1.6.1.1.7 Mamalia wa baharini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mamalia (yaani wanyama wanaonyonyesha watoto wao) wanaoishi baharini, k.m. nyangumi, pomboo, sili wa bahari na nguva.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mamalia wa baharini kwa jumla?
• cetacean, pinniped
(2) Aina za nyangumi na za pomboo zinaitwaje?
• nyangumi, pomboo
(3) Aina za sili zinaitwaje?
• sili, sili mwenye pembe
(4) Aina za nguva zinaitwaje?
• nguva
1.6.1.1.8 Popo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja popo--yaani mamalia wanaoruka.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja popo kwa jumla?
• popo
(2) Aina za popo zinaitwaje?
• popo, popo mnyonya damu
1.6.1.1 Mamalia (wanyama wanaonyonyesha watoto wao)
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja mamalia kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mamalia, yaani wanyama wanaonyonyesha watoto wao kwa jumla?
• mnyama, mamalia
1.6.1 Aina za wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea aina za wanyama. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani hurejea katika aina za wanyama?
• namna jinsi, jamii, ukoo, mgao wa juu, nasaba, spishi
(2) Maneno gani hutaja wanyama wasiofugwa?
• wanyama mwitu, wanyama wa porini, wanyama wakali
(3) Maneno gani hutaja wanyama wanaofugwa?
• mnyama wa kufuga, sio kali
(4) Maneno gani hutaja tendo la kufuga wanyama?
• kufuga, kutawala, kutiisha
(5) Maneno gani hutaja wanyama wanaokula vitu maalumu (k.m., nyama tu au mimea tu)?
• carnivore, carnivorous, meat eater, meat eating, predator, predatory, insectivore, insectivorous, herbivore, herbivorous, plant eating, omnivore, omnivorous, scavenger, parasite
(6) Maneno gani hutaja ikiwa mnyama fulani anaweza kuliwa?
• edible, non-edible, clean, unclean, kosher
(7) Maneno gani hutaja mahali ambapo mnyama anaishi?
• amphibian, aquatic, arboreal, barnyard, tropical
1.6 Mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanyama kwa jumla tu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutumika kutaja wanyama wote (pamoja na samaki, ndege na wadudu)?
• mnyama, kiumbe
Page 1.6.1.2 Ndege
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja ndege. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja ndege kwa jumla?
• ndege
(2) Maneno gani hutaja jamii za ndege?
• ndege mbua, ndege wa kuwinda, ndege wa majini, ndege wasioruka
(3) Aina za ndege zinaitwaje?
• tai, kipungu, mwewe, kipanga, korongo, mwari, mwendambize, kijumbamshale, njiwa, hua, kipure, kinega, kasuku, kiogajivu, mnana, kigogota, kichozi, kidimu
(4) Maneno gani huelezea ndege?
• long-necked, short-necked, long-winged, zygodactyl
Page 1.6.1.3.1 Nyoka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nyoka.
(1) Maneno gani hutaja nyoka kwa jumla?
• nyoka
(2) Maneno gani huelezea jamii za nyoka?
• mwenye sumu, chatu
(3) Aina za nyoka zinaitwaje?
• swila, firi, chatu, songwe, hongo
1.6.1.3.2 Mjusi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mijusi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mijusi kwa jumla?
• mjusi
(2) Aina za mjusi zinaitwaje?
• kinyonga, mjusi kafiri, gongola, gonda, gorong'ondwa, kigeugeu, kimbaombao
1.6.1.3.3 Kobe, kasa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na makobe na kasa.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kobe na kasa kwa jumla?
• kobe (nchi kavu), kasa (baharini)
(2) Aina za kobe na za kasa zinaitwaje?
• ng'amba
1.6.1.3.4 Mamba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mamba.
(1) Aina za mamba zinaitwaje?
• mamba
1.6.1.3 Wanyama watambaazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja wanyama watambaazi. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja wanyama watambaazi kwa jumla?
• mnyama mtambaazi
1.6.1.4 Wanyama wanaoishi nchi kavu na baharini
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayotaja wanyama wanaoishi nchi kavu na baharini. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja wanyama wanaoishi nchi kavu na baharini kwa jumla?
• chura
(2) Aina za wanyama hawa na za chura zinaitwaje?
• chura anayeishi mitini, salamanda
(3) Maneno gani hutaja chura ambaye bado hajakua?
• tadpole
1.6.1.5 Samaki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja samaki. Tumia kitabu chenye picha kwa ajili ya kutambua kila aina pamoja na jina lake la kisayansi.
(1) Maneno gani ya kawida hutaja wanyama wanaoishi kwenye maji?
• samaki, wanyama wa kuishi majini, wanyama wa baharini
(2) Aina za samaki wanaoishi kwenye maji baridi zinaitwaje?
• tilapia, samaki sangara
(3) Aina za samaki wanaoishi kwenye maji chumvi zinaitwaje?
• chewa, dagaa, tuna jodari
(4) Maneno gani hutaja wanyama wadogo sana wanaoishi kwenye bahari?
• plankton
(5) Maneno gani huelezea mahali ambapo samaki anaishi?
• freshwater, saltwater, pelagic, marine, aquatic
(6) Maneno gani huelezea samaki?
• bony, finned, jawed, jawless, lobe-finned, poisonous, snouted
Share with your friends: |