4.8 Magombano
Tumia eneo hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja magombano au husuma baina ya watu--usisahau ugomvi, kupigana, na vita. Maneno kwenye eneo la maana hili yawe ya jumla na yasiwe yanayohusiana na aina maalumu za magombano.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja magombano au husuma baina ya watu, kwa jumla?
• conflict, strife,
Page 4.8.3.1 Kuwashinda watu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwashinda watu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushinda jeshi au adui kwenye vita?
• defeat, annihilate, beat, conquer, crush, humble, kayo, lick, master, nip, outmaneuver, overcome, overpower, overwhelm, prevail over, rebuff, reduce, rout, seize, subdue, subject, subjugate, thrash, trample, tread, triumph, vanquish, whip, bring someone to his knees, scatter, gain ground, give someone a beating,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumshinda mtu katika mchezo au mashindano mengine?
• beat, defeat, outplay, be more than match for,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumshinda mtu kwa urahisi?
• rout, thrash, skunk, smash, slaughter, clobber, hammer, lick, trounce,
(4) Maneno gani huelezea ushindi mkubwa?
• crushing, overwhelmingly,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumshinda mtu kwa kutumia akili yako?
• outwit, outsmart, be too clever for
(6) Maneno gani hutaja kushindwa kwa adui?
• defeat (n), rout, beating, conquest, discomfiture, drubbing, subjection, triumph, victory,
(7) Maneno gani humtaja mtu anayewashinda maadui?
• conqueror, vanquisher, victor,
(8) Maneno gani humwelezea mtu anayewashinda maadui?
• conquering, victorious,
4.8.3.2 Kushinda ushindi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushinda ushindi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushinda katika mapigano au vita?
• win a fight, win a victory, gain the victory, be victorious, come out on top, prevail, win the day, carry the day, emerge victorious
(2) Maneno gani hutaja tendo la kushinda katika mchezo au mashindano mengine?
• win, come first, come in first, finish first, get in, first place
(3) Maneno gani hutaja tendo la kushinda kwa urahisi?
• win easily, win hands down, sweep to victory, romp home, sweep the board
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukaribia kushindwa lakini mwishowe umeshinda?
• win by a narrow margin, scrape home, scrape by, squeak by, be a close-run thing
(5) Maneno gani hutaja ushindi?
• victory, win, triumph, success, conquest
(6) Maneno gani hutaja ushindi rahisi?
• easy win, walkover, landslide,
(7) Maneno gani hutaja ushindi mgumu?
• narrow victory, close call, hard won,
(8) Maneno gani humtaja mtu au kundi linaloshinda?
• winner, winning side, victor, champion, victorious army, champ,
(9) Maneno gani hutaja kitu unachokipata kwa sababu ya kushinda?
• prize, winnings, jackpot, trophy, cup,
(10) Maneno gani hutaja hali wakati wa mapigano au mchezo inapoonekana kwamba utashinda?
• be winning, lead, be ahead, be in the lead, be out in front,
(11) Maneno gani humtaja mtu au kundi ambalo watu wanafikri kwamba litashinda?
• frontrunner, strong contender, be the favorite, be in the running,
4.8.3.3 Kushindwa katika mapigano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushindwa katika mapigano.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa katika mapigano?
• lose a fight, lose a war, be defeated, suffer defeat, be beaten, meet your match, get the worst of it, come off the worst, take a beating, go down, fall, fall victim to,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kushindwa katika mapigano?
• defeat, loss, fall,
(3) Maneno gani humtaja mtu au kundi linaloshindwa katika mapigano?
• loser, losing side, defeated army
4.8.3.4 Kujisalimisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujisalimisha kwa adui.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujisalimisha kwa adui?
• kukubali kushindwa na adui, kushindwa, kuomba amani, kukubali kusimamisha pigano, kukubali kushindwa, kuacha, kujitoa kwenye pambano, kukubali kushindwa bila masharti, kuweka silaha chini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mateka wa vita.
(1) Maneno gani humtaja mfungwa wa vita?
• mfungwa wa vita, mateka
(2) Maneno gani yanataja hali ya kutekwa?
• gereza, mateka, kufungwa, ya kutekwa, kuchukua mateka, kuteka nyara, mtumwa, mtwana, kitwana, kijakazi, utumwa
(3) Maneno gani humtaja mtu aliyetekwa vitani?
• captive, prisoner of war
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutekwa vitani?
• capture, take captive, captured,
4.8.3.6.1 Jeshi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jeshi--yaani, shirika la jeshi linalopigana kwenye nchi kavu.
(1) Maneno gani hutaja jeshi?
• the army,
(2) Maneno gani hutaja kundi la wanajeshi katika jeshi?
• army, band,
(3) Kuna aina gani za majeshi?
• squad, platoon, company, battalion, regiment, brigade, division, corps, army, army group,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni mali ya jeshi (yaani wanaopigana kwenye nchi kavu)?
• army,
4.8.3.6.2 Uanamaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uanamaji--yaani, jeshi linalopigana majini.
(1) Maneno gani hutaja uanamaji?
• the navy, naval forces,
(2) Maneno gani hutaja wanajeshi wa uanamaji?
• sailor, marine, the marines, navy flyer,
(3) Kuna aina gani za majeshi ya uanamaji?
• detachment, squadron, task force, fleet, flotilla,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni mali ya uanamaji?
• naval,
Share with your friends: |