Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page7/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   ...   206

1.3.2.2 Kumimina


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maji yanapotoka katika kitu (kama vile chombo), au kusababisha maji yatoke katika kitu.

(1) Maneno gani hutaja maji yanapotoka katika kitu?

pour, come out, flow, drip, leak, ooze, gush, spurt, squirt

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumimina maji kutoka katika chombo?

pour, tip, sprinkle, empty, spill, decant

(3) Maneno gani hutaja kutia maji kwenye kitu?

water (v), add water, put water on,

(4) Maneno gani hutaja kutia matone ya maji kwenye kitu?

sprinkle (with water), splash (water on), spray (water on), drizzle, spatter, splatter, squirt,

(5) Maneno gani hutaja kutia maji mengi kwenye kitu?

pour (out), empty (v), dump (out), douse, drench, pump,

(6) Maneno gani hutaja kutia maji kwenye kitu kwa bahati mbaya?

spill

(7) Maneno gani hutaja kutia maji ndani ya kitu?

inject,

1.3.2.3 Kudondoka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matone ya maji na namna yanavyofanya.

(1) Tone la maji linaitwaje?

tone (la maji/la damu), tone moja linalodondoka

(2) Matone ya maji yanafanya nini?

kutiririka, kudondoka, kunyunyiza, kupiga

(3) Kudondoka taratibu kunaitwaje?

kudondoka, kuchuruzika

1.3.2.4 Wimbi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mawimbi na jinsi yanavyofanya.

(1) Aina za mawimbi zinaitwaje?

wimbi, kiwimbi, mawimbi ya kuumuka, mawimbi ya kujaa na kupwa, wimbi lenye povu, kabobo, mawimbi meupe

(2) Sehemu za wimbi zinaitwaje?

kilembwa, mshuko wa wimbi, povu, kiputo

(3) Maneno gani huelezea mwendo wa wimbi?

kuumuka, kusukuma, kukimbizana na upepo, ujeuri wa mawimbi

(4) Mawimbi yanafanyaje yanapogonga pwani?

kupiga pwani, kugonga pwani

(5) Maneno gani huelezea wimbi linaloongezeka?

kuvimba, kupanda juu, kuinuka

(6) Mawimbi hufanya nini na vitu?

kumomonyoa, kufanya mmomonyoko, kuinua na kuangusha

(7) Watu hufanyia nini mawimbi?

kujirusha ndani ya mawimbi, kuendesha mbao juu ya mawimbi

(8) Mawimbi hutoa sauti gani?

ngurumo, kishindo

1.3.2.5 Utulivu, msukosuko


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea sura ya juu ya maji.

(1) Maneno gani huelezea sura ya juu ya maji wakati yametulia?

utulivu, kimya, kutulia, hali ya amani

(2) Maneno gani huelezea sura ya juu ya maji wakati yamechafuka?

msukosuko, mchafuko wa bahari, dhoruba

(3) Maneno gani huelezea mwendo wa mto wakati unakwenda taratibu?

polepole, kutiririka taratibu

(4) Maneno gani huelezea mwendo wa mto wakati unakwenda kasi?

kutiririka kwa kasi, kuporomoka, kufuata mkondo wa nguvu

(5) Maneno gani hutaja kufanya maji yasukesuke?

agitate, churn, stir, whip

1.3.2.6 Mawimbi (maji kujaa na kupwa)


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maji kujaa na kupwa.

(1) Maneno gani hutaja maji yanayojaa na kupwa?

maji kujaa, maji kupwa, bamvua, maji yanayoinuka

(2) Maji yanayojaa na kupwa hufanya nini?

kuingia na kutoka, kuinuka na kushuka

(3) Maneno gani hutaja eneo kandokando ya pwani ambayo maji yanajaa na kupwa?

tidal flat

1.3.2 Mwendo wa maji


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayoelezea jinsi maji yanavyoenda.

(1) Maneno gani hutaja maji yanapoingia katika kitu?

fill, flow in, inflow, infuse, infusion, run into

(2) Maneno gani hutaja maji yanapotoka katika kitu?

spray, bleed, blow, burst, discharge, drain, gush, issue, jet, pour, pouring, run, spew, spout, dribble, drip, effusion, erupt, exude, ooze, outflow, percolate, seep, spout, squirt, sweat, vomit, tap

(3) Maneno gani hutaja maji yanapogawika katika matone?

kurusha kwa kunyunyiza, rasharasha

(4) Maneno gani hutaja maji yanapochemka?

kuchemka, kutoa povu, kiputo

1.3.3.1 Kukauka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu ambacho ni kikavu.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kikavu?

kikavu, kunyauka, kunyaushwa, kisicho na maji, kukaushwa

(2) Maneno gani huelezea ardhi wakati imekauka?

dry, dusty, thirsty,

(3) Maneno gani huelezea hewa wakati hakuna maji ndani yake?

drought

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachokuwa kikavu?

kukauka, kunyaushwa, kunywewa, kuvukizwa

(5) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe kikavu?

dry something, sear, parch

(6) Maneno gani hutaja au huelezea kuondoa maji kutoka katika kitu fulani?

kuondoa maji, kutoa maji, kufuta, kupangusa, kukausha, kunyonya

(7) Vifaa gani hutumika katika kuondoa maji kutoka katika vitu?

sieve, press

1.3.3 Kulowa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja chochote kinachomwagiwa au kulowekwa maji.

(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji?

majimaji, kulowana, unyevunyevu, kulowa kidogo, kulowa sana, kumwagiwa maji

(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji mengi?

soaked, soaking wet, sopping wet, wringing wet, awash, dripping, sodden, soggy, saturated, waterlogged, be swimming in, drenched, doused

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimemwagiwa maji madogo?

moist, damp, a little wet, clammy, dewy

(4) Maneno gani huelezea ardhi wakati imelowana?

muddy, boggy, marshy, swampy

(5) Maneno gani huelezea hewa wakati kuna maji ndani yake?

humid, moist, muggy, steamy, tropical

(6) Maneno gani huelezea mimea wakati imejaa maji?

green, juicy, succulent

(7) Maneno gani hutaja kitu kinapokuwa na unyevunyevu?

kulowana

(8) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu?

wet, get something wet, splash, anoint, dabble, daub, douse, spatter, spray, sprinkle

(9) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu mwingi?

soak, drench, saturate, flood, swamp, deluge

(10) Maneno gani hutaja kufanya kitu kiwe na unyevunyevu mchache?

dampen, moisten, lick

(11) Maneno gani hutaja kitu kikinywa au kusharabu maji?

absorb, blot, daub, soak up, sponge, sop, mop up, wipe up

(12) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kusharabu maji?

absorbent, porous



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page