Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page40/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   36   37   38   39   40   41   42   43   ...   206

3.2.1.3 Kuwa na akili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanamwelezea mtu ambaye anafikiri vizuri.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anafikiri vizuri?

intelligent, brainy, bright, brilliant, capable, clever, crafty, discerning, educated, ingenious, insightful, keen, knowledgeable, learned, literate, perceptive, philosophical, profound, rational, scholarly, sharp, shrewd, sly, smart, sophisticated, sound, wily, have a lot of sense, have a high IQ,

(2) Maneno gani humwelezea mtoto mwenye akili?

bright, gifted, precocious, prodigy, whiz kid

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anafikiri haraka?

quick, sharp, whiz, be quick on the uptake, be on the ball, think on your feet

(4) Maneno gani humwelezea mtu mwenye akili, msomi, na anayefikiri sana?

intellectual, academic, learned, brains, intelligentsia

(5) Maneno gani humuelezea mtu ambaye ana maamuzi mazuri?

wise, sagacious, prudent, sensible, good sense, sound judgment

(6) Maneno gani hutaja uwezo wa kufikiri vizuri?

ability, capacity, circumspection, cleverness, competence, cunning, discernment, discretion, discrimination, insight, intelligence, IQ, judgment, knowledge, philosophy, profundity, prudence, rationality, reasoning, sagacity, sanity, sense, sensibility, shrewdness, smarts, sophistication, understanding, wisdom, wit

(7) Maneno gani humtaja mtu anayefikiri vizuri?

academician, genius, highbrow, illuminati, intellectual, literati, magus, philosopher, priest, prodigy, sage, scholar, scholastic, thinker, able thinker, wise man,

3.2.1.4 Mpumbavu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanamwelezea mtu ambaye hafikiri vizuri.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hafikiri vizuri?

asinine, blind, brainless, crass, crazy, daft, delirious, demented, dense, dim, dizzy, doltish, dull, dull-witted, dumb, fanatical, fatuous, foolish, harebrained, idiotic, inane, ingenuous, insane, insensitive, irrational, lumpish, moronic, naive, nonsensical, obtuse, retarded, senile, senseless, silly, simple, slow, slow-witted, stupid, thick, thickheaded, undiscerning, unimaginative, unperceptive, unsound, witless, lacking in intelligence, mentally lazy,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anafanya maamuzi mabaya?

foolish, shortsighted, unwise

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutokuweza kufikiri vizuri?

derangement, idiocy, imbecility, insanity, lunacy, madness, senility, stupidity,

(4) Maneno gani hutaja kitu fulani ambacho mtu anasema au kufanya na kitu hicho ni kipumbavu?

absurdity, nonsense,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye hafikiri vizuri?

airhead, blockhead, dolt, donkey, dullard, dumbbell, dummy, dunce, dupe, fanatic, fool, idiot, imbecile, moron, numskull, scatterbrain, sucker,

3.2.1.5 Mantiki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea tendo la kufikiri kwa mantiki.

(1) Maneno gani huelezea tendo la kufikiri kwenye mantiki?

logical, sound, rational, reasonable, well thought out, well-founded, make sense, hang together, coherent, add up

(2) Maneno gani hutaja njia ya kufikiri kimantiki?

logic, reasoning

(3) Maneno gani huelezea kufikiri ambako si kwa mantiki?

illogical, irrational, make no sense, not hold water, not stand up, not add up

3.2.1.6 Silika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayaohusiana na silika--yaani kujua kitu fulani pasipo kuambiwa, kujua namna ya kufanya pasipo kufundishwa kukifanya hicho kitu au hilo jambo.

(1) Maneno gani hutaja uwezo wa asili wa kujua kitu cha kufanya?

instinct, instinctive, intuition, intuitive, sixth sense, gut feeling, just seem to know

3.2.1 Ufahamu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja ufahamu--yaani sehemu ya mtu ambayo inafikiri.

(1) Maneno gani hutaja ufahamu na mambo yake?

mind, intellect, intelligence, reason, understanding, brain, head

3.2.2.1 Kujifunza kwa kusoma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujifunza kwa kusoma--yaani kujaribisha kujifunza kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujifunza kitu fulani kwa kusoma?

study, analyze, check, concern yourself with, consider, determine, examine, experiment (v), follow, inquire into, investigate, learn, look into/for, look something up, probe, prowl, seek, search, research, study, test, trace, track, trail, try to find out about,

(2) Maneno gani hutaja hatua za kujaribu kujifunza kitu fulani?

evaluation, examination, experiment (n), investigation, inquiry, quest, study, search

(3) Maneno gani hutaja somo ambalo limekuwa likisomwa?

subject, topic, question

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusoma kitu fulani mara ya pili?

review, revise (British)

(5) Maneno gani humtaja mtu anayejifunza kitu fulani kwa kusoma?

astronomer, biologist, botanist, detective, investigator, linguist, mathematician, operative, reconnoiterer, scientist, scout, spy, undercover agent, zoologist

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapenda kujifunza kwa kusoma?

studious, inquisitive,

3.2.2.2 Kuhakikisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuhakikisha kitu fulani--yaani unapofikiri kwamba kitu fulani ni cha kweli au kipo sahihi, lakini hauna uhakika, unafanya kitu ili kugundua kama hiki ni cha kweli au kipo sahihi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhakikisha kitu fulani ili kuangalia kama ni kweli au kama kipo sahihi?

check, make sure, make certain, double-check, verify, confirm, check out, crosscheck, see for yourself, check up on,

3.2.2.3 Kutathmini, kupima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hatua za kuamua ukweli au uongo wa kitu fulani, au kuamua asili au uthamani ya kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja hatua za kuamua ukweli wa kitu fulani?

adjudge, adjudicate, assay, assess, assessment, calculate, consider, decide, decision, determine, discern, estimate, evaluate, evaluation, examine, gauge, judge, judgment, judicious, question, regard, render, scrupulous, seek (truth), size, taste, test, testing, view

(2) Maneno gani hutaja hatua za kubainisha thamani ya kitu fulani?

appraisal, appraise, evaluate, weigh (the merits of)

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuchagua kati ya vitu viwili ni kipi kilicho bora?

differentiate, differentiation, discriminate, distinguish, rank, rate, rating, separate, hold in esteem, hold up,

(4) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinafikirika kuwa ni bora?

choice,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kitu fulani sio kizuri kama kitu kingine chochote?

discount, disregard, devalue, dismiss

(6) Maneno gani hutaja tofauti kati ya vitu viwili?

difference, distinction, distinctions,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuhukumu vibaya?

indiscriminate, miscalculate, misjudge, overestimate, uncritical,

(8) Maneno gani humtaja mtu anayetathimini?

referee, tester,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kutoa taarifa juu ya tathimini?

report, reputation, reward,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kutathiminishwa kuwa ni bora kuliko mwanzoni?

move up, rise, climb, shoot up,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   36   37   38   39   40   41   42   43   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page