8.1.6.1 Sehemu
Vitu vingine vina sehemu zake. Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya kitu fulani, na kwa maneno yanayoelezea dhana kwamba kitu fulani kina sehamu, kwamba kitu fulani ni sehemu ya kingine, au kwamba kitu fulani kinaunganisha kitu kizima na sehemu nyingine.
(1) Maneno gani hutaja sehemu ya kitu?
• sehemu
(2) Maneno gani hutaja sehemu ambazo kitu fulani kinatenganeza nazo?
• component, element, piece, ingredient, constituent
(3) Maneno gani hutaja hatua au sehemu za mfuatano wa mambo?
• stage, phase, round,
(4) Maneno gani hutaja sehemu (au idara) za shirika?
• branch, department, division, section, sector, wing, end, subdivision,
(5) Maneno gani hutaja sehemu za hadithi?
• episode, installment, chapter, scene, part, extract, excerpt, clip,
(6) Maneno gani hutaja sehemu za tatizo fulani?
• aspect, side, dimension, facet, factor, feature, detail,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa sehemu ya kitu fulani?
• be part of, form a part of, inherent,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kina sehemu?
• have, of, -'s, consist of, be made of, be made up of, be composed of, comprise, be divided into, include
8.1.6.2 Kipande
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sehemu ya kitu fulani ambayo imevunjika au kukatika.
(1) Maneno gani hutaja kipande cha kitu fulani?
• piece, bit,
(2) Maneno gani hutaja kipande kilichona janibu zilizo sawasawa?
• block, cube, slab, bar,
(3) Maneno gani hutaja kipande ambacho hakina mfumo wa kawaida?
• chunk, hunk, lump, dollop,
(4) Maneno gani hutaja kipande chembamba?
• sheet, slip, pane, slice,
(5) Maneno gani hutaja kipande kidogo sana?
• grain, flake, speck, fleck, crumb, morsel, tidbit, dot, mote,
(6) Maneno gani hutaja kipande kidogo kinachobaki baada ya kitu fulani kupasuka?
• fragment, scrap, splinter, chip, shard,
(7) Maneno gani hutaja kipande ambacho kimetenganezwa kwa kugawanyika kwa njia moja au nyingine?
• pinch (of salt), cut (of meat), slice (of bread), bite (of cake)
8.1.6 Zima, kamili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo lililokamilika -- yaani, vitu vyote vya kitu fulani bila kukosa hata kidogo.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani ni kizima au kimekamilika?
• complete, full, whole, in full, in its entirety, be all there, all of, entire, intact, undivided, united,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kiwe kizima au kikamilike?
• complete, make up, assemble,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani siyo kizima au hakijakamilika?
• incomplete, partial, missing something,
8.1.7.1 Ya ziada
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na ya ziada -- yaani, kuwa na ya kutosha au zaidi ya kitu ambacho umekihitaji.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na ya ziada?
• have extra,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba ipo zaidi kuliko kiasi inayotosha kwa shughuli fulani?
• plenty of, more than enough, bags of, in large quantities, plentiful, ample, abundant, an abundance of, in abundance, copious, galore, to spare,
(3) Maneno gani hutaja kiasi ambayo ni ya ziada?
• extra (n), surplus, excess, leftover, overflow,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni cha ziada?
• extra (adj), spare, superfluous,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na ya ziada mpaka hutawahi kuweza na kutumia au kumaliza yote?
• too much, too many, excessive,
8.1.7.2 Utovu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya utovu -- yaani, kutokuwa na ya kutosha.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na mali ya kutosha?
• kupungukiwa, upungufu
(2) Maneno gani huelezea kitu unachokikosa?
• inadequate, insufficient, meager, needed, poor, scant, scanty, scarce, short,
(3) Maneno gani hutaja kitu unachokikosa?
• lack (n), want (n), deficiency, scarcity, shortage,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na chakula cha kutosha au hela ya kutosha kwa mahitaji ya kila siku?
• destitute, can't make ends meet, starve,
8.1.7.3 Hitaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuhitaji kitu fulani kwa shughuli fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuhitaji kitu fulani?
• need, be in need of, require, be a need for, could do with, have a need, be in a pinch, be in want,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuhitaji kitu fulani sana?
• be desperate for, be crying out for, can't do without, be dependent on, depend on, rely on, be reliant on, badly need,
(3) Maneno gani hutaja kitu kinachohitajika?
• someone's needs, necessity, requirement, need (n),
(4) Maneno gani huelezea kitu kinachohitajika?
• necessary, essential, vital, indispensable, be a necessity, be a must, requisite, prerequisite, required,
(5) Maneno gani hutaja hali ya mtu fulani kuhitaji jambo fulani?
• need (n), time of need, dependence, reliance,
(6) Maneno gani huelezea mtu ambaye anahitaji jambo fulani?
• needy, dependent,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kitu fulani kuhitaji jambo fulani likifanyie?
• need, be in need of, could do with,
(8) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linasababisha jambo lingine lifanyike?
• make it necessary, necessitate, call for, entail, take, need, require,
(9) Maneno gani hutaja hali ya kutosheleza hitaji fulani?
• meet a need, satisfy a need, fulfill requirements, meet requirements, meet the demand, fill a need,
(10) Maneno gani hutaja hali kutohitaji kitu fulani?
• don't need, can do without, can manage without, have no need of, have no use for, can dispense with,
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakihitajiki?
• unnecessary, needless, gratuitous, dispensable, luxury,
(12) Maneno gani huelezea mtu ambaye hahitaji kitu chochote?
• independent,
Share with your friends: |