Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page74/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   70   71   72   73   74   75   76   77   ...   206

4.1.9.1.4 Mwana, binti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanoyotaja watoto wako.

(1) Maneno gani huwataja watoto wako?

mtoto, mwana, binti, mzao, mrithi

(2) Maneno gani huwataja watoto wako wote pamoja?

children, family, issue, brood,

(3) Ukimwoa au kuolewa na mtu fulani ambaye ana watoto, je unatumia maneno gani kwa watoto wake?

stepson, stepdaughter, stepchild,

4.1.9.1.5 Mjukuu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wajukuu wako.

(1) Maneno gani huwataja watoto wa watoto wako?

mjukuu, mjukuu wa kiume, mjukuu wa kike

(2) Maneno gani huwataja wazao wako?

mtoto, mzao, vizazi vya baadaye, dhuria

4.1.9.1.6 Kaka za wazazi wako, dada za wazazi wako


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kaka za wazazi wako, na dada za wazazi wako.

(1) Maneno gani huwataja kaka za baba yako?

baba mkubwa, baba mdogo

(2) Maneno gani huwataja dada za baba yako?

shangazi

(3) Maneno gani huwataja kaka za mama yako?

mjomba

(4) Maneno gani huwataja dada za mama yako?

mama mkubwa, mama mdogo

(5) Maneno gani huwataja kaka au dada za bibi au babu yako?

granduncle, grandaunt, great-uncle, great-aunt

4.1.9.1.7 Binamu, watoto wa kaka na dada za wazazi wako


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja binamu wako au watoto wa kaka na dada za wazazi wako.

(1) Maneno gani huwataja watoto wa kaka za baba yako?

kaka, dada, mdogo

(2) Maneno gani huwataja watoto wa dada za baba yako?

binamu

(3) Maneno gani huwataja watoto wa kaka za mama yako?

binamu

(4) Maneno gani huwataja watoto wa dada za mama yako?

kaka, dada, mdogo

4.1.9.1.8 Mpwa, watoto wa kaka na dada zako


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wapwa wako au watoto wa kaka na dada zako.

(1) Maneno gani huwataja watoto wa kaka zako?

mpwa (kwa mjomba), mwana (kwa baba mkubwa au mdogo)

(2) Maneno gani huwataja watoto wa dada zako?

mpwa (kwa shangazi), mwana (kwa mama mkubwa au mdogo)

4.1.9.1.9 Utaratibu wa kuzaliwa, mpangilio wa kuzaliwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mpangilio wa kuzaliwa.

(1) Maneno gani hutaja utaratibu ambao mtoto alizaliwa?

mtoto wa kwanza, kifungua mimba, mtoto wa mwisho, kitinda mimba, mzaliwa wa kwanza, wa pili n.k., mtoto wa katikati

(2) Maneno gani hutaja mtoto aliye wa pekee kwa wazazi wake?

mtoto wa pekee, mtoto pekee

4.1.9.1 Kuhusiana kwa kuzaliwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuhusiana kwa kuzaliwa--yaani kama mmoja wa mababu yako na mmoja wa mababu ya mtu mwingine ndiye sawa.

(1) Maneno gani hutaja kuhusiana kwa kuzaliwa?

kuhusiana kwa damu, ndugu wa damu, ukoo, nasaba

(2) Maneno gani humtaja mtu fulani anayehusiana nawe kwa kuzaliwa?

blood relation,

(3) Maneno gani hutaja kuorodhesha kwa mababu zako?

ukoo, nasaba, majina ya wazee tangu mwanzo, shajara ya ukoo

(4) Maneno gani hutaja hali ya kurithi dalili halisi kutoka kwa mababu zako?

tabia zinazorithishwa, mwelekeo wa tabia unaorithiwa na mtoto, kufanana kifamilia

4.1.9.2.1 Mume, mke


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwenzi (mume au mke) wako.

(1) Maneno gani humtaja mtu unayeungana naye katika ndoa?

mwenzi, mume, mke, mzee, mama wa watoto

4.1.9.2.2 Mkwe, shemeji


Tumia eneo hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuhusiana kwa ndoa.

(1) Maneno gani hutaja kuhusiana kindoa?

kuhusiana kindoa, ukwe

(2) Maneno gani huwataja watu wanaohusiana nawe kindoa?

mkwe, baba mkwe, mama mkwe, shemeji, wifi, wakwe, mke wa mwana (wa kiume), mume wa binti

(3) Maneno gani huelezea uhusiano kati ya wazazi na mume na wazazi wa mke wake?

(4) Maneno gani huelezea uhusiano kati ya kaka na dada za mume na kaka na dada za mke wake?


4.1.9.2 Kuhusiana kwa ndoa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuhusiana kwa ndoa.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuhusiana kwa ndoa?

kuhusiana kwa ndoa, ukwe

(2) Maneno gani hutumika kwa hali ya kuwa na mke zaidi ya mmoja?

mitala, mwenye wake wengi

(3) Maneno gani huwataja watu kutoka mataifa au makabila tofauti tofauti wanaoana?

intermarry,

4.1.9.3 Mjane


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wajane. Baadhi ya lugha zina maneno kwa wazazi ambao wamefiwa na mtoto, au mtu fulani ambaye amefiwa na kaka au dada, au neno ya kawaida kwa mtu ambaye amefiwa na ndugu.

(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye amefiwa na mume au mke?

widow, widower, dowager,

(2) Maneno gani hutaja kifo cha mwenzi wa ndoa?

kuachwa mjane, kupotewa na mume au na mke

(3) Maneno gani hutumika wakati mtu anaoa au kuolewa tena?

kuoa tena, kuolewa tena, ndoa ya pili

(4) Wakati mtu anaoa au kuolewa kwa mara ya pili, maneno gani hutumika kwa yule mume au mke wake wa kwanza?

mume wa kwanza, mke wa kwanza, mtalaka, marehemu (akiwa amefariki)

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye amefiwa na ndugu?

bereaved,

4.1.9.4 Yatima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mayatima.

(1) Maneno gani humtaja mtoto ambaye wazazi wake wameshafariki?

yatima, asiye na wazazi

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa yatima?

kuwa yatima, kuachwa yatima, kufanywa yatima

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo mayatima wanatunzwa?

orphanage,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   70   71   72   73   74   75   76   77   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page