Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mweziDownload 2.8 Mb.
Page1/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
  1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206

1.1.1.1 Mwezi


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi.

(1) Maneno gani hutaja mwezi?

mwezi, nyota inayozunguka dunia

(2) Maneno gani hutaja jinsi mwezi unavyotembea?

rise, set, sink

(3) Maneno gani hutaja wakati mwezi unapotokeza?

moonrise, rising of the moon,

(4) Maneno gani hutaja wakati mwezi unapotua?

moonset, setting of the moon,

(5) Maneno gani hutaja wakati mwezi unapoangaza?

mwezi umetoka, mwezi unaangaza

(6) Maneno gani huelezea mahali mwezi unakoangaza?

kuwa katika nuru ya mwezi

(7) Maneno gani huelezea wakati au mahali ambapo mwezi huangazi?

kupatwa mwezi, usiku usio na mwezi, usiku wa giza

(8) Maneno gani hutaja nuru ya mwezi?

mbalamwezi, mng'ao wa mwezi, mwali wa mwezi

(9) Maneno gani huelezea mng'ao wa mwezi?

bright, pale,

(10) Maneno gani huelezea sura ya mwezi (k.m., kuna mtu au mnyama inayoonekana katika sura ya mwezi)?

mwezi mpevu, mtu wa mwezini

(11) Maneno gani hutaja madoa mwezini?

lunar sea, crater,

(12) Maneno gani yanataja mabadiliko ya sura ya mwezi?

mwezi mpya, mwandamo, mwezi mzima, mwezi-nusu, mwezi-robo, mwezi mpevu, kufifia kwa mwezi, kupevuka kwa mwezi, kuongezeka kwa mwezi

(13) Maneno gani hutaja wakati wa kupita kwa mabadiliko yote kwa mwezi?

mfunguo, mwezi kongo

1.1.1.2 Nyota


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nyota.

(1) Maneno gani hutumika kutaja nyota kwa jumla?

nyota

(2) Maneno gani huelezea anga wakati nyota zinaangaza?

nyota zinang'aa, anga la nyota

(3) Maneno gani hutumika mahali nyota zinapong'aa?

mwako wa nyota

(4) Maneno gani yanatumika wakati au mahali ambapo nyota hazing'ai?

usiku usio na nyota

(5) Maneno yapi hutaja nuru ya nyota?

mwangaza wa nyota

(6) Maneno gani huelezea mwangaza wa nyota?

bright, brilliant, dim, luminous

(7) Maneno gani huelezea sura ya nyota?

kumeremeta, kumemetuka

(8) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa nyota?

unajimu, mwanafalaki, majusi, mramali, uanaanga

(9) Kundi la nyota linaitwaje?

falaki

1.1.1.3 Sayari, vimondo na vinginevyo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sayari (yaani kitu katika anga ambacho huzunguka jua kama dunia yetu au nyota ya alfajiri), vimondo, na vitu vingine katika anga.

(1) Maneno gani hutaja sayari?

sayari, nyota inayotembea

(2) Majina ya sayari ni nini?

Zebaki, Zuhura (nyota ya alfajiri), Dunia, Mars, Mshtarii (Jupita), Zohali (Zahari), Uranus, Neptuni, Pluto

(3) Maneno gani hutaja jinsi sayari, nyota au vimondo vinavyotembea?

revolve (around the sun), orbit,

(4) Maneno gani hutaja mfumo wa jua na sayari zake pamoja?

solar system

(5) Maneno gani hutaja kimondo kinachopita mbali tu?

nyota yenye mkia

(6) Vimondo hivyo vinafanya nini?

kuonekana angani, kupita, kufifia

(7) Maneno gani hutaja kimondo kinachogonga anga la dunia?

nyota inayokimbia, mburuzo wa kimondo

(8) Vimondo vya kugonga anga vinafanya nini?

kumulika kwa kukatiza anga, kufanya mlipuko, kuacha mburuzo

(9) Maneno gani yanatumika wakati kimondo kinagonga dunia?

jiwe lililotoka katika nyota, mlipuko wa kimondo, kreta ya kimondo

(10) Sayari ndogo inaitwaje?

sayari ndogo kama asteroidi

1.1.1 Jua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jua. Jua lina kazi tatu hasa: linatembea, linatoa mwanga, na linatoa joto.

(1) Maneno gani hutaja jua?

jua, nguvu ya jua

(2) Maneno gani hutaja jinsi jua linavyotembea?

rise, set, cross the sky, come up, go down, sink

(3) Maneno gani hutaja wakati jua linapochomoza?

dawn, sunrise, sunup, daybreak, cockcrow,

(4) Maneno gani hutaja wakati jua linapofika juu kabisa angani?

noon, zenith,

(5) Maneno gani hutaja wakati jua linapotua?

sunset, dusk, sundown, twilight, eventide,

(6) Maneno gani hutaja wakati jua linawaka?

jua linawaka, mchana

(7) Maneno gani hutaja mng'ao wa jua ukipita mawingu?

come out, break through (the clouds), go behind (a cloud)

(8) Maneno gani hueleza mahali jua linapong'aa?

kuwa juani

(9) Maneno gani hueleza wakati na mahali jua lisipowaka?

hali ya mawingu, kivuli, kupatwa jua

(10) Maneno gani hutaja nuru ya jua?

nuru, mwanga wa jua, mionzi wa jua, kianga, mwangaza

(11) Maneno gani hueleza mng'ao wa jua?

jua kali, mng'ao, mng'arizo, kung'aa, kumeremeta

(12) Maneno gani hutaja jua likipashia moto vitu?

warm, heat, dry

(13) Kuna matendo mengine linayoyafanya jua?

looks down on

(14) Maneno gani hueleza madhara yanayofanywa na jua?

mbabuko wa jua, ugonjwa kutokana na jua kali

(15) Watu hutumia nini ili kujilinda na jua?

miwani ya jua, mwamvuli wa jua, kivuli cha mti

(16) Maneno gani yanatumika kuelezea wakati kwa kutumia jua?

saa ya kivuli, kuelekea jua, kujua wakati kwa kutazama jua lilipo

(17) Maneno gani hutaja kutumia nguvu ya jua?

nishati ya mionzi ya jua, sola

1.1.2.1 Kupuliza hewa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogeza au kupuliza hewa.

(1) Maneno gani hutaja kusogeza au kupuliza hewa?

blow, fan, exhaust, expel, explode

(2) Maneno gani hutaja kuacha hewa ipitie kwenye kitu fulani?

air out, ventilate

(3) Maneno gani hutaja kujaza upepo kwenye kitu (kama vile tairi au puto)?

blow up, inflate, pump up, pneumatic

(4) Maneno gani hutaja kuzuia hewa isiingie ndani ya kitu fulani?

seal, airtight

(5) Maneno gani hutaja kiasi cha hewa iliyomo ndani ya kitu?

air pressure, vacuum

(6) Maneno gani hutaja tendo la kutumia hewa ili kupepeta?

winnow

(7) Vifaa na mitambo gani hutumika kutengeneza upepo au kutumia nguvu zake?

fan, air pump, bellows, ventilator, wind tunnel, propeller, air pipe, airshaft, vent, chimney, exhaust, funnel, windmill, sail, valveDownload 2.8 Mb.

Share with your friends:
  1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206
The database is protected by copyright ©ininet.org 2022
send message

    Main page