Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page9/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   ...   206

1.5.2 Kichaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja miti mifupi tu yenye mashina mengine ya mbao.

(1) Maneno gani ya kawaida hurejea katika miti mifupi kwa jumla?

kichaka

(2) Kuna aina gani za vichaka?

mmea wa waridi, vichaka vya majani, vichaka vya miti midogo midogo

1.5.3 Majani, mitishamba, mimea inayotambaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mimea midogo yenye mizizi, maua na mbegu, lakini haina shina la mbao--yaani mimea yenye matawi yanayotambaa tu.

(1) Maneno gani hurejea katika mimea midogo tu?

(no words in English)

(2) Kuna aina gani za mimea midogo kwa jumla?

herb, grass, vine, aquatic, bulb, bulbous, briar, brier, burr, cactus, cane, creeper, cultivated, fern, flowering, gourd, reed, sod, sprawling, thorny, weed, wild

(3) Kuna aina gani za mimea?

absinthe, acacia, agave, anemone, arbutus, arrowhead, arrowroot, artemisia, arum, asparagus, aster, banana, bean, beet, begonia, belladonna, bellflower, bindweed, bluebell, broccoli, burdock, buttercup, cabbage, carnation, carrot, cassava, cattail, celery, chard, chickpea, chickweed, chive, chrysanthemum, clematis, collard, columbine, corn, cosmos, crocus, cucumber, cyclamen, daffodil, dahlia, daisy, dandelion, delphinium, dock, dogbane, duckweed, eggplant, endive, everlasting, figwort, fireweed, flax, flower, forget-me-not, fritillaria, fuchsia, garbanzo, garlic, gentian, geranium, gladiola, gladiolus, globeflower, goldenrod, glory, grapevine, greenbrier, groundsel, heather, hibiscus, hollyhock, hyacinth, honeysuckle, hop, holly, hyssop, indigo, iris, ivy, jasmine, jonquil, kale, knotweed, hydrangea, larkspur, lavender, leek, lespedeza, lettuce, liana, lily, lobelia, lotus, locoweed, lupine, maguey, mallow, manioc, marguerite, marigold, mayflower, mescal, mignonette, milkweed, monkshood, mustard, narcissus, nasturtium, nettle, okra, oleaster, onion, orchid, paintbrush, pansy, pea, peanut, pennycress, peony, pepper, periwinkle, petunia, pigweed, phlox, pimpernel, plantain, poinsettia, pokeweed, poppy, potato, primrose, radish, ragweed, ranunculus, rhododendron, rue, rutabaga, sagebrush, sandbur, seaweed, smilax, soybean, sedge, spinach, spiraea, spirea, squash, stinkweed, strawberry, strawflower, sundew, sunflower, thistle, tobacco, tomato, tulip, tumbleweed, turnip, vegetable, verbena, vervain, vetch, vine, viola, violet, wallflower, watermelon, william, wisteria, wormwood, yam, yucca

(4) Kuna aina gani za majani?

majani ya kawaida

(5) Kuna aina gani za mitishamba?

amaryllis, angelica, anise, balm, basil, chamomile, cardamom, cassia, catnip, chamomile, chervil, chicory, cosmopolitan, cowpea, cress, cumin, dill, fennel, fenugreek, feverfew, foxglove, ginseng, henbane, herb, horehound, hyssop, licorice, lucerne, mandrake, marjoram, medicinal, mint, parsley, parsnip, peppermint, portulaca, purslane, rosemary, sage, savory, saxifrage, skunk, sorrel, spearmint, spikenard, tarragon, thyme, valerian, watercress, wintergreen, yarrow

(6) Kuna aina gani za mimea inayotambaa?

mzabibu, kangaga

(7) Kuna aina gani za mafunjo?

tete, muwa

(8) Aina gani za mimea ina maua?

waridi, alizeti, sanflau, yungiyungi

(9) Aina gani za mimea zina mbegu ziliwazo?

maharage, mpunga, ngano, mahindi, uwatu, pilipili

(10) Kuna aina nyingine za mimea yenye mbegu au matunda mengine?

tango, boga

(11) Kuna aina gani za matunda madogodogo?

forosadi, kunazi

(12) Kuna aina gani za ndizi?

ndizi

(13) Aina gani za mimea ina mizizi iliwayo?

viazi, karoti, mhogo, tangawizi, shamari

(14) Aina gani za mimea huliwa na wanyama tu?

majani ya kulisha ng'ombe

(15) Aina gani za mimea hutumika kwa kutengeneza mikeka, nguo au kamba?

katani, mkonge, pamba

(16) Kuna aina gani za kangaga?

bracken, brake, fern, maidenhair

(17) Kuna aina gani za matete au mirija?

horsetail

(18) Kuna aina gani za kuvu?

club moss

1.5.4 Uyoga, kuvumwani, ugozi


Tunia eneo la maana hili kwa mimea yote isiyo sawa katika eneo lingine.

