Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page2/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206

1.1.2 Hewa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hewa inayotuzunguka, pamoja na hewa tunayoipumua na angahewa inayozunguka dunia yetu.

(1) Maneno gani hutaja hewa tunayoipumua?

air

(2) Maneno gani hutaja kiasi cha maji yaliyomo hewani?

unyevu, kinyevu

(3) Maneno gani huelezea hewa njema (kama hewa ndani ya nyumba ikiwa ni safi au isiponuka vibaya)?

fresh air, airy, well ventilated

(4) Maneno gani huelezea hewa mbaya (kama hewa ndani ya nyumba ikiwa ni chafu, yenye joto, ikinuka vibaya au ikiwa kuna mpumuo wa watu wengi mno)?

kichafuzi

1.1.3.1 Upepo


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na upepo uvumao tu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja upepo uvumao?

upepo, hali ya upepo mwingi, mkondo wa upepo

Maneno gani huelezea upepo ambao huvuma kwa muda mfupi tu?

breath of air, puff of wind, gust, blast, flurry

(3) Maneno gani huelezea upepo wenye nguvu usiobadilika?

upepo wa msimu

(4) Maneno gani huelezea upepo unaokuja na kupita?

upepo wa vipindi

(5) Maneno gani huelezea upepo wenye nguvu?

tufani, dhoruba, mvumo, upepo mkali, upepo wenye kishindo

(6) Maneno gani huelezea upepo mwepesi?

upepo mwanana, mwanashanga, upepo mwepesi

Maneno gani huelezea dhoruba ya upepo?

dhoruba, kimbunga, tufani kuu, kivumbi

(8) Maneno gani hutaja upepo unaozunguka zunguka?

whirlwind, tornado, twister, dust devil, funnel, waterspout

(9) Maneno gani hutaja upepo ambao ni joto au baridi?

Chinook, sirocco

(10) Maneno gani huelezea wakati upepo unapoanza kuvuma?

pick up, rise, freshen, gather, blow up

(11) Maneno gani huelezea wakati upepo unapoacha kuvuma?

drop, die down, calm, still

(12) Maneno gani huelezea mwelekeo wa upepo?

kaskazi, kusi, upepo wa mashariki, upepo wa demani

(13) Upepo hufanya nini?

kuvuma, kusambaza vumbi, kuinua mawimbi, kuburudisha, kugongesha vitu, kusukuma mashua, kuangusha, kuleta hewa safi nyumbani

(14) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimepeperushwa na upepo?

kurushwa katika upepo, kubebwa na upepo, kuotokwa na upepo

(15) Vifaa gani hutumika kupima mwelekeo au nguvu ya upepo?

kieleleza upepo, pepeo la hali ya hewa, mfuko ulioning'inizwa juu ya mlingoti

(16) Upepo hufanya sauti gani?

kuvuma, kupumua, kulia, kupiga kite, kupiga mluzi, kunong'ona, yowe nyembamba

1.1.3.2 Wingu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mawingu.

(1) Maneno gani hutaja wingu?

wingu

(2) Mawingu hufanya nini?

kuleta mvua, kuinua, kukusanyika, kutawanyika, kuwa kama mawimbi, kusukumwa na upepo, kutembea kukatiza anga, kutanda wakati wa mvua

(3) Maneno gani huelezea aina tofauti za mawingu?

mawingu ya dhoruba, mawingu meusi yaliyo kama mlima, wingu linalofanya radi, wingu la mvua. mawingu mepesi ya juu sana, ukungu, mavunde, utusitusi

(4) Maneno gani huelezea idadi ya mawingu yaliyoko katika anga?

wingu lililo wima, wingu la kufunika, wingu lililotanda, wingu lililotawanyika

1.1.3.3 Mvua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mvua.

(1) Maneno gani hutaja mvua?

mvua, inanyesha, maji ya mvua

(2) Mvua hufanya nini?

kunyesha, kuanguka, kulowesha, kumwagia maji, kunyesha kwa nguvu

(3) Maneno gani huelezea hali ya hewa wakati inaponyesha mvua?

rainy, wet

(4) Maneno gani hutaja wakati inapoacha kunyesha mvua?

stop raining

(5) Maneno gani huelezea namna mvua inavyonyesha kwa nguvu?

mvua ya manyunyu, rasharasha, mvua nyepesi, mvua nzito, mvua nyingi, mvua yenye nguvu sana

(6) Maneno gani huelezea wakati inaponyesha mvua nyingi?

rainy season, monsoon, the rains

(7) Tone moja la mvua linaitwaje?

tone la mvua

(8) Maneno gani hutaja maji ya mvua ikiwa yako kwenye ardhi?

rainwater, puddle, run-off

(9) Mvua hutoa sauti gani?

kutiririka, ndondondo, kugongagonga, kuchuruzika

(10) Maneno gani hutaja upinde wa mvua?

upinde wa mvua

(11) Maneno gani hutaja umande?

umande, tone la umande

(12) Watu hutumia nini ili kujikinga na mvua?

umbrella, raincoat, boot

1.1.3.4 Theluji, barafu


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na theluji, barafu, mvua iliyochangamana na theluji na mvua ya mawe.

(1) Maneno gani hutaja aina tofauti za theluji?

theluji, mvua ya mawe, mvua ya theluji, dhoruba ya theluji

(2) Theluji hufanya nini?

snow (v), fall, snowfall, drift, blow, cover (the ground), blanket (v), snow in

(3) Maneno gani hutaja kipande kimoja cha theluji au barafu?

kipande kidogo cha theluji, chembe ya theluji

(4) Maneno gani hutaja theluji au barafu iliyoko ardhini?

barafu, chungu ya theluji, mabonge ya theluji

(5) Maneno gani hutaja theluji iliyoko juu ya mlima?

mbuga ya theluji, poromoko ya theluji mlimani

(6) Maneno gani hutaja jalidi (yaani umande ulioganda)?

jalidi, umande uliogandamana

(7) Watu hufanya nini na theluji?

kuondoa theluji kwa beleshi, kutembea juu ya theluji kwa kutumia vibao, kuteleza kwenye barafu

(8) Watu huitumia theluji kwa kufanyia nini?

tufe la theluji, sanamu ya mtu ya theluji, msonge wa barafu

(9) Vifaa vipi watu huvitumia katika theluji?

shoka la kupasulia barafu, beleshi ya kuondolea theluji, viatu vya kutelezea kwenye barafu

(10) Maneno gani hutaja kutembea au kucheza juu ya theluji au barafu?

ski, skate, sled, sleigh, sledge, snowshoes, skis, ice-skates, slide, slip

(11) Maneno gani hutaja maji yanapobadilika kuwa barafu?

freeze, frozen, ice over/up

(12) Maneno gani hutaja theluji na barafu inapobadilika kuwa maji?

melt, melt water, thaw, slush, turn to slush

(13) Maneno gani hutaja ardhi iliyoganda?

permafrost

(14) Maneno gani huelezea wakati inapotoka theluji?

snowy

(15) Maneno gani huelezea kitu chenye theluji au barafu juu yake?

snowy, snow covered, icy, frosty



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page