4.3.7.1 Kutokuwa adibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwa adibu au kutowaheshimu watu wengine.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye si adibu au hawaheshimu watu wengine?
• rude, impolite, ill-mannered, discourteous, unpleasant, offensive, loutish, churlish, impudent, cheeky, impertinent, insolent, disrespectful, sassy
4.3.7.2 Kichaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa kichaa--yaani kutenda kwa upumbavu au kwa njia isiyo ya kawaida.
(1) Maneno gani humwelezea mtu mwenye kichaa?
• crazy, mad, insane, berserk, barmy, deranged, dotty, batty, flaky,
(2) Maneno gani humtaja mtu mwenye kichaa?
• maniac, lunatic, nut, nutcase, loony, madman, madwoman, nutter, wacko, weirdo,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa kichaa?
• be nuts, be crackers, need your head examined, be out of your mind, be off your rocker, be stark raving mad, be out to lunch,
(4) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa kichaa?
• craziness
(5) Maneno gani hutaja tendo mtu analofanya ambalo ni kichaa?
• craziness, insanity, lunacy, madness,
(6) Maneno gani huelezea tendo mtu analofanya ambalo ni lenye kichaa?
• crazy, insane, mad, screwy,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kusikia kuwa kichaa?
• go crazy, go mad, go nuts, go round the bend,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kutenda kama mtu mwenye kichaa?
• go crazy, go berserk, go mad, go nuts,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu asikie au atende kama mtu mwenye kichaa?
• drive someone crazy, drive someone nuts, drive someone mad, drive someone round the bend,
4.3.7 Kuheshimu, kuadibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uungwana katika jamii.
(1) Maneno gani humelezea mtu adibu?
• polite, civil, courteous, diplomatic, discreet, elegant, graceful, refined, respectful, smooth, suave, tactful, well-mannered,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha adabu?
• have good manners,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuonyesha adabu nyingi au kumheshimu mtu sana?
• correct, formal, stiff,
(4) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa adibu?
• politeness, etiquette, formality, manners, courtesy, tact,
(5) Maneno gani humwelezea mtoto adibu?
• good, well-behaved, well-brought up
4.3.8.1 Ulinganifu
Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana kubadili mwenendo wako kuwa kama ule wa wengine--yaani kujaribu kutenda kama wengine, au kutenda kama watu wengine wanavyotaka utende.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubadili mwenendo wako kuwa kama mwenendo wa wengine?
• conform,
(2) Maneno gani humwelezea mtu anayetenda kama watu wengi wengine?
• conventional,
4.3.8 Kubadili mwenendo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kubadili mwenendo, uwe mzuri zaidi ama mbaya zaidi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kubadili mwenendo kwa jumla?
• change your behavior, modify your behavior, alter your behavior, turn to something
(2) Maneno gani hutaja tendo la kubadili mwenendo kuwa mzuri zaidi?
• reform, grow up, mature, mend your ways, turn over a new leaf, shape up, improve, go straight, overcome your past
(3) Maneno gani hutaja tendo la kubadili mwenendo kuwa mbaya zaidi?
• go bad, backslide, fall into sin, your behavior is deteriorating, go crooked
(4) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kubadilisha mwenendo wa mtu mwingine?
• change someone, discipline, train, reform someone, influence, have a good/bad influence on someone, turn someone toward/away from something
4.3.9.1 Mila, desturi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mila na desturi--yaani kutenda kwa aina mojawapo ya kundi la watu wa kitamaduni.
(1) Maneno gani hutaja mila na desturi?
• custom, convention, tradition, (our) way, praxis,
4.3.9.2 Mazoea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mazoea--yaani kawaida ya mwenendo wa mtu, au mambo ambayo watu hufanya mara kwa mara au mara nyingi.
(1) Maneno gani hutaja mazoea?
• mazoea, desturi, kuzoezwa katika (kitu fulani)
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo kwa sababu umezoea kulifanya?
• have a habit of doing something, out of habit, from habit, force of habit, be accustomed to
4.3.9 Utamaduni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na utamaduni--yaani namna kundi la watu (kama vile kabila) wanavyotenda tofauti na makundi mengine.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja utamaduni kwa jumla?
• utamaduni, mila na desturi, kawaida ya ustaarabu
Page 4.4.1 Ustawi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mafanikio--yaani wakati mambo mema yanapotokea.
(1) Maneno gani hutaja maisha yanapoendelea vizuri?
• be fortunate, be blessed, have it easy, have a good life, prosper, be prosperous, everything is going well, have a good time, have plenty
(2) Maneno gani hutaja maisha mema?
• the good life, good times, prosperity, blessing, good fortune, ease, welfare, quality of life, utopia,
(3) Maneno gani huelezea maisha mema?
• bora, yenye usitawi, ya ghanima, ya neema
4.4.2.1 Tatizo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na matatizo.
(1) Maneno gani hutaja tatizo?
• problem, bind, conundrum, difficulty, dire straits, fix, jam, mess, misfortune, pickle, pinch, plight, predicament, scrape, trouble,
(2) Maneno gani yanahusiana na tendo la kutatua tatizo?
• kufumbua, kutafuta jibu, kutatua tatizo, kukomesha, kutoa jawabu
Share with your friends: |