2.3.5.1 Kustarehe
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kustarehe--yaani kuhisi vizuri kwenye mwili wako kwa sababu hakuna kitu chochote kinachokuzunguka ambacho kinakufanya ujisikie vibaya.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kustarehe?
• comfortable, comfort, comfy, in comfort, snug
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinakufanya ustarehe au kuhisi vizuri?
• comfortable, cozy, snug, smooth, luxurious
(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinakufanya ustarehe au kuhisi vizuri?
• comfort, luxury,
(4) Maneno gani hutaja hisia starehevu au nzuri?
• comfort,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kukufanya ustarehe au kujisikia vizuri?
• make yourself comfortable, settle down, snuggle
(6) Maneno gani hutaja hali ya kutostarehe au kutojisikia vizuri?
• uncomfortable, discomfort
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachokufanya usistarehe au kuhisi vibaya?
• uncomfortable, rough, bumpy
(8) Maneno gani hutaja hali ya kuishi bila vitu ambavyo vinakufanya ustarehe au kujisikia vizuri?
• rough it, austere, austerity, Spartan
2.3.5 Mlango wa kugusa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mlango wa kugusa--yaani kuhisi kitu kwenye ngozi yako, kuhisi joto au baridi, kuhisi umechoka au umechangamka.
(1) Maneno gani hutja tendo la kugusa au kuhisi kitu?
• feel,
(2) Maneno hani hutaja tendo la kujaribu makusudi kugusa au kuhisi kitu?
• feel, touch, palpate,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kugusa au kuhisi kitu kwa mwili wako wote?
• feel (hot/cold/tired/sick), experience, come over all,
(4) Maneno gani hutaja uwezo wa kugusa na kuhisi?
• feeling, sense of touch, sense of feeling
(5) Maneno gani hutaja hisia?
• feeling, sensation,
(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho kinahusiana na kugusa au kuhisi?
• tactile,
(7) Maneno gani hutaja jinsi kitu kinavyogusika au kinavyohisika?
• feel (n), texture,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu kimoja kina hisia sawa na kingine au kina hisia ya aina husika?
• feel like, feel of, feel (good/bad), have a (good/bad) feel, (tired) feeling,
(9) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi vizuri?
• comfortable,
(10) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi vibaya?
• uncomfortable,
(11) Maneno gani huelezea kitu chenye hisia nzuri?
• soothing, pleasurable, sensuous,
(12) Maneno gani huelezea kitu chenye hisia mbaya?
• irritating, itchy, prickly, scratchy, ticklish, tingly,
(13) Maneno gani hutaja hisia nzuri?
• pleasure, comfort,
(14) Maneno gani hutaja hisia mbaya?
• pain, itch, irritation, tickle,
(15) Watu hutumia maneno gani kusema kwamba kitu kina hisia mbaya?
• ouch,
(16) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kugusika?
• kuweza kugusika, yenye fahamu ya kugusa
(17) Maneno gani huelezea kitu kisichoweza kugusika?
• kutokugusika
(18) Maneno gani hutaja uwezo wa kuhisi vitu kuzidi watu wengi?
• sensitive, feel the (heat/cold)
(19) Maneno gani hutaja hali ya kushindwa kuhisi kitu chochote?
• be numb, have no feeling, can't feel anything, be insensitive (to pain), go to sleep, go dead, go numb, lose feeling,
(20) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu asihisi kitu chochote?
• anesthetize, numb (an area), deaden,
Page 2.4.1 Kuwa na nguvu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na nguvu--yaani uwezo wa kuinua mzigo mzito au uwezo wa kufanya kazi kwa bidii.
(1) Maneno gani humwelezea mtu mwenye nguvu?
• mwenye nguvu, kukakawana
(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye nguvu na mnene?
• stocky, burly, brawny, beefy, hefty,
(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye nguvu na mwembamba?
• wiry, sinewy,
(4) Maneno gani humwelezea mtu mwenye nguvu na afya nzuri?
• sturdy, robust, hardy, tough, resilient,
(5) Maneno gani hutaja nguvu ya mtu?
• strength, power, brawn, force, might, energy, vigor, toughness,
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anafanya kazi au anakimbia kwa muda mrefu?
• fit, physically fit, athletic,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kuweza kufanya kazi au kukimbia kwa muda mrefu?
• be in shape, be in good condition, keep fit, stay in shape, keep in shape,
(8) Maneno gani hutaja uwezo wa kufanya kazi au kukimbia kwa muda mrefu?
• stamina, staying power, endurance, physical fitness,
(9) Maneno gani hutaja mtu mwenye nguvu?
• kakawana, dume
(10) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu awe na nguvu zaidi?
• strengthen, bolster,
(11) Maneno gani humwelezea mtu anayefanya mambo mengi na kwa haraka?
• energetic, full of energy, have lots of energy, active, vigorous,
2.4.2 Dhaifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mdhaifu.
(1) Maneno gani humwelezea mtu aliye mdhaifu?
• dhaifu, hafifu
(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mdhaifu kwa sababu ya kuwa mzee au mgonjwa?
• feeble, frail, fragile, shaky, unsteady, infirm, anemic, debilitated, unsound,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mdhaifu na anaweza kuumia au kuugua kwa urahisi?
• vulnerable, defenseless, powerless,
(4) Maneno gani hutaja udhaifu wa mtu?
• weakness, infirmity, disability, vulnerability,
(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hawezi kufanya kazi au kukimbia kwa muda mrefu?
• unfit, not be in shape, be out of condition, be out of shape,
(6) Maneno gani humtaja mtu mdhaifu?
• mdhaifu, asiye na nguvu
(7) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu awe na udhaifu zaidi?
• weaken, debilitate, enfeeble
Share with your friends: |