3.5.7.4 Kuchapisha vitabu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuchapisha vitabu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza na kuchapisha vitabu?
• kutolea, kuchapa, kuchapisha
(2) Maneno gani hutaja jambo ambalo limechapishwa?
• publication, edition, issue
(3) Maneno gani humtaja mtu anayechapisha vitabu?
• publisher
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutayarisha kitabu kwa kuchapishwa?
• edit, draft, proofread, proofreader
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuchapisha kitabu?
• print
(6) Maneno gani hutaja muda ambao kitabu kimechapishwa?
• publication date, appear, come out
3.5.7.5 Kuandika kumbukumbu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuandika au kutunza kumbukumbu--yaani vitu vilivyoandikwa kwa sababu watu wanataka kuvikumbuka.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza kumbukumbu?
• record, keep a record, put on record, chart, document, register
(2) Maneno gani hutaja kumbukumbu yenyewe?
• kumbukumbu
3.5.7.6 Orodha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na orodha ya vitu.
(1) Maneno gani hutaja orodha ya vitu?
• orodha
(2) Maneno gani hutaja orodha ya watu?
• register, roll, roster
(3) Maneno gani hutaja orodha ya vitu vilivyopo kwenye kitabu?
• table of contents, index
(4) Maneno gani hutaja orodha ya matukio?
• program, schedule, agenda
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza orodha?
• kuorodhesha
(6) Maneno gani hutaja tendo la kutoa orodha?
• list, reel off
3.5.7.7 Barua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na barua--yaani ujumbe wa maandishi ambao umetumwa kwa mtu.
(1) Maneno gani hutaja barua?
• letter, note, memo, correspondence, epistle,
(2) Maneno gani hutaja barua ambazo zimetumwa au zimeletwa kwako?
• mail (n), post,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutuma barua?
• send, mail (v), post,
(4) Maneno gani humtaja mtu anayeleta barua?
• postman,
(5) Maneno gani hutaja wakala wa serikali ambao unaleta barua?
• post office, postal service,
3.5.7 Kusoma na kuandika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida ambayo yanahusiana na kusoma na kuandika kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja matendo ya kusoma na kuandika kwa jumla?
• kusoma na kuandika
(2) Maneno gani hutaja kama mtu anaweza au hawezi kusoma na kuandika?
• literate, illiterate
3.5.8.1 Maana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maana ya jambo ambalo limesemwa.
(1) Maneno gani hutaja maana ya jambo fulani?
• maana
(2) Unasemaje kwamba jambo fulani lina maana?
• mean (something), have the meaning,
(3) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo lina maana mbili?
• ambiguous, double meaning, doubletalk,
3.5.8.2 Kisicho na maana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo fulani ambalo halina maana--yaani jambo linalosemwa na mtu ambalo halileti maana.
(1) Maneno gani huelezea jambo lisilo na maana?
• bila maana, ya kipuuzi
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo ambalo halina maana?
• jabber, babble
(3) Maneno gani hutaja jambo fulani ambalo halina maana?
• nonsense, gibberish, babble, drivel, hocus-pocus, mumbo-jumbo, gobbledygook
3.5.8.3 Kisichoeleweka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokueleweka--yaani kusema jambo fulani ambalo mtu hawezi kuelewa.
(1) Maneno gani huelezea kauli au msemo ambao mtu hawezi kuuelewa?
• unintelligible, foreign
(2) Maneno gani huelezea kauli au msemo usiotambulikana kwa sababu mtu hawezi kuusikia vizuri?
• kutokutambulikana
3.5.8.4 Kuonyesha, kudokeza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuonyesha au kudokeza kitu fulani--yaani kama jambo fulani (k.m., jambo linalosemwa, au jambo linalotokea) linaonyesha jambo lingine, linasababisha watu wafikirie jambo fulani au kuelewa jambo fulani (k.m., Uso wake unapokunjika, inadokeza kwamba amehangaika.)
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kwamba jambo fulani ni jambo la kweli?
• show, be a sign, mean, indicate, reveal, make it clear, demonstrate, betray, be evidence, reflect, illustrate, bear witness to, tell
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha kwamba jambo fulani linaweza kuwa ni kweli?
• suggest, point to, imply, give the impression
(3) Maneno gani hutaja jambo likionyesha kwamba kitu fulani kina ubora mzuri?
• be a tribute to, say a lot for, reflect well on, be a testimony to
(4) Maneno gani hutaja jambo likionyesha kwamba kitu fulani hakina ubora mzuri?
• be a reflection on, be a comment on, be a symptom of, be symptomatic of, be an indictment of, not say much for, reflect badly on, make a mockery of, sign of the times
(5) Maneno gani hutaja jambo likionyesha kwamba jambo lingine litatokea?
• mean, herald, bode well, bode ill, spell
(6) Maneno gani hutaja ishara au dalili zinazoonyesha kwamba jambo fulani ni kweli?
• sign, indication, indicator, evidence, mark, trace, manifestation, symptom, omen, telltale, be a giveaway,
3.5.8 Kutafsiri jumbe, kueleza jumbe
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kufasiri jambo linalosemwa na mtu fulani--yaani kujaribu kuelewa maana ya jambo fulani linalosemwa na mtu, au kulirudia kwa kutumia maneno mengine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufasiri ujumbe?
• kufasiri, kueleza
Share with your friends: |