Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page89/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   85   86   87   88   89   90   91   92   ...   206

4.4.3.3 Kukwepa


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusina na kukwepa jambo baya, kama vile taabu, au mtu ambaye hutaki kukutana naye.

(1) Maneno gani hutaja kukwepa taabu?

avoid trouble, avoid adversity, retreat, appease, to run away

4.4.3.4 Hadhari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutahadhari.

(1) Maneno gani humwelezea mtu anayetahadhari?

cautious, caution, careful

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hatahadhari?

incautious, rash, impetuous

4.4.3.5 Kutatua tatizo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutatua tatizo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutatua tatizo?

solve, resolve, put right, find a solution, rectify

4.4.3.6 Kuvumilia shida


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana hali ya kuvumilia shida.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuvumilia shida?

endure, stand, bear, put up with

4.4.3.7 Kunusurika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kunusurika--yaani kuishi kupita wakati wa hatari.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kunusurika?

kunusurika, kuishi katika (hatari), kubaki mwishoni, kuokoka kwa ajabu, kupona kwa shida, kufaulu kutoroka, kusalia

4.4.3 Kuitikia taabu


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuiitikia taabu.

(1) Mtu hufanyaje anapoingia katika taabu?

cry for help, rise to the occasion, respond, take action, deal with

4.4 Mafanikio, kushindwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mafanikio na kushindwa.

(1) Maneno gani ya kawaida yanahusiana na mafanikio na kushindwa kwa jumla?

mafanikio na kushindwa, mali na umaskini, usitawi na kutofaulu, baraka na shida, maendeleo na kurudi nyuma

Page

4.4.4.1 Rehema


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumrehemu mtu mwingine ambaye ametenda kosa.

(1) Maneno gani yanataja hali ya kuwa na rehema kwa mtu mwingine?

have mercy, be merciful, be compassionate, feel sorry for, have a heart, be kind, empathize, empathy, pity (v), spare,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ana rehema kwa mtu mwingine?

merciful, compassionate, humane, lenient, long-suffering, sparing,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwa na rehema kwa mtu mwingine?

mercy, mercies, clemency, compassion, empathetic, forbearance, kindness, leniency, pity (n),

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hana rehema kwa watu wengine?

merciless, unmerciful, heartless, pitiless, ruthless, ruthlessness,

(5) Maneno gani humwelezea mtu anayehitaji kuonyeshwa rehema?

pitiable,

4.4.4.2 Kuhurumia, kusaidia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumhurumia mtu mwingine mwenye matata.

(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kuonyesha huruma kwa mtu mwingine mwenye matata?

feel sympathy, empathize with, feel with, sympathetic, comfort, console, compassion,

4.4.4.3 Mpole


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mpole.

(1) Maneno gani yanahusiana na hali ya kuwa mpole na mtu au kitu?

be gentle, careful, mild

4.4.4.4 Kuokoa katika shida


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwokoa mtu au kitu katika shida (jambo baya linalotokea) au hatari (jambo baya litakalotokea).

(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumwokoa mtu kwenye matata?

save, save someone's life, rescue (v), come to someone's rescue, mount a rescue, release, come to the aid of, preserve life, cover, defend, deliver, ensure someone's safety, extricate, free, guard, harbor, hide, insurance, insure, keep, preserve, protect, ransom, recover, retrieve, safeguard, safekeeping, safety, salvage, screen, secure someone's safety, grant asylum, shelter, shield, spare, pick up (a survivor), get someone out of, bail out, throw someone a lifeline, grant safe conduct

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumwokoa mtu?

salvation, rescue (n), defense, deliverance, extrication, recovery,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kujiokoa?

make it to safety, get to safety, avoid, break, bypass, dodge, duck, elude, escape, evade, evasion, flee, shake, shy away from, sidestep, give someone the slip,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amesalimika?

safe, clear, found, free, guarded, immune, impregnable, intact, invulnerable, protected, secure, security, sheltered, unharmed, unhurt, unscathed, untouched, welfare, be out of danger, at a safe distance, be in good hands, safe and sound, with a whole skin

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye anamwokoa mtu mwingine?

savior, defender, deliverer, liberator, rescuer, protector, guardian

(6) Maneno gani hutaja mahali ambapo umesalimika?

safety, place of safety, refuge, sanctuary, shelter, safe house, safe harbor, haven, stronghold, asylum, hideout, retreat

4.4.4.5 Kulinda


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumlinda mtu kutoka hatari au kuumizwa.

(1) Maneno gani hutaja kumlinda mtu fulani?

protect, protection, protective, guard, safeguard, fortify, secure, watch, keep safe, keep, insulate, encircle, defend, defense

(2) Mtu anayelinda mtu mwingine anaitwaje?

protector, guard, watchman, defender, advocate, sentry, bodyguard, defensive force

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo mtu analindwa?

fortress, fort, castle, battlement, moat, fortification

(4) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kumlinda mtu fulani?

armor, shield, guard,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   85   86   87   88   89   90   91   92   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page