3.5.9.1 Redio, televisheni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na redio na luninga au televisheni.
(1) Maneno gani hutaja aina tofauti za vyombo vya habari?
• radio, television
(2) Maneno gani hutaja programu (mpango)?
• program, ad
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza programu?
• broadcast
(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye anazungumza kwenye redio na kwenye luninga (televisheni)?
• reporter, anchorman, disk jockey
(5) Maneno gani hutaja vituo vya redio na luninga (televisheni)?
• station, band, frequency, reception,
3.5.9.2 Simu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na simu.
(1) Maneno gani hutaja simu?
• telephone, phone, cell phone
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza na mtu kwenye simu?
• speak/talk on the phone, be on the phone
(3) Maneno gani hutaja tendo la kupiga simu?
• call (up), ring, phone (v), dial
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukata simu?
• hang up
(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye anafanya kazi katika kampuni ya simu?
• operator
(6) Maneno gani hutaja matatizo ya kupiga simu?
• busy signal, go dead, wrong number
3.5.9.3 Gazeti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na magazeti.
(1) Maneno gani hutaja magazeti?
• newspaper, paper, magazine, press, periodical
(2) Maneno gani hutaja vitu vilivyyoandikwa kwenye magazeti?
• article, editorial, column
(3) Maneno gani humtaja mtu anayefanya kazi kwenye kampuni ya magazeti?
• reporter, editor, newsboy
(4) Maneno gani hutaja toleo fulani la gazeti?
• issue, edition
3.5.9.4 Sinema
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanahusiana na filamu na sinema.
(1) Maneno gani hutaja filamu?
• movie, show, film
(2) Maneno gani hutaja mahali ambapo filamu zinaonyeshwa?
• theater, cinema, movie house, movie theater, drive-in, box office, ticket office, auditorium, aisle, screen, projector
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha filamu?
• show, screen, intermission
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia filamu?
• go to the movies, watch a movie, go to the cinema, go to the pictures, audience, moviegoer, ticket
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza filamu?
• film, direct
(6) Maneno gani humtaja mtu anayetengeneza filamu?
• director, producer, camera crew
(7) Vitu gani hutumika kwa kutengeneza filamu?
• camera, set, prop, studio
3.5.9.5 Muziki iliyorekodiwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kurekodi muziki.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kurekodi muziki?
• record, make a recording, cut a record, tape
(2) Maneno gani hutaja muziki uliorekodiwa?
• music, record, tape, cassette, CD, compact disc
(3) Maneno gani hutaja tendo la kupiga muziki?
• play, listen, play back, put on
(4) Maneno gani hutaja mashine inayopiga muziki?
• turntable, tape recorder, tape deck, tape player, CD player, juke box, music system, hi-fi, stereo, amplifier, speaker, boom box, walkman
(5) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha sauti ya muziki?
• turn up, turn down, adjust the volume
(6) Maneno gani humtaja mtu au kampuni ambayo inarekodi muziki?
• studio, record company
3.5.9.6 Mashine za mawasiliano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mashine au vifaa vya mawasiliano.
(1) Vifaa na mashine gani hutumika katika kuwasiliana?
• simu, redio
3.5.9 Vyombo vya habari
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na redio, luninga (televisheni), magazeti, na aina nyingine za vyombo vya habari.
(1) Maneno gani hutaja aina tofauti za vyombo vya habari?
• radio, television, newspaper, magazine
(2) Maneno gani hutaja programu na ujumbe?
• program, article
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza programu?
• broadcast
Page 3.6.1 Kuonyesha, kueleza, kufafanua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwonyesha mtu namna kitu fulani kinavyofanya kazi, au kuelezea jambo kwa mtu mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha namna kitu kinavyofanya kazi au namna ambavyo jambo fulani linavyofanywa?
• show, demonstrate
(2) Maneno gani yanahusiana na tendo la kueleza kwa maneno tu?
• kueleza, kufafanua, kufasiri, kufasirisha
(3) Maneno gani hutaja jambo ambalo linasemwa kuhusu jambo fulani?
• comment, remark, observation,
3.6.2 Shule
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na shule.
(1) Maneno gani hutaja shule?
• school,
(2) Maneno gani hutaja shule kwa ajili ya umri mbali mbali?
• nursery school, kindergarten, grammar school, elementary school, secondary school, high school, university, college,
(3) Maneno gani hutaja aina maalumu ya shule?
• public school, state school, private school, boarding school, co-educational, comprehensive school, religious school, seminary, academy
(4) Maneno gani hutaja eneo katika shule?
• classroom, lecture hall, playground, sports field, gymnasium, auditorium, staffroom
(5) Maneno gani hutaja kundi la wanafunzi shuleni?
• class, grade, form, year, set, student body,
(6) Vifaa gani vinatumika shuleni?
• meza, dawati, kiti, ubao darasani, chokaa, kifutio
(7) Maneno gani hutaja tendo la kufika au kuhudhuria shuleni?
• attend, go to school, enter school
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka au kuacha shuleni?
• leave, graduate, drop out, dropout
(9) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu aache shule kwa sababu ya tabia mbaya?
• expel, kick out, suspend,
Share with your friends: |