Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page10/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   6   7   8   9   10   11   12   13   ...   206

1.5.6 Ukuaji wa mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ukuaji wa mimea.

(1) Maneno gani hutaja uotaji wa mimea?

kuota, kukua, kuenea, kutambaa

(2) Maneno gani hutumika wakati mbegu inaanza kuota?

kuota, kumea

(3) Maneno gani hutumika wakati mmea unachipua majani?

kuchipua majani

(4) Maneno hutumika wakati mmea unazaa mbegu au matunda?

kukomaa, kuzaa matunda, kuiva, kupevua

(5) Maneno gani hutaja hali ya mbegu na matunda kuiva?

green, unripe, immature, mature, mellow, ripen, ripe

(6) Maneno gani huelezea jinsi mimea inavyokua?

spread, run (of vines), entwine, cling, trail

(7) Maneno gani hutaja mmea unapokufa?

kuoza, kunyauka, kufifia, kuchakaa, kudhoofika

(8) Mimea iliyokufa huwekwa wapi?

shimo la mboji

1.5.7 Magonjwa ya mimea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na magonjwa ya mimea.

(1) Maradhi au magonjwa gani hutokea katika mimea?

kutu, koga, kawa

(2) Aina gani za vimelea zinaishi kwa mimea mingine?

mistletoe

(3) Maneno gani huelezea mimea ikiangusha matunda?

kuangusha matunda

1.5 Mmea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mimea yote. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.

(1) Maneno gani hurejea katika mimea yote?

mmea

(2) Maneno gani huelezea aina za mimea?

angiosperm, annual, aquatic, biennial, bracken, brake, creeper, deciduous, edible, flower, greens, herbaceous, hybrid, leafy, legume, luscious, parasite, perennial, plankton, pulse, sedge, succulent, tropical, vegetable, vine, weed, woody, wort

(3) Maneno gani hutumika katika kuelezea mimea inayojiotea yenyewe?

magugu

(4) Maneno gani hutaja mimea inayolimwa?

mazao

(5) Maneno gani hutaja kundi la mimea?

bale, bouquet, bracken, brush, bunch, canopy, clump, cluster, cover, covert, corsage, crop, culture, forest, greenery, grove, growth, hassock, haystack, herbage, jungle, kelp, nosegay, orchard, scrub, sheaf, shock, shrubbery, skein, spray, stand, sward, thicket, tuft, turf, tussock, underbrush, undergrowth, vegetation, verdure, vermin

(6) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa mimea?

botany, botanist, herbalist

Page

1.6.1.1.1 Mamalia wa hali ya juu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mamalia wa hali ya juu (kama nyani, tumbili n.k.).

(1) Maneno gani hutaja mamalia wa hali ya juu kwa jumla?

sokwe, tumbili

(2) Aina za mamalia wa hali ya juu zinaitwaje?

sokwe mtu, kima, mbega, nyani, komba

1.6.1.1.2 Wala nyama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wala nyama--yaani wanyama walao nyama.

(1) Maneno gani hutaja wala nyama kwa jumla?

wala nyama

(2) Wanyama gani wako katika jamii ya mbwa (k.m., mbwa, bweha, mbwa mwitu)?

dog, wolf, coyote, fox, jackal, wild-dog, dingo

(3) Wanyama gani wako katika jamii ya paka (k.m., paka, simba, chui)?

cat, lion, lioness, leopard, leopardess, genet, wild-cat, bobcat, cheetah, tiger, tigress, lynx, wildcat, cougar, panther, puma, jaguar, jaguarundi, ocelot, caracal

(4) Wanyama gani wako katika jamii ya dubu?

bear, grizzly, koala, panda, polar bear

(5) Wanyama gani wako katika jamii ya kanu (k.m., kanu, cheche, kinyegere)?

weasel, ermine, ferret, marten, mink, otter, polecat, skunk, stoat

(6) Wanyama gani wako katika jamii ya konje?

sable, wolverine

(7) Wanyama gani wako katika jamii ya ngawa (k.m., ngawa, fungo, nguchiro)?

civet cat, mongoose

(8) Kuna aina gani zingine za wala nyama (k.m., fisi)?

hyena, raccoon, coon

1.6.1.1.3 Wanyama wenye makwato


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanyama wenye makwato.

(1) Maneno gani hutaja wanyama wenye makwato kwa jumla?

ungulate, herbivore, clean animal, ruminant

(2) Aina za wanyama wenye makwato ya vidole viwili zinaitwaje?

ng'ombe, nyati, mbuzi, kondoo, tandala, swala, twiga, ngamia, paa, dikidiki

(3) Aina za wanyama wenye makwato ya vidole vinne zinaitwaje?

nguruwe, ngiri, kiboko

(4) Aina za wanyama wenye makwato ya witiri zinaitwaje?

farasi, punda, pundamilia, tembo, ndovu, kifaru

1.6.1.1.4 Wanyama wanaotafuna


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja wanyama wagugunaji kama wanyama watafunao kwa meno, wanyama walao wadudu, aina za sungura, na aina za pimbi.

(1) Maneno gani hutaja wanyama wanaotafuna kwa jumla?

wanyama wanaotafuna, panya

(2) Aina za wanyama wanaotafuna zinaitwaje (k.m., panya, chindi, nungunungu)?

panya, puku, nungunungu, kuchakuro, buku

(3) Aina za wanyama walao wadudu zinaitwaje?

kalunguyeye, fuko

(4) Aina za sungura zinaitwaje?

sungura

(5) Aina za pindi zinaitwaje?

pindi

1.6.1.1.5 Wanyama wabebao watoto wao katika mfuko tumboni


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanyama wabebao watoto wao katika mfuko tumboni.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja wanyama wabebao watoto wao katika mfuko tumboni kwa jumla?

marsupial

(2) Aina za wanyama wanaowabeba watoto mfukoni zinaitwaje?

kangaruu

1.6.1.1.6 Kakakuona, muhanga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mamalia bila meno kama kakakuona, muhanga au mamalia wanaotaga mayai.

(1) Aina za mamalia walacho siafu zinaitwaje?

armadilo

(2) Aina za kakakuona zinaitwaje?

kakakuona

(3) Maneno gani hutaja muhanga?

muhanga

(4) Aina za mamalia wanaotaga mayai zinaitwaje?

kinyamadege



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   6   7   8   9   10   11   12   13   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page