(1) Maneno gani ya kawaida hurejea katika uyoga, kuvumwani, na ukungu kwa jumla?

phytoplankton, plankton, scum

(2) Maneno gani ya kawaida hurejea katika kuvumwani?

moss

(3) Kuna aina gani za kuvumwani?

(4) Maneno gani ya kawaida hurejea katika ukungu?

liverwort

(5) Kuna aina gani za ukungu?

(6) Maneno gani ya kawaida hurejea katika ugozi?

algae, gulfweed, seaweed, wrack

(7) Kuna aina gani za ugozi?

diatom, sea lettuce, kelp, rockweed, Sargasso, sargassum

(8) Maneno gani ya kawaida hurejea katika uyoga?

fungus, bacteria, mold, mildew, mushroom

(9) Kuna aina gani za uyoga?

apple scab, bloom, bread mold, button mushroom, downy mildew, dry rot, morel, penicillium, puffball, rose mildew, rust fungi, slime mold, smut, toadstool, truffle, yeast

(10) Maneno gani ya kawaida hurejea katika ukoga?

lichen

(11) Kuna aina gani za ukoga?

reindeer moss

1.5.5 Sehemu za mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayorejea katika sehemu za mmea. Anza na maneno ya kawaida kwa sehemu zilizoko katika kila mmea. Endelea na sehemu za kila aina ya mmea (mti, mti mfupi, mitishamba, majani n.k.). Mwishoni, fikiria mimea inayojulikana vizuri (kwa kawaida ni mimea inayolimwa) na taja sehemu zake maalum (k.m. ndevu za mahindi).

(1) Maneno gani hutumika kutaja sehemu za mimea yote?

mzizi, shina, tawi, jani

(2) Maneno gani hutaja mzizi?

root, tuber, tubercle, bulb, taproot, runner, root hairs, rootstock

(3) Maneno gani hutaja shina?

trunk, stalk, reed, bole, woody, base

(4) Maneno gani hutaja matawi?

branch, bough, limb, twig, stick, stem, fork

(5) Maneno gani hutaja majani?

leaf, leafy, pine needle, fern, foliage, palm frond, stem, blade, vein

(6) Kuna aina gani za miiba?

mwiba

(7) Maneno gani hutaja sehemu za nje za mmea?

ganda, kaka, kapi, kumvi

(8) Maneno gani hutumika kutaja sehemu za ndani za mmea?

mbao, ufumwale, utembo, moyo mwororo wa bua

(9) Maneno gani hutaja mbegu?

seed, acorn, bean, berry, cone, ear, grain, gourd, kernel, nut, pinecone, pod, rosehip, bran, chaff, cob, corncob, germ, head of grain, hull, husk, nutshell, pod, pit, rind, section, seedcase, shell, skin, stem, stone, whole(wheat)

(10) Maeno gani hutaja matunda?

fruit, peel, peeling, juice, pulp, pulpy, flesh, fleshy, core, skin, stem, seed

(11) Maneno gani hutaja maua?

flower, bloom, blossom, petal, stamen, pistil, nectar, pollen, spear, spike

(12) Sehemu za mimea inayotambaa zinaitwaje?

vine, runner, creeper

(13) Sehemu za majani au mitishamba zinaitwaje?

stem, stalk, blade of grass, straw

(14) Sehemu za mahindi zinaitwaje?

guguta, ndevu za mahindi

(15) Sehemu za mgomba zinaitwaje?

stalk, leaf, flower, bunch, hand, finger

(16) Sehemu za mnazi zinaitwaje?

trunk, frond, midrib, leaf, needle, nut, husk, shell, meat, milk

(17) Maneno gani hutumika kwa uotaji mpya wa mimea?

tumba la ua, kumea, kuchipuka, chipukizi

(18) Kundi la matunda linaitwaje?

mkungu wa ndizi

(19) Maneno gani hutaja aina za maji zinazotoka kwa mimea?

juisi, utomvu, tui

(20) Sehemu za mimea zilizokufa zinaitwaje?

kioza, uozo wa mbao, majani makavu

(21) Maneno gani hutaja mimea iliyokatwa au kufyekwa?

gogo, mboji, nyasi kavu



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page