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   13   14   15   16   17   18   19   20   ...   206

2.1.8.2 Tumbo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tumbo na kazi za kawaida za tumbo. Usitumie eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na magonjwa ya tumbo.

(1) Sehemu za tumbo zinaitwaje?

tumbo, fuko, umio, bitana ya tumbo, asidi ya tumbo

(2) Tumbo lina kazi gani?

kumeng'enya (chakula), kuwa na njaa, kujaa, kuwa na mkakamao

(3) Tumbo hutoa sauti gani?

kunguruma, kuvuma, kututuma, kurindima, kububujika, kusukutua, kugugumia

(4) Maneno gani hutaja yaliyomo tumboni?

uchachu wa tumbo, asidi ya tumbo, chakula kisichomeng'enyuka, cheu

(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na tumbo?

gastric, gastrointestinal, abdominal,

2.1.8.3 Viungo vya uzazi vya kiume


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na viungo vya uzazi vya kiume.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viungo vya uzazi kwa jumla?

viungo vya uzazi

(2) Maneno gani hutaja viungo vya uzazi vya kiume?

mboo, mapumbu, korodani, mfuko wa pumbu, govi

(3) Viungo vya uzazi vya kiume vina kazi gani?

kutanuka, kutuna, kumwaga manii, kusimika, kudinda

(4) Maneno gani yanataja kimiminiko ambacho huzalishwa au hutolewa?

semen, sperm, seminal,

(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na viumbo vya uzazi vya kiume?

reproductive, genital, sexual,

2.1.8.4 Viungo vya uzazi vya kike


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na viungo vya uzazi vya kike na hedhi. Kwa vile maneno fulani ni mwiko au marufuku, chagua kwa umakini maneno yapi yaingizwe kwenye kamusi. Bora kundi la wanawake wayajadiliane na kuyachagua wasije kuchekewa au kuathiriwa vibaya baadaye.

(1) Maneno gani hutaja viungo vya uzazi vya kike?

titi, chuchu, tumbo la uzazi, mji wa mimba, kuma, mirija ya ova, kinembe, kisimi

(2) Maneno gani hutaja hedhi?

hedhi

(3) Maneno gani hutaja wakati wa hedhi?

kuwa na hedhi, kuingia mwezini, kuvunja ungo

(4) Maneno gani hutaja utoaji?

menses,

(5) Vifaa gani hutumika kwa wanawake wakati wa hedhi?

sanitary towel, sanitary napkin, tampon, pad, menstrual cloth,

(6) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na viungo vya uzazi vya kike?

reproductive, genital, sexual, vaginal, menstrual,

(7) Maneno gani hutaja wakati wa maisha ya mwanamke anaposimama kabisa kuwa na hedhi?

menopause,

2.1.8 Viungo vya ndani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja viungo vya ndani.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viungo vya ndani kwa jumla?

kiungo, chombo, ogani, tezi

(2) Majina ya kila kiungo cha ndani ni nini?

ini, kidoletumbo, ubongo, kibofu nyongo, tezi dundumio, uti wa mgongo, fungu la seli neva

(3) Sehemu za mapafu zinaitwaje?

pafu, umio wa pumzi, koromeo, kitangaa

(4) Sehemu za matumbo zinaitwaje?

uchengelele, utumbo mpana, rektamu

(5) Sehemu za mafigo na kibofu zinaitwaje?

figo, kibofu, kichirizi cha mkojo

(6) Maneno gani hutaja tezi?

adrenal, endocrine, pituitary, thyroid, thymus, sweat gland, salivary gland, mammary gland, hormone, hormonal,

(7) Sehemu za koo na koromeo zinaitwaje?

throat, trachea, esophagus, Adam's apple, bronchus, bronchial, windpipe, pharyngeal, pharynx, gullet, epiglottis, glottal, glottis, laryngeal, larynx,

(8) Sehemu za mfumo wa neva au mfumo wa ufahamu zinaitwaje?

brain, spinal column, spinal cord, nerve, nervous, nerve ending, synapse, synaptic, cerebellum, cerebrum, ganglion, hypothalamus, neural, neuron,

Page

2.2.1 Kuhema, pumzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuhema pamoja na matumizi ya mapafu.

(1) Maneno gani hutaja kuhema?

kupumua, kuvuta na kutoa pumzi, kuhema, kuhemahema, kukoroma, kukorota, kutweta, kukotoa roho

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuhema?

breathing, breath, respiration,

(3) Maneno gani hutaja kupumua--yaani kuvuta hewa ndani ya mapafu?

breathe in, take a breath, inhale, gasp, draw breath, whiff,

(4) Maneno gani hutaja kupuma--yaani kutoa hewa nje ya mapafu?

breathe out, exhale, blow,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza sauti wakati unatoa pumzi?

sniff, snore, snort, sigh, hiss, sniffle, snuffle, hiccup,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kupumua kwa haraka?

breathe hard, pant, huff and puff, gulp,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kupumua kwa haraka au kwa shida kwa sababu ya kukimbia au kufanya kazi sana?

breathless, out of breath, draw breath,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kupumua kwa shida?

gasp, wheeze, short of breath,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kupumua kwa kawaida baada ya kukimbia au kufanya kazi sana?

get your breath back,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kujisababisha kuacha kupumua?

hold your breath,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa kutoa pumzi?

can't breathe, choke, suffocate,

(12) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kupumua kabisa?

expire, draw your last breath, death rattle,

(13) Maneno gani hutaja tendo la kumwua mtu kwa kumzuia kupumua?

choke, strangle, suffocate, smother,

(14) Maneno gani hutaja tendo la kumsadia mtu ambaye ameacha kupumua ili apumue tena?

give artificial respiration,

2.2.2 Kukohoa, kupiga chafya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukohoa, kupiga chafya, na vitu vingine vinavyotendewa na mdomo na pua.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukohoa?

cough, cough (n)

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupiga chafya?

sneeze, sneeze (n)

(3) Maneno gani hutaja tendo la kucheua?

burp, burp (n), belch, belch (n),

(4) Maneno gani hutaja tendo la kushikwa na kwikwi?

hiccup (v), hiccup (n), have the hiccups,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   13   14   15   16   17   18   19   20   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page