4.4.4.6 Kuachilia huru kutoka uja au utumwa
Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana kumwachilia mtu huru kutoka uja au utumwa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwachilia mtu huru kutoka uja au utumwa?
• liberated, be free, unfettered, unbound, unchained, unleashed, pardoned, release (n), released, reprieve, parole, unrestrained, licensed, authorized, unconfined
4.4.4.7 Nafuu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nafuu.
(1) Maneno gani hutaja kuleta nafuu kwa mtu fulani?
• relieve someone's suffering, bring relief, give relief, allay, alleviate, assuage, ease someone's load, lighten someone's load, mitigate, bring respite, soften the blow, soothe
(2) Maneno gani hutaja nafuu kutoka taabu?
• relief
4.4.4.8 Hatari
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hatari--yaani kujiweka au kuweka kitu kingine katika hatari.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuthubutu kufanya jambo fulani?
• risk, run a risk, expose (oneself to danger), hazard, wager, dare
4.4.4 Kumsaidia aliye katika shida
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsaidia mtu aliye katika shida.
(1) Maneno gani yanataja mwitiko wa mtu anayemwona mtu mwingine katika shida?
• respond, help, go to help, come to the aid of
(2) Maneno gani yanahusiana na mtu anayemwitikia mtu mwenye matata?
• response, help, aid
4.4.5.1 Kuwa na bahati nzuri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na bahati nzuri.
(1) Maneno gani hutaja kuwa na bahati nzuri mara moja tu?
• lucky, fortunate, be in luck, have the good fortune to do something, fall on your feet, be in the right place at the right time, luck out,
(2) Maneno gani hutaja kuwa na bahati nzuri wakati wote?
• lucky, fortunate, some people have all the luck, lead a charmed life, not know you're born, it's all right for some,
(3) Maneno gani huelezea kitu kizuri kinachotokea kwa sababu ya bahati nzuri?
• lucky, fortunate, miraculous, a good thing, a good job, stroke of luck, fluke,
(4) Maneno gani hutaja kitu kinachosababisha kitu kizuri kimtokee mtu mwingine?
• luck, a run of good luck,
(5) Maneno gani huelezea kitu kinachosababisha bahati nzuri?
• lucky (charm/number/day),
(6) Maneno gani huonyesha kwamba jambo baya halijatokea kwa sababu ya bahati nzuri?
• luckily, fortunately, happily,
(7) Maneno gani hutaja kitu kinachoonekana kuwa na bahati mbaya, lakini badaaye kinakuja kuwa na bahati nzuri?
• blessing in disguise,
(8) Watu husemaje wanapotumaini kwamba mtu mwingine atakuwa na bahati nzuri?
• wish someone luck, good luck, best of luck,
(9) Watu husemaje wanapojaribu kuzuia bahati mbaya?
• knock on wood, touch wood, keep your fingers crossed,
4.4.5.2 Kuwa na bahati mbaya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na bahati mbaya.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na bahati mbaya mara moja tu?
• unlucky, unfortunate, have the misfortune to do something, have bad luck, be out of luck, a run of bad luck, it's one of those days, it's not my day,
(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye bahati mbaya wakati wote?
• unlucky, with my luck, just my luck, jinxed, born under a bad star, cursed,
(3) Maneno gani huelezea hali au tukio lenye bahati mbaya?
• unlucky, unfortunate, unfortunately, as bad luck would have it, be bad luck,
(4) Maneno gani huelezea kitu kinachosababisha bahati mbaya?
• unlucky, be bad luck, bring bad luck, a jinx on,
(5) Maneno gani hutaja bahati mbaya?
• bad luck, misfortune, bit of bad luck, hard luck,
4.4.5 Bahati
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na bahati--yaani jambo linapotokea bila kusudi.
(1) Maneno gani hutaja kitu kinachotokea kwa bahati?
• chance, luck, fortune, fate,
(2) Maneno gani hutaja vitu viwili tofauti vinapotokea mara moja kwa bahati?
• coincidence,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuamini kwamba vitu fulani vinasababisha bahati nzuri au bahati mbaya.
• superstition, superstitious,
Page 4.5.1 Mtu mwenye mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtu mwenye mamlaka.
(1) Maneno gani yanahusiana na mtu mwenye mamlaka katika serikali?
• mtu mwenye mamlaka, mti aliye na mamlaka, mkurugenzi, mkuu, mkuu wa wilaya, mkuu wa chuo, mzee, mamlaka, mamlaka halali, serikali za mitaa, uwezo wa kisheria wa kutenda jambo, bosi, kutawala, kuamuru
4.5.2 Kuwa na mamlaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na mamlaka.
(1) Maneno gani yanahusiana na hali ya kuwa na mamlaka?
• mwenye mamlaka, kuwa na mamlaka, ajenti wa mamlaka, ajenti mwenye mamlaka, mtawala
4.5.3.1 Kuongoza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la mtu mmoja kuwaongoza au kuwadhibiti wengine kwa sababu ana mamalaka juu yao.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kuongoza?
• kuongoza, kiongozi, uongozi, kuathiri, kuelekeza, kuonyesha, kusimamia, kudhibiti
(2) Maneno gani hutaja uwezo wa kuongoza?
• leadership, charisma, stewardship, guidance, chieftainship
(3) Maneno gani humtaja mtu anayeongoza?
• leader,
4.5.3.2 Kuamrisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwamrisha mwingine ili afanye jambo.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kuamrisha?
• kuamrisha, kuamuru, kutawala, kuongoza, kuwa na tawala, kusukuma, kulazimisha
Share with your friends: |