4.2.6.2.2 Mpira wa kikapu
Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mchezo fulani. Mchezo wa mpira wa kikapu ni mfano mmoja tu. Kama mchezo huo hauchezwi kwenu, elezea mchezo mwingine. Kwa kila mchezo wa kwenu, ongeza eneo lingine (4.2.6.2.2, 4.2.6.2.3, n.k.).
(1) Mchezo huo unaitwaje?
• mpira wa kikapu
(2) Maneno gani hutaja mechi moja?
• basketball game, game
(3) Aina za michezo zinaitwaje?
• half-court, full-court, pick up game
(4) Sehemu za mechi moja zinaitwaje?
• tip off, first quarter, second quarter, first half, half time, buzzer
(5) Mtu anayeshiriki katika mchezo anaitwaje?
• basketball player, star, center, forward, guard, substitute, bench
(6) Kundi la wachezaji linaitwaje?
• basketball team
(7) Kundi la timu mbalimbali linaitwaje?
• league, conference, association, National Basketball Association
(8) Kiongozi wa timu fulani anaitwaje?
• coach, to coach a team, captain, to captain a team
(9) Wasaidizi wa timu fulani wanaitwaje?
• assistant coach, trainer, recruiter, referee, timekeeper
(10) Wachezaji hufanya nini?
• play basketball, shoot, shoot a free throw, score a basket, three point play, assist, block a shot, dribble, pass the ball, catch, screen, set up a play, run a play, jump, rebound, hit the boards, tip in, stuff, double dribble, walk, step out of bounds, throw out of bounds, foul, technical foul, charge, steal the ball, fast break, guard, play defense, play offense, substitute, huddle up, throw the ball in
(11) Vifaa gani hutumika katika mchezo?
• basketball, hoop, net, backboard, uniform, basketball shoes, referee's whistle, clock, scoreboard, bench
(12) Mahali ambapo mchezo huchezewa panaitwaje?
• basketball court, arena, gym, gymnasium
(13) Sehemu za uwanja zinaitwaje?
• court, line, out of bounds, key, free throw line, jump circle
4.2.6.2.3 Aina ya mchezo wa asili (kihuno) 4.2.6.2 Michezo, mashindano ya riadha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na michezo.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mashindano kwa jumla?
• mashindano ya riadha, riadha, burudani
(2) Maneno gani hutaja michezo mahsusi?
• soka, mpira wa miguu, mpira wa kikapu
(3) Maneno gani hutaja tukio la michezo?
• tukio la michezo, mchezo, shindano, jaribio
(4) Maneno gani hutaja kundi la matukio ya michezo?
• mfululizo, mchezo wa msimu, michezo ya Olimpiki
(5) Sehemu za matukio ya michezo zinaitwaje?
• kengele ya kuanza, robo (ya kwanza, ya pili, ...), muda wa kupumzika, kengele ya mwisho
(6) Mtu anayeshiriki katika michezo huitwaje?
• mwanamichezo, mchezaji, mfungua dimba, hakimu wa michezo, nahodha, mwamuzi, mkufunzi, anayecheza kwa mshahara, anayecheza kwa kujitolea
(7) Kikundi cha wachezaji linaitwaje?
• timu, chama
(8) Kundi la timu nyingi huitwaje?
• ushirika, ligi (shiriki), jumuia
(9) Kiongozi wa timu huitwaje?
• kufundisha timu, mkufunzi, nahodha, kuongoza timu
(10) Wasaidizi wa timu huitwaje?
• mkufunzi, mkufunzi kaimu, mwalimu wa timu, mkufunzi msaidizi
(11) Maneno gani huelezea mchezaji?
• athletic, acrobatic, competitive, star,
(12) Wanamichezo hufanya nini?
• kucheza, kushindana, mashindano, kufanya bidii, kujiingiza katika mashindano, kushiriki, kufanya mazoezi, mazoezi ya viungo, kujifunza, kuvunja kanuni za mchezo
(13) Maneno gani hutaja lengo la mchezo?
• bao,
(14) Maneno gani hutumika kwa matokeo ya mchezo?
• kushinda, kushindwa, kufunga, kuwa mshindi, kushinda tuzo, kumaliza mashindano, kumaliza vizuri
(15) Washindi na walioshindwa mchezoni wanaitwaje?
• mshindi, bingwa, aliyeshindwa, mshindi (wa kwanza, wa pili ...), aliyezidi
(16) Ni tuzo gani ambayo mshindi wa mchezo hupewa?
• tuzo, kombe, ukumbusho wa kushinda, taji la maua, medali (ya dhahabu, ya fedha, ya shaba), utepe wa buluu, pesa ya zawadi, mkanda wa ubingwa, vifijo (kusifu kwa makofi), mashangilio
(17) Vifaa gani hutumika kwenye michezo?
• sare, mpira, saa, ubao wa kuhesabia magoli
(18) Mahali michezo inapofanyika panaitwaje?
• njia, uwanja (wa michezo), mahali pa kushindania, ukumbi wa michezo ya mazoezi ya viungo
(19) Sehemu za uwanja wa michezo zinaitwaje?
• mstari, njia ya mistari, vihunzi vya kuruka, goli, mstari wa kumalizia mbio
(20) Mtu anayehakikisha wachezaji wanafuata kanuni za michezo anaitwaje?
• mwamuzi, kuamua, kipenga cha mwamuzi, mtunza saa, kutunza muda, kuashiria muda, kuongoza
(21) Mtu anayeangalia michezo tu anaitwaje?
• shabiki, kiongozi wa mashabiki, mtazamaji
(22) Washabiki hufanya nini?
• kupiga kelele, kuchangamka, kutoa kelele za kutia moyo, kutia nguvu timu yao, kutoa kelele za kubugudhi kwa mwamuzi
(23) Mtu anayetoa maneno ya kuelezea mchezo huitwaje?
• mtoa maoni, mtangazaji, mtoa habari
4.2.6.3 Mazoezi ya mwili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mazoezi ya mwili.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya mazoezi ili uwe na afya na kuongeza nguvu?
• exercise, get exercise, train, work out, keep fit
(2) Maneno gani hutaja matendo ambayo watu wanayafanya kwa mazoezi ya mwili?
• gymnastics, aerobics, training, exercise (n)
4.2.6.4 Kucheza kamari
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kucheza kamari.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kucheza kamari?
• kucheza kamari, kuchezea fedha, kupinga, kuweka dau
(2) Aina za kamari zinaitwaje?
• kamari ya karata, kamari za kokoro, mbio za farasi, kamari ya gololi na kigurudumu
(3) Watu wanachezea fedha katika aina zingine gani za matukio?
• cockfight, horse race
(4) Maneno gani humtaja mtu achezaye kamari?
• mchezaji kamari, mweka dau, mpingaji
(5) Maneno gani hutaja nasibu ya mtu kushinda au kutoshinda?
• odds,
Share with your friends: |