Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja papa, samaki taa na mkunga--yaani samaki walio na gegedu badala ya mifupa.
(1) Aina za papa na za samaki taa zinaitwaje?
• papa, samaki taa
(2) Aina za samaki mkunga zianitwaje?
• mkunga
(3) Maneno gani huelezea papa na samaki taa?
• cartilaginous, ray-finned, soft finned
1.6.1.7 Wadudu
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja wadudu. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja wadudu kwa jumla?
• mdudu
(2) Kuna aina gani za wadudu?
• ant, army ant, armyworm, bedbug, bee, beetle, bluebottle fly, botfly, bristletail, bumblebee, butterfly, carpenter bee, chigger, cicada, cockroach, cricket, daddy longlegs, damselfly, deerfly, dragonfly, dung beetle, earwig, firefly, flea, fly, glowworm, gnat, grasshopper, hawkmoth, hellgramite, honeybee, hornet, horsefly, housefly, inchworm, jigger, katydid, ladybug, leafhopper, lice, locust, long-horned beetle, louse, mantis, mayfly, midge, millipede, mite, monarch butterfly, mosquito, moth, mud wasp, nit, praying mantis, roach, sawfly, scarab, silkworm, silverfish, stinkbug, swallowtail, termite, tick, tsetse fly, tumblebug, walking stick, wasp, weevil, wiggler, wriggler
(3) Aina za wafanyakazi katika kundi la wadudu zinaitwaje?
• malkia wa mchwa, askari wa siafu, nyuki dume
(4) Maneno gani huelezea wadudu?
• borer, carnivorous, cosmopolitan, crawling, creeping, diurnal, dauber, flying, hopper, hopping, insectile, larva, larval, nocturnal, pest, predacious, predator, pupa, queen, segmented, stinging, two-winged, venomous, winged, wingless
1.6.1.8 Buibui
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja buibui. Zingatia kwamba wadudu wana miguu sita na buibui wana miguu minane. Lakini lugha zingine hazitofautishi wadudu na buibui na zinaweza kutumia sifa zingine kuainisha viumbe hawa.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja buibui kwa jumla?
• buibui
(2) Aina za buibui zinaitwaje?
• bui, nge, kupe
(3) Maneno gani hutaja tandabui?
• spider web, cobweb, web, spin, silk
1.6.1.9 Wanyama wadogo (minyoo)
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja minyoo, wanyama wenye magamba na wanyama wengine ambao hawajatajwa katika maeneo ya maana mengine. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja wanyama wadogo kama minyoo kwa jumla?
• minyoo, samakigamba
(2) Maneno gani hutaja wanyama wenye seli moja tu?
• kirusi, kijidudu
(3) Maneno gani hutaja wanyama yavuyavu wanaofanana na sifongo?
• yavuyavu
(4) Maneno gani hutaja wanyama wa baharini wenye minyiri?
• kiwavi wa baharini, tumbawe, marijani, fedhaluka
(5) Maneno gani hutaja mafunza?
• mnyoo, mchango, tegu, mnyoo bapa, nyungunyungu, mnyonyaji (unaotumika kwa ajili ya kuumika damu)
(6) Maneno gani hutaja minyoo?
• roundworm, hookworm, pinworm
(7) Maneno gani hutaja minyoo midogo sana?
• rotifer
(8) Maneno gani hutaja moluska, yaani vinyama vilivyo laini vyenye magamba?
• konokono, koa, kombe, pweza, ngisi
(9) Maneno gani hutaja mwata?
• segmented worm, earthworm, leech
(10) Maneno gani hutaja ndumakuwili?
• velvet worm, walking worm
(11) Maneno gani hutaja krasteshia, yaani wanyama wagumu wenye magamba?
• kaa, kamba, uduvi, kambakoche, kambamti, kamba wa pwani, kamba wa baharini, ngadu
(12) Maneno gani hutaja wanyama ambao mwili wao una vipande vingi na kila kipande kina miguu miwili (k.m., tandu)?
• tandu
(13) Maneno gani hutaja jogoo--wanyama ambao mwili wao una vipande vingi na kila kipande kina miguu minne (k.m., jogoo)?
• jogoo
(14) Maneno gani hutaja kaa?
• horseshoe crab
(15) Maneno gani hutaja wanyama wadogo na magome mawili na mikono miwili?
• brachiopod, lampshell
(16) Maneno gani hutaja wanyama wadogo ambao ngozi yake ina miiba?
• kiti cha pweza
(17) Maneno gani hutaja minyoo wa bahari?
• arrow worm
Page 1.6.2.1 Sehemu za ndege
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za ndege tu, lakini siyo sehemu zinazohusiana wanyama wote.
(1) Sehemu za ndege zinaitwaje?
• manyoya, bawa, kipapatiko, kikwaru (cha jogoo), yai
1.6.2.2 Sehemu za mnyama mtambaazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za mnyama mtambaazi.
(1) Sehemu za mnyama mtambaazi zinaitwaje?
• gamba, chonge cha sumu (cha nyoka)
(2) Sehemu za kobe zinaitwaje?
• gamba la kobe
(3) Maneno gani hutaja sumu ya nyoka?
• sumu, uchungu
1.6.2.3 Sehemu za samaki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za samaki.
(1) Maneno gani hutaja sehemu za samaki?
• gamba, pezi, kipapatiko, shavu la samaki, utumbo
1.6.2.4 Sehemu za mdudu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za mdudu.
(1) Maneno gani hutaja sehemu za wadudu?
• gamba, bawa, mwiba, kipapasio
1.6.2.5 Sehemu za wanyama wadogo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za wanyama wadogo.
(1) Sehemu za kaa, kamba, au shaza zinaitwaje?
• shell, mother of pearl, mantle, foot, swimmeret,
(2) Sehemu za mnyoo zinaitwaje?
• kipande
(3) Sehemu za pwezi zinaitwaje?
• minyiri, chipukizi
1.6.2 Sehemu za mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za wanyama, hasa za mamalia.
(1) Maneno gani hutaja sehemu za mwili wa mnyama kwa jumla?
• sehemu za mwili wa mnyama
(2) Sehemu za kichwa cha mnyama zinaitwaje?
• kichwa, jicho, pua, mkonga, mdomo, jino, chonge, pembe
(3) Sehemu za pingiti ya mnyama zinaitwaje?
• kifua, mgongo, tako, mkia
(4) Sehemu za miguu ya mnyama zianitwaje?
• mguu wa mbele, mguu wa nyuma, ukwato, wayo, makucha
(5) Sehemu za ngozi na nywele za mnyama zinaitwaje?
• ngozi, sufu, nywele za mkia
(6) Sehemu za ndani ya mnyama zinaitwaje?
• ini, moyo, tumbo, tumbo la pili (la ng'ombe n.k.), mapafu, figo
(7) Sehemu za mamalia wa baharini (kama nyangumi) zinaitwaje?
• shahamu ya nyangumi
Share with your friends: |