1.2.2.3 Chuma
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja madini kama chuma au bati.
(1) Maneno gani hutaja chuma kwa jumla?
• chuma, yenye madini
(2) Zika aina gani za chuma?
• dhahabu, fedha, chuma, shaba nyekundu, risasi, bati, urani
(3) Maneno gani huelezea chuma?
• yenye kung'aa, yenye kufulika
(4) Maneno gani hutaja kipande cha chuma kinachovutana na vipande vingine vya chuma?
• magnet, magnetic, magnetism, lodestone
1.2.2.4 Madini
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja madini kama vitu vya asili visivyotengenezwa na mtu na madini kama mawe yanayochimbwa.
(1) Maneno gani hutaja madini, yaani mawe yanayochimbwa?
• madini, raslimali ya asili
(2) Ziko aina gani za madini zinazochimbwa?
• makaa ya mawe, lami, salfa, fosforasi (kwa kutengenezwa viberiti), zebaki
(3) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa madini?
• mineralogy, mineralogist
(4) Maneno gani hutaja uundaji wa madini?
• mineralize, calcify, petrify, vitrify
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vito na mawe ya thamani.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vito, yaani mawe ya thamani kwa jumla?
• kito, jiwe la thamani, johari
(2) Ziko aina gani za vito?
• almasi, zubaradi, kito chekundu cha thamani, ametisti, tanzanaiti
(3) Maneno gani huelezea vito?
• precious, semiprecious, facet, glitter, sparkle, lustrous
1.2.2 Nyenzo, vitu
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno ya kawaida yanayotaja nyenzo au vitu kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vitu kwa jumla?
• kitu, kitu kinachogusika, nyenzo
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachopatikana kwa asili na ambacho watu wanaweza kutumia?
• natural resources, raw materials
(3) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa nyenzo?
• chemistry
1.2.3.1 Kitu cha majimaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vitu vya majimaji--yaani vitu vyenye hali ya kuwa majimaji au ya kumiminika.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vimiminiko, yaani vitu vya majimaji kwa jumla?
• kimiminiko, nyororo kama maji, umaji, kitu cha majimaji
(2) Maneno gani huelezea kitu kilicho cha majimaji?
• liquid (adj), molten
(3) Maneno gani huelezea vimiminiko?
• hali ya majimaji, kumiminika, yenye unyevunyevu, kama tui
(4) Maneno gani huelezea kimiminiko kilicho karibu kuwa kitu kigumu?
• thick, stiff, creamy, smooth, lumpy, viscid, viscous, paste, concentrated
(5) Maneno gani hutaja kufanya kimiminiko kiwe kigumu zaidi?
• thicken, concentrate
(6) Maneno gani hutaja kuwa kigumu zaidi?
• thicken, get thicker, set, congeal, clot
(7) Maneno gani hutaja kiasi cha ulaini au ugumu wa kimiminiko fulani?
• thickness, consistency, viscosity
(8) Maneno gani hutaja kimiminiko kilicho cha majimaji sana?
• fluid, watery, thin, runny, diluted
(9) Maneno gani hutaja kufanya kimiminiko kiwe laini zaidi?
• dilute
(10) Maneno gani hutaja sehemu ya juu ya kimiminiko fulani?
• surface
(11) Maneno gani hutaja sehemu ngumu inayoweza kuundika juu ya kimiminiko fulani?
• skin, scum, crust, slime, slimy,
(12) Maneno gani hutaja kuondoa sehemu ngumu juu ya kimiminiko?
• skim
(13) Maneno gani huelezea kimiminiko kilicho na mabonge ndani yake?
• lumpy, smooth
(14) Maneno gani hutaja mapovu ndani au juu ya kimiminiko?
• bubble (n), bubble (v), bubbly, suds, foam
1.2.3.2 Mafuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mafuta.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mafuta kwa jumla?
• mafuta, shahamu, matelezi
(2) Ziko aina gani za mafuta?
• shahamu, bereu, mafuta ya taa, mafuta ya mboga, mafuta ya kulainisha, mafuta yasiyosafishwa, grisi
(3) Aina gani za mafuta hutengenezwa kutoka mimea au wanyama?
• vegetable oil, cream, lard, fat, wax, tallow, beeswax, soap
(4) Maneno gani huelezea mafuta?
• yenye mafuta, telezi, kuponyoka
(5) Maneno gani hutaja mafuta yaliyopo juu ya kitu fulani?
• drop of oil, oil slick, blob, glob, soap (v)
(6) Maneno gani hutaja kuweka mafuta ndani au juu ya kitu kingine?
• lubricate, lubrication, lube, oil (v), anoint, rub, salve, slick, smear, grease (v)
1.2.3.3 Gesi (Hewa)
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja gesi--yaani kitu cha hewa.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja gesi kwa jumla?
• gesi, hewa, mvuke, moshi mzito, wingu la gesi, fukizo
(2) Ziko aina gani za gesi?
• gesi ya asili, oksijeni, haidrojeni, , heliamu, naitrojeni, hewa ya neo, hewa safi ya kuburudisha pwani, ozoni
(3) Maneno gani huelezea gesi?
• noxious (fumes), poisonous gas
(4) Maneno gani hutaja uzalishaji wa gesi?
• produce gas, give off fumes
(5) Maneno gani hutaja kutembea kwa gesi?
• spread, drift, creep along the ground, vapor trail, rise
1.2.3 Imara, ya majimaji, ya hewa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea hali za vitu (imara, ya majimaji, ya hewa), na kubadilisha kutoka hali moja kuwa hali nyingine.
(1) Maneno gani huelezea hali za vitu?
• imara, cha majimaji, cha hewa (kama gesi)
(2) Maneno gani huelezea hali za maji?
• barafu, maji, mvuke
(3) Maneno gani hutaja mabadiliko ya vitu vigumu kuwa vitu vya majimaji?
• kuyeyuka, kuyeyushwa, kiyeyushi
(4) Maneno gani hutaja mabadiliko ya vitu vya majimaji kuwa vitu vigumu?
• kukausha, kuganda, kugandisha, kugandamiza, kugandamana
(5) Maneno gani hutaja mabadiliko ya vitu kama gesi kuwa vitu vya majimaji?
• kugandamiza, kugeuza mvuke uwe maji, kutonesha
(6) Maneno gani hutaja mabadiliko ya vitu vya majimaji kuwa vitu kama gesi?
• kuvukiza, kufanya mvuke, kufusha
(7) Maneno gani hutaja kipimo cha joto ambalo vitu vinabadilikia?
• melting point, freezing point, dew point, boiling point
Share with your friends: |