4.3.1 Mwema, mwadilifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mwenendo mwema au mwadilifu.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mwema au mwadilifu?
• good, moral, blameless, decent, ethical, excellent, fine, high-minded, holy, honorable, just, pure, righteous, saintly, sanctified, upstanding, virtuous, worthy,
(2) Maneno gani humtaja mtu mwema au mwadilifu?
• saint,
(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mwema?
• goodness, morality, holiness, purity, righteousness, sanctification, virtue,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo jema?
• do good, be good, behave, behave yourself, be on your best behavior,
(5) Maneno gani hutaja jambo jema ambalo mtu amefanya?
• good deed, good behavior,
(6) Maneno gani huelezea jambo jema ambalo mtu amefanya?
• good, ethical, fine, right, righteous, worthy,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuwa mwema?
• improve, develop, reform,
4.3.2.1 Kumdharau mtu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumdharau mtu fulani--yaani kufikiri mabaya kuhusu mtu fulani kwa sababa unafikiri kwamba wewe ni mtu mwema kuliko yeye.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumdharau mtu fulani?
• despise, disdain, disregard, rebuff, reject, repudiate, scoff, scorn, shun, slight, sneer at, snub, spurn, be contemptuous of, hold in contempt, feel contempt for, feel superior, think someone is worthless, think poorly of, feel superior to, look down on, spit on, be cliquish, turn up your nose at,
(2) Maneno gani humwelezea mtu anayemdharau mtu mwingine?
• contemptuous, disdainful, disrespectful, haughty, scornful, snobbish, superior,
(3) Maneno gani humtaja mtu anayemdharau mtu mwingine?
• scoffer,
(4) Maneno gani hutaja hisia ya kumdharau mtu fulani?
• contempt, disdain, disregard, disrespect, hate, irreverence,
(5) Maneno gani hutaja kile unachofanya kuonyesha kwamba unamdharau mtu mwingine?
• rebuff (n), slight (n), snub (n),
(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu anafanya kuonyesha kwamba anamdharau mtu mwingine?
• withering (look), derisive (laugh),
(7) Maneno gani humwelezea mtu anayedharauliwa?
• contemptible, despicable, pitiable, pitiful, despised,
4.3.2.2 Mnyenyekevu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mnyenyekevu--yaani kutokufikiri kwamba wewe ni bora kuliko wengine, au kutokufikiri kwamba wewe ni bora kuliko jinsi ulivyo, na kutokusema au kutenda kama wewe ni bora kuliko wengine.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mnyenyekevu?
• humble, lowly, meek, mild, modest, self-deprecating, self-effacing, simple, timid, timorous, unassuming, unpretentious
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo kwa unyenyekevu?
• be humble, humbly, condescend,
(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mnyenyekevu?
• humility, humbleness, condescension, debasement, lowliness, modesty, self-abasement, self-deprecation, timidity,
(4) Maneno gani huelezea jambo la unyenyekevu mtu analolifanya?
• humble,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kuwa mnyenyekevu?
• humble yourself,
(6) Maneno gani humtaja mtu anayemsababisha mwingine anyenyekee?
• kumnyenyekeza, kumshushia hadhi
(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na unyenyekevu unaozidi kiasi?
• put yourself down, run yourself down, sell yourself short, underestimate yourself,
4.3.2.3 Mwenye fahari au majivuno
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kuwa mwenye fahari au majivuno--yaani kufikiri kwamba mtu au kitu fulani ni kizuri sana, hasa kufikiri na kusikia vizuri kuhusu wewe mwenyewe--kufikiri kwamba wewe ni mzuri sana kuliko wengine, kufikiri kwamba wewe ni mzuri kuliko jinsi ulivyo, au kuzungumza na kutenda kama wewe ni bora kuliko wengine.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na majivuno au fahari kuhusu kitu fulani au mtu fulani?
• be proud of, be pleased with, be delighted with, be thrilled with, take pride in, pride yourself on,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na majivuno au fahari kuhusu wewe mwenyewe?
• be proud of yourself, be full of yourself, fancy yourself, let something go to your head,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kujiona wewe mwenyewe?
• self-satisfied, smug, pleased with yourself, complacent,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kufikiri kwamba wewe mwenyewe ni muhimu kuzidi kweli?
• self-important, pompous, jumped up, have delusions of grandeur, get too big for your boots/britches,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kufikiri kwamba wewe mwenyewe ni mzuri sana kuliko wengine?
• snobbish, snobby, haughty, snooty, snotty, superior, stuck-up, class-conscious,
(6) Maneno gani humwelezea mtu mwenye majivuno?
• proud, aloof, arrogant, bigheaded, boastful, brash, conceited, contemptuous, egocentric, egotistic, egotistical, hoity-toity, imperious, inflated, lofty, ostentatious, pretentious, prideful, proud hearted, puffed up, self-aggrandizing, self-confident, uppity, vain,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kuwatendea wengine kwa namna ya majivuno au fahari?
• look down on, look down your nose at, be beneath you, think you're too good for,
(8) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa na majivuno au fahari?
• pride, sense of achievement, aloofness, arrogance, audacity, conceit, egotism, flashiness, haughtiness, hauteur, loftiness, ostentation, pretension, self-importance, self-respect, self-will, showiness, snobbery, snobbishness, vanity,
(9) Maneno gani humtaja mtu mwenye majivuno?
• snob, prig,
(10) Maneno gani hutaja kitu fulani au mtu fulani ambaye unajisikia majivuno au fahari kwake?
• be someone's pride and joy, be the pride of, be a credit to,
(11) Maneno gani hutaja jambo fulani linalomsababisha mtu awe na majivuno au fahari?
• go to your head,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kumwachisha mtu asitende kwa majivuno au fahari kwa njia ya kumkosoa?
• put someone in their place, wipe the smile off someone's face, cut someone down to size,
Share with your friends: |