1.6.3.1 Yai
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mayai.
(1) Maneno gani hutaja yai?
• yai
(2) Aina za mayai zinaitwaje?
• yai la ndege, yai la mdudu, yai la mamba
(3) Maneno gani hutaja sehemu za yai?
• kaka, kiini cha yai, ute wa yai, kiinitete
(4) Maneno gani hutaja mtoto wa ndege?
• kifaranga, kinda la ndege
(5) Maneno gani hutaja ndege wanavyofanyia mayai?
• kuangua, kutaga, kuatamia
(6) Maneno gani hutaja mahali pa kuangulia mayai?
• kiota
(7) Maneno gani hutaja kikundi cha mayai?
• jumla ya mayai yanayoatamiwa
(8) Maneno gani hutaja namna makinda wa ndege wanavyotoka mayai?
• kuangua, kujigogotea kutoka ndani ya yai
(9) Maneno gani hutaja tendo la kuvunja yai?
• kuvunja, kuseta, kutia ufa
(10) Maneno gani hutaja yai lisilo zuri?
• yai viza, lililooza
1.6.3 Mzunguko wa maisha ya mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mzunguko wa maisha ya mnyama.
(1) Maneno gani hutaja mnyama akizaa?
• give birth, embryo, multiply, propagate, reproduce, calve, calving, drop, kid, lambing, lay, spawn, spawning grounds, whelp
(2) Maneno gani hutaja mnyama akiwa bado mdogo?
• mwanambwa, mwanapaka, mwanakondoo
(3) Maneno gani hutaja vitendo vya kuzaliana kwa wanyama?
• kupandana
(4) Maneno gani yanahusiana mzunguko wa maisha ya wadudu?
• funza, kifukofuko, kiluwiluwi, kiwavi
(5) Maneno gani hutaja wakati wanyama kama nyoka au wadudu hubadili ngozi zao?
• kuambua ngozi
(6) Maneno gani hutaja tendo la manyoya au ngozi mpya kukua?
• molt, shed, down, fledge,
1.6.4.1 Mwendo wa mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwendo wa wanyama tu. Fikiria kila aina ya mnyama na anavyosogea. Kwa maneno yanayotaja mwendo wa watu, tumia eneo lake (7.2 kusogea).
(1) Maneno gani hutaja mwendo wa mamalia?
• kuenda shoti, kuenda matiti, kuruka, kutambaa
(2) Maneno gani hutaja mwendo wa ng'ombe?
• walk, trot, wander, lie down, charge
(3) Maneno gani hutaja mwendo wa mbwa?
• trot, run, wag its tail
(4) Maneno gani hutaja mwendo wa farasi?
• run, gallop, trot, canter, buck, kick, race, charge
(5) Maneno gani hutaja mwendo wa simba?
• walk, stalk, charge, run down, prowl
(6) Maneno gani hutaja mwendo wa nyangumi?
• breach
(7) Maneno gani hutaja mwendo wa ndege?
• fly, flutter, soar, dive, swoop, bank, turn, (hummingbird) hover, hop, roost, hang in the air, ride the wind, alight, land
(8) Maneno gani hutaja mwendo wa nyoka?
• slither, glide
(9) Maneno gani hutaja mwendo wa samaki?
• swim, leap
(10) Maneno gani hutaja mwendo wa wadudu?
• fly, hover, dive-bomb, crawl
(11) Maneno gani hutaja mwendo wa minyoo?
• crawl, inch along, creep
(12) Maneno gani hutaja mwendo wa wanyama wa kila mwaka?
• uhamaji wa ndege
(13) Maneno gani hutaja mwendo wa wanyama katika kundi?
• herd (v), flock (v), swarm (v), herd instinct, fly in formation, move as a herd,
(14) Maneno gani hutaja nyayo za mnyama?
• track,
1.6.4.2 Mnyama alavyo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanyama walavyo. Kwa sababu wanyama wanakula kwa namna tofauti kuliko watu, lugha zingine zitakuwa na maneno maalumu kwa jinsi mnyama anavyokula.
(1) Maneno gani hutaja jinsi wanavyokula mamalia?
• graze, feed, chew the cud
(2) Maneno gani hutaja jinsi wanavyokula wanyama walacho nyama?
• devour, gorge, tear (prey)
(3) Maneno gani hutaja jinsi ndege wanavyokula?
• peck,
(4) Maneno gani hutaja jinsi nyoka wanavyokula?
• swallow
(5) Maneno gani hutaja jinsi wadudu wanavyokula?
• suck blood, bloodsucking, chew (holes in leaves)
1.6.4.3 Sauti za wanyama
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayoelezea sauti ya wanyama. Fikiria kila aina ya mnyama na sauti yake.
(1) Maneno gani hutaja sauti za mnyama kwa jumla?
• mlio, ukelele
(2) Ng'ombe wanatoa sauti gani?
• kulia 'moo'
(3) Farasi wanatoa sauti gani?
• neigh, whinny, bray (donkey),
(4) Kondoo wanatoa sauti gani?
• kulia 'baa'
(5) Nguruwe wanatoa sauti gani?
• grunt, snort, squeal,
(6) Mbwa wanatoa sauti gani?
• kubweka, kulia kwa ukelele
(7) Paka wanatoa sauti gani?
• kulia 'meow', kukoroma
(8) Simba wanatoa sauti gani?
• kunguruma
(10) Panya wanatoa sauti gani?
• squeak,
(10) Ndege wanatoa sauti gani?
• kulia kama bundi, mlio mwembamba, kuimba, kupiga mluzi
(11) Kuku wanatoa sauti gani?
• cackle, cluck, crow, cockle doodle doo
(12) Nyoka wanatoa sauti gani?
• kufanya 'sss' kama nyoka
(13) Chura wanatoa sauti gani?
• kulia kama kukoroma
(14) Mamba wanatoa sauti gani?
• roar
(15) Samaki wanatoa sauti gani?
• kufanya sauti kama maji yanayorukaruka
(16) Wadudu wanatoa sauti gani?
• kulia vyembamba, kuvuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vitendo vya wanyama.
(1) Maneno gani hutaja uwezo wa mnyama kufanya jambo bila kujifunza jinsi ya kufanya?
• instinct, instinctive
(2) Maneno gani hutaja wanyama wanapowinda wanyama wengine?
• kuwinda, kunyemelea, kunyendea, kunyapa
(3) Maneno gani hutaja wanyama wanapolala wakati wa msimu mzima wa baridi?
• hibernate
(4) Maneno gani hutaja vitendo vya ndege?
• kujikalia kiotani usiku
(5) Maneno gani hutaja vitendo vya nyoka?
• kushambulia, kujizungusha
(6) Maneno gani hutaja vitendo vya samaki?
• kuangulia mayai
(7) Maneno gani hutaja vitendo vya wadudu?
• kuuma, kukusanya mbichi ya maua
Share with your friends: |