3.5.2.4 Kuungama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukiri au kuungama jambo--yaani kusema kwamba umekosa au maoni yako hayakuwa sahihi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuungama jambo fulani?
• kuungama, kukiri
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kuungama jambo fulani?
• kukanusha, kuhini
3.5.2 Kuhutubia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutengeneza au kuandaa hotuba--yaani kuzungumza kwa watu wengi kwa muda mrefu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhutubia?
• kuhutubia, hotuba
(2) Maneno gani humtaja mtu anayetunga au kuandaa hotuba?
• speaker, preacher, teacher, lecturer
(3) Maneno gani huwataja watu wanaosikiliza hotuba?
• audience
(4) Maneno gani hutaja kile kinachosemwa?
• speech, sermon, lecture (n), talk (n), address (n), oration, homily
(5) Maneno gani hutaja sehemu za hotuba?
• introduction, body of a speech, point, make a point, conclusion, concluding remarks,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kujua au kujifunza namna ya kutoa hotuba nzuri?
• oratory, homiletics
(7) Maneno gani humwelezea mtu anayezungumza kwa muda mrefu?
• long winded
3.5.3.1 Neno
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanahusiana na maneno au makundi ya maneno.
(1) Maneno gani hutaja neno?
• word, term, verbal,
(2) Maneno gani hutaja maneno ambayo ni sawa katika maana yake?
• synonym, synonymous, derivative, antonym, opposite of,
(3) Maneno gani hutaja maneno ambayo yana sauti zinazofanana?
• homograph, homonym, homophone, homophonous, rhyme,
(4) Maneno gani hutaja namna neno linatakiwa kusemwa?
• pronunciation, pronounce, stress, tone, vocalization,
(5) Maneno gani hutaja namna neno linavyotakiwa kuandikwa?
• spelling, spell, misspell
(6) Maneno gani hutaja neno jipya?
• coin a term, coinage, neologism,
(7) Maneno gani hutaja neno la zamani?
• archaic, archaism,
(8) Maneno gani hutaja historia ya neno?
• etymology, derivation, etymon,
(9) Maneno gani hutaja maneno maalumu?
• acronym, anagram,
(10) Maneno gani hutaja maneno maalumu ambayo hutumika kwa kuzungumza kuhusu eneo mahsusi la maisha?
• terminology, jargon, technical term, specialized vocabulary,
(11) Maneno gani hutaja maneno yote ya lugha fulani?
• vocabulary, lexicon, dictionary, glossary,
(12) Maneno gani hutaja muundo mfupi wa neno?
• abbreviation, abbreviate, be short for, for short, stand for, contraction,
(13) Maneno gani hutaja sehemu ya hotuba au kauli?
• phrase, clause, sentence, utterance, discourse, formation, locution,
(14) Maneno gani hutaja sehemu ya maandiko?
• paragraph, text, section, chapter, point, construction, document, passage, portion,
(15) Maneno gani hutaja kundi la maneno ambalo huelezea maana maalumu au mahususi?
• adage, aphorism, byword, cliché, dictum, epigram, expression, idiom, motto, phrase, proverb, saying, slogan, watchword,
(16) Maneno gani hutaja maneno mawili ambayo mara kwa mara yanatumika pamoja?
• collocate, collocate (v),
3.5.3.2 Taarifa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na taarifa--yaani jambo ambalo mtu anasema kuhusu jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja taarifa?
• taarifa
(2) Maneno gani hutaja taarifa zilizokusanywa na kuratibiwa?
• file, record, dossier, database
(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo linatoa taarifa nyingi?
• informative
3.5.3 Lugha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na lugha.
(1) Maneno gani hutaja lugha?
• language, tongue, speech, lingo
(2) Maneno gani hutaja aina ya lugha ambayo mtu anazungumza?
• dialect, foreign language, accent, pidgin, slang, colloquial,
(3) Maneno gani hutaja lugha ya kwanza uliyojifunza ulipokuwa mtoto?
• first language, mother-tongue, native speaker
(4) Maneno gani hutaja lugha uliyozoea kuzungumza kuhusu jambo mahsusi au jambo maalumu?
• terminology, jargon, specialized vocabulary, technical terms,
(5) Maneno gani hutaja lugha maalumu au lugha ya siri?
• code, sign language, computer language
(6) Maneno gani hutumika kuongea kuhusu lugha kwa jumla?
• sarufi, mambo ya kiisimu, maana
3.5.4.1 Hadithi, hekaya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hekaya au jambo lisilo la ukweli--yaani simulizi ambayo watu husimulia ambayo sio ya kweli.
(1) Maneno gani hutaja hadithi za zamani au hekaya?
• hadithi, hekaya, ngano
3.5.4.2 Msemo, methali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja msemo au methali--yaani maneno kwa ufupi ambayo watu husema kwa lengo la kufundisha jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja msemo?
• saying, proverb, adage, axiom, byword, expression, formula, maxim, moral, saw, truism, household word, well-turned phrase
(2) Maneno gani hutaja msemo uliochukuliwa kwenye kitabu au filamu?
• quotation,
(3) Maneno gani hutaja msemo ambao hutumiwa na mtu kwa kueleza imani zao?
• motto, slogan, catchphrase,
(4) Maneno gani hutaja msemo ambao hutumika mara kwa mara na watu hufikiri ni upuuzi?
• cliché, platitude,
(5) Maneno gani huelezea msemo?
• proverbial, axiomatic, pithy, succinct, terse,
(6) Watu hutumia maneno gani wanapoanza kusema msemo?
• as the saying goes, as they say, to coin a phrase,
Share with your friends: |