Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page15/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   11   12   13   14   15   16   17   18   ...   206

2.1.1.3 Pua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na pua.

(1) Maneno gani hutaja pua?

nose,

(2) Sehemu za pua zinaitwaje?

pua, mianzi ya pua, tundu ya pua

(3) Maneno gani huelezea hali ya pua ya mtu?

pointed, flat, turned-up, snub-nosed, stubby, wide, long, upturned, hooked, aquiline,

(4) Pua ina kazi gani?

smell, breathe,

(5) Maneno gani huelezea jinsi hewa inavyopitia kwenye pua?

kunusanusa, kuvuta puani, kukoroma, kutoa pumzi puani, kupiga

(6) Maneno gani hutaja kuenenda kwa pua?

nostrils flare, wrinkle your nose,

(7) Watu hufanyia nini pua yao?

kutoboa (kwa ajili ya hazama, yaani heleni ya pua), kusemea puani

(8) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na pua?

nasal,

2.1.1.4 Mdomo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mdomo. Usitumie eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja matendo ya kula, kunywa au kusema.

(1) Maneno gani hutaja mdomo?

mouth,

(2) Sehemu za mdomo zinaitwaje?

mdomo, midomo, mdomo wa juu, mdomo wa chini, ulimi, jino, ufizi, kaakaa gumu, kaakaa laini, kilimi

(3) Maneno gani huelezea hali ya mdomo wa mtu?

narrow, curved, thin lips, thick lips,

(4) Watu hufanyia nini na mdomo?

kukohoa, kupiga kwikwi, kucheua, kupiga miayo, kulamba, kubusu

(5) Maneno gani hutaja kuenenda kwa mdomo?

open, close, smile, purse your lips,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kupiga miayo?

yawn, yawn (n),

(7) Maneno gani hutaja tendo la kutapika?

vomit (v), vomit (n), regurgitate, disgorge, heave, retch, throw up,

(8) Watu hufanyia nini na ulimi wao?

lick, lick your lips, stick your tongue out, click your tongue, bite your tongue,

(9) Watu hufanyia nini na mdomo wao?

wipe, cover, gag someone,

(10) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na mdomo?

oral, orally, labial, palatal, velar,

2.1.1.5 Jino


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na meno.

(1) Maneno gani hutaja jino?

tooth, incisor, canine tooth, molar, wisdom tooth, milk tooth, baby tooth,

(2) Sehemu za jino zinaitwaje?

enamel, root, crown, ivory,

(3) Maneno gani huelezea hali ya meno ya mtu?

even, crooked, decayed, white, yellow,

(4) Meno yana kazi gani?

bite, chew,

(5) Maneno gani hutaja kuenenda kwa jino moja linapokutana na jino lingine?

grind, gnash,

(6) Watu hufanyia nini meno yao?

pick,

(7) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na meno?

dental,

2.1.1 Kichwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za kichwa tu.

(1) Maneno gani hutaja kichwa?

kichwa

(2) Sehemu za kichwa zinaitwaje?

uso, panda la uso, kidevu, ngozi ya kichwa pamoja na nywele zake, kikosi

(3) Sehemu za uso zinaitwaje?

uso, panda la uso, kidevu, taya, shavu

(4) Sehemu za shingo zinaitwaje?

shingo, kikosi, koo, kikoromeo

(5) Maneno gani huelezea sura ya sehemu za uso wa mtu?

panda ndefu, macho madogo, macho ya mviringo, pua fupi

2.1.2 Kiwiliwili


Tumia eneo la maana hili kwa sehemu za kiwiliwili tu--yaani kiwiliwili bila shingo, mikono na miguu.

(1) Maneno gani hutaja kiwiliwili?

kiwiliwili, pingiti

(2) Sehemu za kiwiliwili zinaitwaje?

bega, kifua, titi, chuchu, tumbo, kitovu, mgongo, matako, mbavu, kinena, nyonga

2.1.3.1 Mkono


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za mkono tu.

(1) Maneno gani hutaja mkono?

mkono

(2) Sehemu za mkono zinaitwaje?

bega, kwapa, kiwiko, kiko, kivi, kiganja, kitanga cha mkono, kifundo cha mkono

(3) Maneno gani hutaja kiganja?

hand, right hand, left hand, heel of hand, palm, back of hand

(4) Maneno gani hutaja sehemu ya mkono ikiwa katika umbo husika?

crook (of the arm when it is bent), fist,

2.1.3.2 Mguu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu za miguu tu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mguu mzima kwa jumla?

mguu

(2) Sehemu za mguu zinaitwaje?

goti, paja, kifundo cha mguu, pia ya goti, kifuu cha goti, kibandiko cha goti, mguu, wayo, kisigino, kiganja cha mguu, kitanga cha mguu

(3) Maneno gani hutaja sehemu ya mguu ikiwa katika umbo husika?

lap,

(4) Maneno gani huelezea hali ya miguu ya mtu?

pigeon toed, knock-kneed, bow-legged, flat-footed,

2.1.3.3 Vidole vya mkono, vidole vya mguu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vidole vya mkono na vya mguu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vidole vya mkono au vya mguu kwa jumla?

vidole, vidole vya mguu

(2) Majina ya kila kidole cha mkono ni nini?

kidole gumba, kidole cha shahada, kidole cha kati, kidole cha pete, kidole cha mwisho

(3) Majina ya kila kidole cha mguu ni nini?

kidole gumba cha mguu

(4) Maneno gani hutaja sehemu za vidole vya mkono au vya mguu?

knuckle, fingertip, fingerprint,

(5) Maneno gani hutaja ukucha wa kidole?

ukucha, ukucha wa kidole cha mguu

(6) Sehemu za ukucha zinaitwaje?

ukaya wa ukucha

2.1.3 Kiungo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kiungo cha mwili--yaani mkono au mguu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viungo vya mwili kwa jumla?

limb, extremity, arms and legs



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   11   12   13   14   15   16   17   18   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page