2.6.2.1 Ubikira
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa bikira--yaani mtu ambaye hajawahi kufanya mapenzi.
(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye hajafanya mapenzi daima?
• bikira, mwanamwali, asiyeguswa
(2) Maneno gani hutaja tendo la kudumisha ubikira?
• kujinyima, kujihini
(3) Maneno gani hutaja tendo la kupoteza ubikira?
• kufanya mapenzi mara ya kwanza
2.6.2.2 Kuvutia kingono
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuvutia mtu kingono--yaani kumsababisha mtu kutaka kufanya mapenzi na mwingine, na maneno yanayohusiana na kuvutiwa kingono na mtu--yaani kutaka kufanya mapenzi na mtu.
(1) Maneno gani hutaja kuvutia mtu kingono?
• attract, be attractive to, appeal to, tempt, seduce, draw, lure, act sexy, excite, turn someone on, titillate, flirt, flirtatious,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuvutiwa kingono na mtu mwingine?
• be attracted to, fancy, be interested in, want, lust after, take a fancy to,
(3) Maneno gani hutaja kutaka kufanya mapenzi?
• sex drive, desire, lust (v), want someone, lustful, libido, horny, randy,
(4) Maneno gani hutaja hisia za kuvutiwa kingono?
• attraction, lust (n), passion,
(5) Maneno gani humwelezea mtu mwenye kuvutia kingono?
• sexy, attractive, desirable, voluptuous, sultry, alluring, luscious, appealing, beautiful, allure, sensual, sensuous, good-looking, glamorous, seductive, handsome, tempting, irresistible, enticing,
(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho mtu hufanya kumvutia mwingine?
• sexy, provocative, seductive, suggestive, sensual, be a turn-on, erotic,
(7) Maneno gani hutaja sifa ya mtu inayofanya watu kuvutiwa?
• looks, sex appeal, beauty, attraction, appeal, the lure of, charm, attractiveness, prettiness, sensuality,
(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye havutii?
• unattractive, be a turn-off, sexless,
2.6.2.3 Uasherati
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahusiano ya kimapenzi yasiyofaa--kama mwenendo mbaya wa tabia ya kujamiiana.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja uasherati na uzinzi kwa jumla?
• immorality, illicit relations, sexual sin, lasciviousness, licentiousness, obscenity,
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye ni mwasherati au mzinzi?
• sex maniac, dirty old man, lecherous, nymphomaniac, sex fiend, libertine,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mwasherati au mzinzi?
• bawdry, erotic, immoral, kinky, licentious, lustful, sensuous, voluptuous, indecent, obscene,
(4) Maneno gani hutaja ngono iliyofanyika kabla ya ndoa?
• uzinzi, kuzini
(5) Maneno gani hutaja makosa ya kingono ndani ya ndoa?
• abuse,
(6) Maneno gani hutaja ngono baina ya watu wasiooana?
• uzinzi, zinaa, kuzini
(7) Maneno gani humtaja mtu anayezini?
• mzinifu, mzinzi, mgoni
(8) Maneno gani hutaja tendo la kumjaribu mtu afanye mapenzi nje ya ndoa?
• kushawishi, kutongoza, upotofu, utongozaji
(9) Maneno gani hutaja uhusiano wa kimapenzi wa nje ya ndoa unaoendelea?
• kufanya mapenzi na
(10) Maneno gani hutaja tendo la kuzini mara moja tu?
• kujamiiana mara moja
(11) Maneno gani hutaja kufanya mapenzi na watu wengi?
• sleep around, promiscuous, promiscuity,
(12) Maneno gani humtaja kahaba (mwanamke anayejitolea kimapenzi kwa kupata fedha)?
• malaya, kahaba
(13) Wakahaba hufanya nini?
• kufanya ukahaba, kujiuza
(14) Maneno gani hutaja kufanya mapenzi mwenyewe?
• masturbate, masturbation,
(15) Maneno gani huelezea vitabu na maonyesho yanayohusu mapenzi au ngono?
• erotic, pornographic, pornography, porn, adult, blue, dirty, steamy, raunchy, X-rated,
(16) Maneno gani hutaja ndugu wa karibu wakifanya mapenzi?
• (kosa la) kujamiiana kwa maharimu
(17) Maneno gani hutaja kumlazimisha mwanamke kufanya mapenzi?
• rape, rapist, force, sexually assault,
(18) Maneno gani hutaja ngono baina ya watu wa jinsia moja?
• msagaji (kwa wanawake), msenge (kwa wanaume)
(19) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mapenzi na mtoto?
• abuse, sexual abuse, molest, molestation, pedophile, pederast, pederasty,
(20) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mapenzi na mnyama?
• kuingilia mnyama
2.6.2 Mahusiano ya tendo la ndoa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la ndoa kama vile ngono. Kama neno fulani ni tusi au mwiko, wenyeji wa lugha waamue litakavyoingizwa au kama lisiingizwe.
(1) Maneno gani hutaja mahusiano ya tendo la ndoa?
• mahusiano ya tendo la ndoa, mapenzi
(2) Maneno gani hutaja kufanya tendo la ndoa na mtu au kufanya mapenzi?
• have sex with, have intercourse, make love, sleep with, go to bed with, lovemaking, coition, coitus, copulation, coupling, impregnate, mate, unite,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuvutana kimapenzi?
• ashiki, mahaba, kubusu, kubembeleza, kubemba, kuchechemua kimapenzi, kupapasa (kwa mahaba)
(4) Maneno gani hutaja mshindo?
• orgasm, climax, ejaculate, ejaculation, come, semen, sperm,
(5) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na kufanya tendo la ndoa au kufanya mapenzi?
• carnal, erotic, genital, heterosexual, phallic, sexual, sexuality, sexually, venereal,
(6) Maneno gani huelezea mtu ambaye anataka kufanya mapenzi?
• amorous, aroused, in the mood, turned on,
(7) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika kuongeza ashiki za kingono?
• aphrodisiac,
(8) Maneno gani huwataja watu wawili wanaofanya mapenzi?
• lovers,
(9) Maneno gani humwelezea mtu aliye na ugumu wa kufanya mapenzi?
• hanithi, asiyefaa
(10) Maneno gani hutaja marafiki wasiofanya mapenzi?
• platonic, be just good friends,
Share with your friends: |