Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page4/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206

1.2.1.2 Volkeno (Mlima wa moto)


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na milima ya moto (volkeno)?

(1) Maneno gani hutaja volkeno, yaani mlima wa moto?

volkeno, mlima wa moto

(2) Sehemu za volkeno zinaitwaje?

sehemu iliyochongoka, kiini cha volkeno, shimo la moshi, myeyuko wa mawe uliotapakaa

(3) Milima ya moto hufanya nini?

kufoka, kulipua, kutoa gesi na mawe yaliyoyeyushwa na majivu, kusababisha matetemeko ya ardhi, kutoa moshi, kufukia vitu

(4) Milima ya moto hutoa nini?

myeyuko ya mawe, majivu ya moto, wingu la majivu, makaa ya moto wa volkeno, mfumuko wa radi, fuwawe

(5) Maneno gani hutaja kama mlima wa moto unalipua au la?

active, dormant, extinct

1.2.1.3 Nchi tambarare, uwanda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja nchi ambayo ni tambarare.

(1) Maneno gani hutaja nchi ambayo ni tambarare?

uwanda wa chini, nchi tambarare, tambarare, uwanda, nchi pana na sawa, ardhi iliyo sawa

(2) Maneno gani huelezea nchi tambarare?

flat, level, even

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo si tambarare sana?

uneven, dip, depression, basin, rut, rutted

1.2.1.4 Bonde


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mabonde.

(1) Ziko aina gani za bonde?

bonde, korongo, shimo, genge kuu, mvo, ufumbi

(2) Maneno gani huelezea mabonde?

narrow, broad, deep

1.2.1.5 Chini ya ardhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja eneo chini ya ardhi na mashimo kwenye ardhi.

(1) Maneno gani hutaja eneo chini ya uso wa dunia?

chini ya nchi, chini ya ardhi, chini kwa chini

(2) Maneno gani hutaja mashimo ya asili katika ardhi?

shimo, pango, kipango, kipenyo, mpasuko, mbonyeo, eneo lenye uwazi ndani

(3) Maneno gani hutaja mashimo yaliyochimbwa na watu?

chimbo, shimo, tundu, mfereji, mgodi

(4) Maneno gani hutaja shimo iliyochimbwa na mnyama?

burrow, den, foxhole, lair

(5) Maneno gani hutaja maji yaliyoko chini ya ardhi?

aquifer, underground river

1.2.1.6 Msitu, mbuga, jangwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja eneo la ardhi ambayo ina aina maalum za mimea inayomea juu yake.

(1) Maneno gani hutaja aina za mimea inayomea katika eneo moja?

mfumo wa ikolojia, mimea

(2) Maneno gani hutaja msitu au kundi la miti?

msitu, kichaka, koko

(3) Sehemu za msitu zinaitwaje?

uga wa msitu, sakafu ya msitu, ukingo wa msitu

(4) Maneno gani hutaja mahali ndani ya msitu ambapo miti haipo?

meadow, clearing

(5) Maneno gani hutaja nchi kavu iliyofunikwa na majani au vichaka?

mbuga, nyika, ardhi yenye majani, pori, mbuga pana

(6) Maneno gani hutaja ardhi ambayo hutoa mimea mingi?

lush, dense, thick, overgrown,

(7) Maneno gani hutaja ardhi ambayo huota mimea michache sana tu?

jangwa, nchi kame

(8) Maneno gani hutaja ardhi isiyokaliwa na watu (yaani ambapo watu hawaishi)?

jangwa, pori, pasipokaliwa na watu, mahame, nchi ya kiwa

1.2.1.7 Tetemeko la ardhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na matetemeko ya ardhi.

(1) Maneno gani hutaja tetemeko la ardhi?

tetemeko la ardhi, zilizala, tetemo, mtikisiko, tetemeko la nchi

(2) Matetemeko ya ardhi hufanya au husababisha nini?

kuangusha majengo, ardhi kuvunjika na kupata nyufa, mawimbi ya kufunika kama kabobo

(3) Matetemeko hutokea wapi hasa?

ufa wa ardhi, mwatuko, maeneo yenye hitilafu, mkondo wenye hitilafu, kitovu cha zilizala

(4) Maneno gani hutaja wimbi kubwa la maji linalosababishwa na tetemeko la ardhi?

tidal wave, tsunami,

1.2.1 Ardhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja ardhi tunayosimama juu yake--yaani nchi kavu badala ya anga.

(1) Maneno gani hutaja nchi kavu ukilinganisha na bahari?

nchi (na bahari), nchi kavu, bara

(2) Dunia inaitwaje ukitenganisha na mbingu au anga?

(mbingu na) nchi, (mbingu na) dunia

(3) Maneno gani hutaja ardhi tunayosimama juu yake?

ardhi, nchi kavu, chini

(4) Maneno gani ya kawaida hutaja aina ya nchi kavu ndani ya eneo moja?

jiografia, mandhari ya nchi, sura ya nchi

(5) Maneno gani hutaja urefu wa nchi kavu (juu ya bahari)?

altitude, sea level

(6) Maneno gani hutaja sura ya nchi au dunia?

surface, crust, lithosphere

1.2.2.1 Udongo


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja udongo.

(1) Maneno gani hutaja udongo?

udongo, ardhi, mchanga, kifusi

(2) Maneno gani huelezea sifa za udongo?

yenye rotuba, isiyo na rotuba, mbaya, yenye kuzaa sana

(3) Maneno gani hutaja kipande cha udongo?

pumba, donge, bonge, fungu, chembe ya mchanga

(4) Maneno gani hutaja udongo uliochanganywa na maji?

tope, yenye tope, dimbwi la tope

(5) Tope hufanya nini?

kunata, kushika, kugandamana

(6) Maneno gani hutaja udongo uliokauka?

vumbi, kivumbi

(7) Vumbi hufanya nini?

kutimka, kukorogeka, kuruka

(8) Maneno gani hutaja udongo juu ya ardhi mwenye nyasi zinazomea juu yake?

topsoil, sod

(9) Maneno gani hutaja udongo ulioporomoshwa na mvua?

erode, erosion,

1.2.2.2 Mwamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwamba.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mwamba kwa jumla?

rock, stone, bedrock

(2) Maneno gani hutaja aina za ukubwa wa mwamba?

jabali kubwa, mwamba, jiwe, mwamba nundu, changarawe, kijiwe, mbwe

(3) Ziko aina gani za mwamba?

itale (yaani jiwe gumu sana), chengachenga, mwamba mashapo, marmar (yaani jiwe zuri ling'aalo), gumegume, mawe ya tabaka

(4) Maneno gani huelezea miamba?

hard, soft, sharp, smooth

(5) Maneno gani huelezea ardhi iliyo na miamba mingi?

rocky, stony

(6) Maneno gani hutaja kipande cha mwamba?

block, slab



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page