1.1.3.5 Dhoruba
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na dhoruba.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja dhoruba kwa jumla?
• dhoruba, hali ya hewa ya dhoruba
(2) Aina za dhoruba huitwaje?
• tufani, kimbunga, dhoruba ya radi, dhoruba ya mvua, tufani kuu, dhoruba kali ya theluji
(3) Maneno gani huelezea nguvu ya dhoruba?
• dhoruba itishayo, dhoruba inachafuka
(4) Maneno gani hutaja dhoruba inapoanza?
• break
(5) Maneno gani hutaja dhoruba inapoisha?
• die down
1.1.3.6 Radi na ngurumo
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na radi na ngurumo yake.
(1) Maneno gani hutaja radi ya umeme?
• radi, umeme, mshale wa umeme, mshale wa radi, dhoruba ya umeme
(2) Radi ya umeme hufanya nini?
• kuchoma, kumulika, mwali wa umeme
(3) Watu hutumia nini ili kujikinga na radi ya umeme?
• ufito wa chuma unaozuia umeme, ufito wa kuzuia radi
(4) Maneno gani hutaja ngurumo ya radi?
• radi, ngurumo, wingu la radi
(5) Maneno gani huelezea sauti zinazotolewa na ngurumo ya radi?
• kulia kwa kunguruma, mdundo, mrindimo, mshindo, mpasuko wa umeme, kurindima
1.1.3.7 Mafuriko
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na mafuriko.
(1) Maneno gani hutaja muda ambao mvua ni nyingi mno?
• mvua nyingi, mvua kubwa, mvua za gharika
(2) Maneno gani hutaja maeneo yakifunikwa na maji?
• mafuriko, kufurika, kugharikisha, kufurikiza, kufunikiza maji
(3) Maneno gani hutaja mafuriko yanapoisha?
• recede
(4) Maneno gani hutaja eneo ambalo mara nyingi limefunikwa na maji ya mto?
• floodplain,
(5) Maneno gani hutaja vitu vinavyobaki baada ya mafuriko kuisha?
• silt,
1.1.3.8 Ukame
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na ukame--yaani ukosefu wa maji.
(1) Maneno gani hutaja muda ambapo kuna mvua ndogo mno au hakuna mvua kabisa?
• ukame, ukavu, ukosefu wa mvua, kiangazi, jilali, uhaba wa maji
(2) Maneno gani huelezea ardhi iliyokosa mvua?
• kukauka kwa kukosa mvua, kupasukapasuka, wakati wa vumbi, kutiwa joto
1.1.3 Hali ya hewa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya hewa.
(1) Maneno gani hutaja hali ya hewa?
• hali ya hewa
(2) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa ni nzuri?
• hali ya hewa ni nzuri, ni safi, ni njema, kumetakata
(3) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa imeanza kubadilika kuwa nzuri?
• clear, clear up, sun comes out,
(4) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa ni mbaya?
• hali ya hewa ni mbaya, inachukiza
(5) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa imeanza kubadilika kuwa mbaya?
• cloud up, deteriorate
(6) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa inapobadilika?
• (cold/warm/storm) front
(7) Maneno gani huelezea wakati hali ya hewa haijabadilika?
• stretch (of good weather), keep up
(8) Maneno gani hutumika kuelezea aina zote za hali ya hewa?
• rain or shine, all weather, in all weathers
(9) Maneno gani hulezea hali ya joto au baridi?
• joto, baridi, hali ya jua kali, unyevunyevu
(10) Maneno gani huelezea hali ya hewa wakati maji mengi yamo hewani?
• humid, humidity, damp, sultry
(11) Maneno gani hutaja aina ya hali ya hewa iliyopo mahali fulani kwa kawaida?
• tabia za hewa, hali ya ukavu, hali ya unyevunyevu
(12) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimekaa nje kwenye hali ya hewa kwa muda mrefu?
• weather-beaten, weathered
(13) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa hali ya hewa?
• meteorology, meteorologist, weatherman
(14) Vifaa gani hutumika kwa masomo au utafiti wa hali ya hewa?
• thermometer, barometer, weathervane
(15) Maneno gani hutaja taarifa au ripoti kuhusu hali ya hewa?
• weather forecast, weather report, the weather, the outlook
1.1 Anga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na anga.
(1) Maneno gani yanatumika kutaja anga?
• anga, mbingu
(2) Maneno gani hutaja hewa inayozunguka dunia?
• angahewa
(3) Maneno gani yanatumika kutaja mahali au eneo ng'ambo ya anga?
• mbingu, anga za juu, nafasi ya nje
(4) Maneno gani huelezea lolote angani au lolote linalotokea angani?
• kimbingu, kama hewa
(5) Maneno yapi yanaelezea sura ya anga?
• buluu, nyeusi (usiku), angavu, hali ya mawingu, hali ya kung'aa, giza, utabiri wa anga, ubashiri wa anga, hali ya dhoruba, kutakapaa kwa nyota, kung'aa kwa nyota
(6) Maneno gani hutaja ukingo wa anga, mahali anga linapokutana na ardhi?
• upeo wa macho
(7) Maneno gani hutaja kitu angani?
• heavenly body, celestial body, luminary
(8) Maneno gani hutaja ming'ao karibu na ncha ya Kaskazini au ya Kusini?
• aurora borealis, northern lights
(9) Maneno gani hutaja hali ya kitu kuwa angani?
• aloft, up in the sky, up in the air,
Page 1.2.1.1 Mlima
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na milima.
(1) Ziko aina gani za milima?
• mlima, kilima, volkeno, jabali
(2) Maneno gani hutaja mlima mwenye eneo bapa juu yake?
• plateau, mesa, tableland
(3) Maneno gani huelezea nchi ambayo ina milima mingi ndani yake?
• mountain range, mountainous, the hills, hilly, rolling hills, highlands
(4) Maneno gani hutaja kilele cha mlima?
• top, summit, peak, pinnacle
(5) Maneno gani hutaja miteremko ya mlima?
• face, mountainside, hillside, slope, shoulder, foothill, saddle
(6) Maneno gani hutaja poromoko kwenye mlima?
• cliff, bluff, butte, escarpment, ridge, precipice, brow, ledge
(7) Maneno gani huelezea ukali wa mteremko kwenye mlima?
• slope, steep, gentle, contour, gradient
(8) Maneno gani hutaja sehemu ya chini ya mlima?
• foot, bottom
(9) Maneno gani hutaja theluji kwenye mlima?
• snowcap, glacier
(10) Maneno gani hutaja miamba katika sehemu ya chini ya mlima?
• moraine, talus
(11) Maneno gani hutaja wakati sehemu ya mlima inapoporomoka?
• landslide, avalanche
(12) Watu hufanya nini kwenye mlima?
• kupanda, kukwea, kuchimba njia ya kupenya chini ya mlima
(13) Maneno gani hutaja mahali ambapo unaweza kusafiri kwa kupita ardhini?
• pass, tunnel
Share with your friends: |