Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kulipia kosa au dhambi--yaani, kufanya jambo fulani kuwa malipo ya kosa ulilolifanya, au kumpa mwingine kitu fulani kuwa malipo ya kosa uliolifanya.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kulipia dhambi au kosa?
• atone, expiate, make up for, make amends, compensate, repay, pay for, pay your debt to society,
(2) Maneno gani hutaja jambo mtu analolifanya ili kulipia dhambi fulani?
• penance, amends,
(3) Maneno gani hutaja kitu mtu anachotolea ili kulipia dhambi?
• restitution, compensation, damages, reparations, indemnity,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kulipia dhambi?
• atonement, expiation, reparation, redress,
4.7.7 Kuadhibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwadhibu mtu mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwadhibu mtu?
• kuadhibu, adhabu, nidhamu, kifungo cha maisha, kifungo, matokeo, viboko, kuchapwa viboko, kupigwa, kuteswa
(2) Vitu gani hutumika katika kumwadhibu mtu fulani?
• stocks, pillory,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumwadhibu mtu fulani kwa kumpiga?
• flog, beat, lash, scourge, whip,
(4) Vitu gani hutumika katika kumwadhibu mtu fulani kwa kumpiga?
• belt, cane, lash, paddle, rod, stick, strap, switch, whip
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumtesa au kumwumiza vibaya mtu fulani?
• torture,
(6) Vitu gani hutumika katika kumtesa mtu fulani?
• rack, screw, thumbscrew,
4.7.8.1 Agano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na agano kati ya watu wawili au kati ya makundi mawili ya watu.
(1) Maneno gani hutaja agano?
• covenant, testament, deal, agreement, bond, commitment, to trust
4.7.8.2 Kuvunja mkataba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvunja mkataba.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvunja mkataba?
• kuvunja mkataba, kubatilisha, kuvunja ahadi, kutengana
4.7.8 Mkataba wa kisheria
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mkataba wa kisheria.
(1) Maneno gani hutaja mkataba wa kisheria?
• mkataba wa kisheria, mkataba wa haki, mkataba, makubaliano, mkataba wa amani, katiba, lengo, agano, maagano
4.7.9.1 Asiyependelea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutopendelea.
(1) Maneno gani humwelezea mtu anayewatendea watu kwa usawa?
• asiyependelea, mwenye haki, adilifu, thabiti
4.7.9.2 Kutokuwa na haki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwa na haki.
(1) Maneno gani hutaja hali ya mtu kustahili au kutostahili kitu fulani?
• unfair, unjust, wrongful,
(2) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho mtu fulani hakistahili?
• undeserved, inappropriate, unwarranted, unearned,
4.7.9.3 Kustahili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kustahili kitu--yaani, ukifanya jambo fulani, ama ni zuri au baya, jambo lingine linaweza likakutokea kwa sababu ya jambo la kwanza ulilofanya. Kwa mfano, unaweza kupewa zawadi kwa ajili ya matendo mema, au adhabu kwa ajili ya matendo mabaya. Kama tendo linalofanyika kwako linalingana na tendo ulilolifanya wewe mwenyewe, watu wanaweza kufikiri ni vizuri (yenye haki) kwamba jambo lile limekufanyia.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kustahili unachopewa?
• deserve, merit, be owed, be yours by right, have earned,
(2) Maneno gani huonyesha kwamba mtu fulani anastahili shida alizo nazo?
• deserve, had it coming, get what you deserve, serve someone right, get your just deserts, get what was coming to you, your punishment fits the crime,
(3) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho mtu anakistahili?
• well-deserved, well-earned, fitting, appropriate,
4.7.9.4 Kubagua, kutokuwa mwadilifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutokuwa mwadilifu kwa mtu mwingine.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa mwadilifu kwa mtu fulani?
• kutokuwa mwadilifu, kutokuwa sawa, kutokuwa haki, kupendelea, bila sababu
(2) Maneno gani hutaja tendo au mazoea ya kutokuwa mwadilifu?
• kukosa uadilifu, upendeleo, chuki isiyo na sababu
(3) Maneno gani humtaja mtu anayemsababisha mwingine kutokuwa mwadilifu?
• kumchukiza mtu dhidi ya (fulani), kumbaguza dhidi ya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupurukusha.
(1) Maneno gani hutaja kutenda kwa kuudhi au kwa purukushani?
• purukushani, kuudhi, kuvuruga, ukali, katili
4.7.9.6 Kukandamiza, kuonea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkandamiza mtu au kundi fulani la watu--yaani mtu anapotumia nguvu au mamalaka yake kuwadhuru wengine wasio na hatia au kosa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkandamiza mtu fulani?
• oppress, bully, harass, hound, persecute, repress, tyrannize,
(2) Maneno gani hutaja tendo au mazoea ya kuwaonea watu?
• maonezi, dhuluma, mateso, udhalimu
(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye huonea?
• mwoneaji, mtesi, mshari, mswaga watu, dikteta, mtawala wa mabavu, mtawala wa kiimla
(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ameonewa?
• oppressed, persecuted, tyrannized
(5) Maneno gani humwelezea mtu anayeonea?
• mwenye maonezi, mwenye dhuluma, mkatili, wa kiimla
4.7.9 Haki, uadilifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na haki au uadilifu.
(1) Maneno gani hutaja haki au uadilifu?
• justice, fairness
Share with your friends: |