Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page77/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   73   74   75   76   77   78   79   80   ...   206

4.2.2 Tukio la kijamii


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tukio fulani la kijamii.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tukio la kijamii kwa jumla?

event, show, special day, gathering, meal, observance

4.2.3.1 Kutunga muziki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutunga muziki.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutunga muziki?

compose, write, arrange

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutunga muziki?

composer, writer, arranger

(3) Maneno gani hutaja tungo la muziki ambalo limetungwa na mtu?

composition, arrangement, score

(4) Maneno gani hutaja alama zinazotumika katika kuandika muziki?

music, notation, key, staff, bar, note, quarter note, half note, whole note, sharp, flat, scale

4.2.3.2 Kupiga muziki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupiga muziki.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga muziki?

kupiga muziki, kucheza muziki, kuendesha tamasha la muziki

(2) Tukio la kupiga muziki huitwaje?

tamasha la muziki, kucheza, utambaji wa muziki, upigaji muziki

(3) Vifaa gani hutumika katika kupiga muziki?

chombo cha muziki, jukwaa la muziki

(4) Muziki hupigwa wapi?

ukumbi wa tamasha la muziki, uwanjani, jukwaa

(5) Maneno gani hutaja tendo la kurekibisha chombo cha muziki ili kipigwe vizuri na kisikike vizuri?

tune, in tune, out of tune, sharp, flat, warm up

(6) Maneno gani hutaja mashine inayotumika kurekodi au kusikiliza muziki?

phonograph, record player, tape deck, boom box

(7) Maneno gani humwelezea mtu anayependa kusikiliza muziki?

music lover, critic

(8) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyopiga muziki?

performance, execution, touch, expression, fingering, keep time

4.2.3.3 Kuimba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuimba.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuimba?

kuimba, kuimba kwa madoido, kuimba kwa madende, kuchombeza, kuliwaza kwa wimbo, kuimba kwa mvumo

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuimba bila kutumia maneno?

hum, whistle

(3) Maneno gani humtaja mtu anayeimba?

singer, vocalist, soloist, minstrel

(4) Maneno gani hutaja kundi la watu wanaoimba pamoja?

choir, chorale, singing group, duet, trio, ensemble

(5) Maneno gani hutaja kile kinachoimbwa?

song, singing, tune, melody

(6) Aina za nyimbo zinaitwaje?

lullaby, hymn, psalm, carol, national anthem, lament, ballad, funeral dirge

(7) Maneno gani hutaja sehemu fulani ya wimbo?

verse, chorus, theme, note, melody, harmony

(8) Maneno gani huelezea utalaamu au uhodari wa mwimbaji katika kuimba?

beautiful singing voice, can't carry a tune in a bucket, sing on/off key

(9) Maneno gani huelezea kimo na kina ambacho mtu fulani anaweza kuimba.

sauti ya kitoto

(10) Maneno gani huelezea kama watu wanaimba wimbo huo huo pamoja, au hawaimbi wimbo huo huo?

sing in unison, sing in harmony, sing the melody/harmony, keep time

4.2.3.4 Mwanamuziki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwanamuziki.

(1) Maneno gani humtaja mtu apigaye muziki?

mwanamuziki, mwanakwaya, mwimbaji, mpigaji (muziki), mwanabendi

(2) Kundi la wanamuziki linaitwaje?

kwaya, kusikika, kundi la waimbaji (wawili, watatu, wanne ...), okestra (kundi la wapigaji muziki), bendi

(3) Maneno gani humtaja mtu aongozaye kundi la wanamuziki?

director, concertmaster, bandleader

(4) Maneno gani humwelezea mwanamuziki mzuri au mbaya?

have an ear for music, have a good ear, maestro, tone deaf

4.2.3.5 Chombo cha muziki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vyombo vya muziki na watu wapigao chombo maalumu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vyombo vya muziki kwa jumla?

vyombo vya muziki, ala za muziki

(2) Aina za chombo chenye nyuzi zinaitwaje?

stringed instrument, strings, piano, harp, guitar, banjo, violin, fiddle, viola, cello, double bass

(3) Aina za chombo cha kugongea zinaitwaje?

percussion instruments, drum, snare drum, bass drum, tympani, cymbal, bell, xylophone, marimba, rattle, castanet, bangle, jingle

(4) Aina za chombo cha kupulizia (yaani aina za filimbi na matarumbeta) zinaitwaje?

wind instruments, winds, reeds, organ, flute, clarinet, oboe, brass instruments, horn, trumpet, cornet, bugle, trombone, French horn, baritone horn, tuba, harmonica, bagpipes, pipe

(5) Maneno gani hutaja tendo la kupiga chombo cha muziki?

play, pluck, fiddle, blast, beat

(6) Maneno gani humtaja mtu apigaye chombo cha muziki?

instrumentalist, player, pianist, violinist, drummer, trumpeter, flutist

(7) Maneno gani huelezea milio inayofanyika kwa chombo cha muziki?

blast (of a trumpet), blare, crash (of a cymbal), timbre,

(8) Maneno gani hutaja sehemu za vyombo vya muziki?

mouthpiece, bell, key, keyboard, drumstick, reed, bow, string, fret, pick, organ pipe

4.2.3 Muziki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muziki.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja muziki kwa jumla?

music, musical

(2) Aina za muziki zinaitwaje?

style, pop, rock, country western, jazz, folk music, classical, longhair, modern, popular, chamber music, march, symphony, opera, ballet, musical, dance number, canned music

(3) Maneno gani hutaja tungo la muziki?

piece of music, music piece, song, number, selection, encore

(4) Maneno gani hutaja sehemu fulani ya tungo la muziki?

movement, introduction, bar, finale

(5) Maneno gani hutaja tungo la muziki ambalo linapigwa au linaimbwa na mtu mmoja tu?

solo

(6) Maneno gani hutaja tungo la muziki ambalo linapigwa au linaimbwa na watu wawili, watatu, wanne, au zaidi?

duet, trio, quartet, quintet

(7) Maneno gani hutaja milio ya muziki?

scale, tune, melody, melodic, harmony, chord, pitch, soft, pianissimo, loud, forte, crescendo, rhythm, rhythmic, beat, time



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   73   74   75   76   77   78   79   80   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page