Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page83/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   79   80   81   82   83   84   85   86   ...   206

4.3.2.4 Kujigamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujigamba--yaani kutenda kwa njia ya kuwavutia wengine wakuone au wakuangalie kwa sababu unataka wakutazame na kukuajabia.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujigamba?

show off, flash your money around, put on airs, vaunt yourself,

(2) Maneno gani humtaja mtu anayejigamba?

show-off, poseur, exhibitionist, flamboyant, dramatic,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejigamba?

showy, ostentatious, ostentatiously, flashy, pretentious, pretentiously, proudly,

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kujigamba?

showiness, flashiness, ostentation,

4.3.2 Kumwajabia mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumwajabia mtu fulani--yaani kumwajabia kwa sababu unafikiri yeye ni mtu mwema.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumwajabia mtu fulani?

admire, be an admirer of, accept, approve of, esteem (v), hold in someone in high esteem, look up to, have a high opinion of, hold someone in high regard, respect, respectful, think highly of, think well of, hold in honor,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kumwajabia mtu sana?

idolize, revere, worship, put someone on a pedestal, hero-worship,

(3) Maneno gani hutaja jinsi mtu anavyofikiri kuhusu mtu mwingine, iwe nzuri au mbaya?

estimation, opinion, regard,

(4) Maneno gani hutaja dhana au hisia kwamba mtu fulani ni mwema?

admiration, adulation, esteem (n), respect,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaajabiwa?

idol, hero, heroine,

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anaajabiwa?

admirable, estimable, honorable, idolized,

4.3.3.1 Chukio


Tumia eneo hili kwa maneno yanayotaja kumchukia mtu fulani--yaani kutaka jambo baya limtokee mtu mwingine, au kutaka kumfanyia jambo baya.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumchukia mtu?

hate, wish evil on, wish one ill, want revenge, have it in for,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutakia mambo mabaya kwa mtu fulani?

hate, hatred, animosity, antagonism, antipathy, enmity, hostility, ill will, malevolence, malice, spite,

(3) Maneno gani hutmwelezea mtu anayechukia?

hateful, hating, antagonistic, hostile, malicious, spiteful,

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayechukiwa?

hated,

4.3.3.2 Kutokujali


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana tendo la kutomjali mtu fulani.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hajali kitu?

uncaring, unconcerned, unfeeling, apathetic, indifferent, unmoved, blasé,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kutokujali?

don't care, not give a damn, couldn't care less, be past caring, shrug off,

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kutokujali?

unconcern,

(4) Maneno gani huelezea tendo linalofanyika na mtu fulani asipojali kitu?

casual, offhand, nonchalant, gaily,

(5) Watu husemaje wasipojali?

for all I care, who cares?, so what?, not my problem, not my concern, that's your problem, that's your lookout, tough!

(6) Watu husemaje wasipojali kitakachotokea (kwa sababu wangefurahi matokeo yoyote)?

not mind, not be fussy, it doesn't matter to me, it doesn't bother me, I'm easy, suit yourself, have no objection,

4.3.3.3 Kuacha pekee


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumwacha pekee mtu au kitu--yaani kuondoka na kutokurudi kwake.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuacha pekee kitu fulani?

abandon, dump, jettison, leave, leave behind,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuacha pekee kitu fulani?

abandonment, dereliction, desertion,

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeachwa pekee?

derelict,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka mahali (na kutokurudi)?

leave, leave (somewhere) never to return,

(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo umeondoka hapo (na hutarudi tena)?

ghost town, abandoned field, abandoned homestead,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumwacha pekee mtu mwingine?

desert, disown, divorce, dump, forsake, leave alone, maroon,

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye ameachwa pekee?

abandoned child, waif, street kid,

(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeachwa pekee?

abandoned, forsaken, derelict, uncared-for,

4.3.3 Pendo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumpenda mtu--yaani kujisikia vizuri kuhusu mtu mwingine, kutaka mambo mema yamtokee, na kutaka kumfanyia mambo mema.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kumpenda mtu?

love (v), like, attached, care about, cherish, be close, feel friendly toward, favor, hold in favor, feel favorable toward, be fond of, wish someone well, hope things turn out well for someone, be partial to, be enshrined in your heart,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumpenda mtu sana?

adore, worship, be devoted to, dote on, think the world of, mean the world to,

(3) Maneno gani hutaja hisia za upendo?

love (n), adoration, affection, compassion, concern, devotion, fondness, goodwill, attachment, kindness, solicitude, sympathy,

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayependa?

loving, affectionate, caring, compassionate, concerned, devoted, doting, fond, solicitous, sympathetic, tender, tender-hearted, warm, warmhearted,

(5) Maneno gani humtaja mtu anayependa?

lover, well-wishers,

(6) Maneno gani humwelezea mtu anayependwa?

beloved, dear

(7) Maneno gani humtaja mtu unayempenda?

loved ones, darling, pet, the one you love,

(8) Maneno gani hutaja jambo linalofanywa na mtu kuonyesha upendo?

act of love, act of kindness, favor,

(9) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hapendi?

unloving, uncaring,

(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hapendwi?

unloved, unlovable,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   79   80   81   82   83   84   85   86   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page