Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page81/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   77   78   79   80   81   82   83   84   ...   206

4.3.1.2.1 Chini ya kiwango


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuenenda chini ya kiwango.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokukubaliwa?

kutokukubaliwa, kuwa chini ya kiwango, kukataliwa, kuwa na upungufu, kukosa alama, kushindwa, kutokufikia, kutokufaa

(2) Maneno gani hutaja mwenendo usiokubalika?

kutenda kinyume, kutokupendeza, isiyofurahisha, kukosa adabu

(3) Maneno gani huelezea mwenendo wa mtu atendaye kwa kukataliwa?

kukataliwa, kutopendeza

4.3.1.2 Kufikia kiwango


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufikia kiwango.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kukubalika?

kufikia namna bora, kukubalika, kuwa kamilifu, kawaida

(2) Maneno gani hutaja mwenendo unaokubalika?

kufaa, kupendeza, adabu

(3) Maneno gani huelezea mwenendo wa mtu ambaye hutenda kwa kukubaliwa?

kukubaliwa, kufaa, kawaida, kupendeza, mwenye adabu, mwenye namna nzuri

4.3.1.3.1 Asiye mpevu


Tumia eneo la maana kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutotenda kwa upevu--ama mtoto ama mtu mzima kutenda kama mtoto.

(1) Maneno gani humwelezea mtu asiye mpevu?

immature, babyish, boyish, callow, childlike, childish, girlish, inexperienced, infantile, irresponsible, naive, puerile, rookie, sophomoric, spoiled,

(2) Maneno gani humtaja mtu asiye mpevu?

baby,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo lisilo pevu?

be immature, act like a child

(4) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa mpevu?

immaturity,

(5) Maneno gani huelezea jambo lisilo pevu ambalo mtu anafanya?

immature, childish, infantile, juvenile, puerile, silly,

(6) Maneno gani humwelezea mtoto mbaya?

naughty, badly-behaved, mischievous, spoiled,

(7) Maneno gani humtaja mtoto mbaya?

brat, nuisance, pest, bully,

4.3.1.3.2 Mzingativu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mzingativu--yaani kufikiri kuhusu unachofanya.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mzingativu?

sensible, thoughtful, astute, calculating, cautious, circumspect, discreet, discriminating, foresighted, judicious, logical, practical, pragmatic, prudent, rational, realistic, reasonable, sagacious, sane, sensible, sensibly, sensitive, sound, thoughtful, wholesome

4.3.1.3 Mpevu


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na kutenda kwa upevu--yaani si kutenda kama mtoto bali kutenda kama mtu mzima.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mpevu?

mature, adult (adj), responsible,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo kwa upevu?

be mature, act like an adult, act your age,

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mpevu?

maturity,

Maneno gani hutaja jambo lenye upevu ambalo mtu amefanya?

mature,

(5) Maneno gani huelezea jambo lenye upevu ambalo mtu amefanya?

maturely,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kuwa mpevu?

mature (v), grow up,

4.3.1.4 Sifa


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na sifa njema--yaani watu wengi wanampenda mtu fulani kwa sababu anafanya mambo mema na hafanyi mambo mabaya.

(1) Maneno gani hutaja sifa ya mtu fulani?

reputation, standing, image, name, character,

(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye sifa njema?

reputable, of repute, prestigious,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kupata sifa njema?

kupata sifa njema, kuwa na jina jema, kufikiriwa vizuri

(4) Maneno gani hutaja sifa njema?

good reputation, prestige, stature,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu sifa ya mtu mwingine?

harm someone's reputation, damage someone's reputation, give someone a bad name, bring someone into disrepute, discredit, bring discredit on,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na sifa mbaya?

kuwa na sifa mbaya, heshima mbaya, kufikiriwa vibaya

4.3.1.5.1 Mwenye pupa


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa pupa--yaani mtu anakasirika au anafanya jambo baya kama yuko katika mazingira magumu kwa muda mrefu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mwenye pupa?

impatient, intolerant,

(2) Maneno gani hutaja kuwa na pupa?

mwenye pupa, kusubiri kwa pupa

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa na pupa?

impatience, intolerance,

(4) Maneno gani huelezea hali inayomsababisha mtu awe na pupa?

intolerable,

4.3.1.5.2 Mtu chungu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mtu mchungu--yaani kutenda kwa hasira au kama mkimwa.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mchungu mara kwa mara?

bad-tempered, grumpy, grouchy, disagreeable, cantankerous, uptight,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mchungu kwa muda mfupi?

be in a bad mood, be in a huff, be in one of his bad moods, got out of bed on the wrong side, got out on the wrong side of the bed

(3) Maneno gani humweleza mtu anayekataa kuzungumza kwa sababu amekasirika?

sullen, surly, sulky, sulk, be in a sulk, give someone the silent treatment,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anakasirishwa kwa urahisi na mambo yasiyo muhimu?

irritable, crotchety, petulant, fractious,

(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hukasirika kwa urahisi?

short-tempered, quick-tempered, have a short fuse, temper,

(6) Maneno gani humtaja mtu mchungu?

grouch,

4.3.1.5 Mvumilivu


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mvumilivu--yaani kama mtu ni mvumilivu, hakasiriki na kufanya mambo mabaya hata kama yuko katika mazingira magumu kwa muda mrefu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mvumilivu?

patient, persevering, accommodating,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuwa mvumilivu?

be patient, bear, endure, persevere, patiently, persist, plod, plug, tolerate,

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mvumilivu?

patience, constancy, endurance, steadfastness,

(4) Maneno gani huelezea hali ambayo mtu anaweza kuivumilia?

bearable, endurable, tolerable,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   77   78   79   80   81   82   83   84   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page