Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya amani--yaani kujaribu kuzuia au kuachisha vitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kuzuia au kuachisha vita?
• keep the peace, peace-keeping, mediate between,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuachisha vita na maadui zako?
• settle dispute, end hostilities, restore harmony, pacify
4.8.4.9 Kupatanisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupatanisha na mtu mwingine.
(1) Maneno gani hutaja maadui wakipatanishwa?
• kufanya upatanisho, kupatanisha, kurekebisha, kurejesha, kutengeneza, kufanya amani, kupatana
4.8.4 Amani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na amani--yaani, kutopigana kwa watu au nchi fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na amani?
• peace, peacetime, be at peace with, peaceful,
(2) Maneno gani hutaja hali ya amani au utovu wa mapigano baina ya watu?
• concord, social harmony
(3) Maneno gani huelezea hali ya amani?
• peaceful, harmonious
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuanza kuwa na hali ya amani?
• kupata kuwa na hali ya amani, kufanya amani, kufanya suluhu, kusuluhisha, kuleta amani
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuhifadhi amani?
• keep the peace, peacekeeping force
Page 4.9.1 Mungu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na Mungu, yaani yule mwenye enzi kuu katika ulimwengu. Kila mfumo wa theolojia utakuwa na imani tofauti kuhusiana na uwepo na asili ya Mungu. Kusudi letu hapa ni kukusanya maneno yaliyotumika kutaja Mwenyezi Mungu. Ikiwa hakuna mfano wa aina hiyo katika mfumo wa theolojia, kisha tumia eneo hili kwa maneno mengine yanayohusiana na jamii ya miungu yote, uhakika wa mwisho, raha baada ya kufa (kwa dini ya Buddha) na mawazo yanayofanana. Walakini mifumo ya theolojia mingi, hata wale wasioamini kwamba Mungu yupo, wanalo wazo la Mungu mwenye enzi kuu na hutumia maneno kumtaja.
(1) Maneno gani humtaja Mwenyezi Mungu wa ulimwengu?
• God, the Lord, Yahweh, Elohim, Allah, Theos, Deus, Sky God, supreme being, supreme deity
(2) Maneno gani hutaja jinsi watu wanavyoamini kuhusu Mungu?
• theolojia, elimu ya tabia na sifa za Mungu na dini, imani ya kuamini Mungu mmoja, imani ya kuamini miungu wengi, imani ya kusadiki kwamba ulimwengu wote ni Mungu, kutoamini Mungu
(3) Maneno gani huelezea jambo linalohusiana na Mungu?
• divine,
4.9.2 Kiumbe cha kiroho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na viumbe vya kiroho, yaani miungu, aina za roho, mapepo, na aina nyingine za viumbe ambavyo kwa kawaida havionekani na ambavyo si vya ulimwengu huu. Baadhi ya watu wanakubali kuwepo kwa viumbe fulani vya kiroho na sio vinginevyo. Pia kuna viumbe vya kiroho wanaosimuliwa katika hadithi, hao waliokuwa wakiaminiwa katika nyakati zilizopita na ambavyo sasa hawaaminiwi tena. Viumbe vya uwongo husimuliwa katika hadithi ambavyo hakuna mtu anayeviamini. Maelekezo kama watu wengi wanaamini kiumbe husika cha kiroho yanatakiwa kuwekwa katika tafsiri. Kwa maneno yanayotaja kiumbe cha enzi kuu cha kiroho tumia neno 4.9.1 'Mungu'.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja viumbe vya kiroho, kwa jumla?
• supernatural being, spirit
(2) Maneno gani hutaja miungu midogo au ya chini, yaani siyo Mwenyezi Mungu?
• god, goddess, the gods, pantheon, deity,
(3) Kuna aina gani za viumbe vizuri vya kiroho?
• angel, angelic being, cherub, seraph, saint
(4) Kuna aina gani za viumbe vibaya vya kiroho?
• demon, devil, Satan, the Devil, Beelzebub
(5) Maneno gani hutaja roho ya mfu?
• spirit, ghost, specter, apparition, phantom, shade, ghoul
(6) Maneno gani hutaja viumbe vya kiroho ambavyo vinahesabiwa kuwa ni hadithi za zamani au vya uongo na sio vya kweli?
• Baba wa Krismasi, jitu, dubwana, pepo bawa
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachofanana na kiumbe cha kiroho au kinachohusiana na kiumbe cha kiroho?
• divine, angelic, demonic, Satanic, devilish, diabolical, ghost like, ghoulish, monstrous, alien,
4.9.3.1 Maandiko matakatifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maandiko matakatifu. Mifano imetolewa kwa maandiko matakatifu ya kikristo tu walakini unapaswa kuingiza maneno yanayotaja vitabu vitakatifu vya dini zote.
(1) Maneno gani hutaja maandiko matakatifu?
• sacred writings, Scripture, Bible, the Good Book, Gospel
(2) Maneno gani hutaja sehemu ya maandiko matakatifu?
• chapter, verse, text, Old/New Testament, Law, Prophets, Gospels, Epistles, Apocalypse
(3) Maneno gani hutaja kazi Mungu anayoifanya ili wengine waandike maandiko matakatifu?
• inspire, inspiration, revelation
(4) Maneno gani huelezea maandiko matakatifu au sehemu ya maandiko matakatifu?
• inspired, holy, scriptural, biblical, sacred, prophetic, apostolic
(5) Maneno gani huelezea kama kitabu au sura fulani ikubaliwe kuwa sehemu ya maandiko matakatifu?
• canon, canonical, apocryphal
(6) Maneno gani hutaja kitabu kinachoheshimika lakini si sehemu ya maandiko matakatifu?
• Apocrypha
(7) Maneno gani hutaja ufafanuzi wa maandiko matakatifu?
• interpretation, exegesis
(8) Maneno gani hutaja kitabu ambacho hueleza, hufasiri, au hufafanua maandiko matakatifu?
• commentary
4.9.3 Theolojia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na theolojia--yaani masomo au uchunguzi wa Mungu na jinsi watu wanavyoamini kuhusu Mungu.
(1) Maneno gani hutaja masomo au uchunguzi wa Mungu na dini?
• theology,
(2) Maneno gani hutaja jambo fulani la imani mtu analoamini kuhusu Mungu?
• doctrine, tenet, dogma, belief,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokubaliana juu ya mafundisho ya dini?
• kushika kanuni za imani mbalimbali, madhehebu, jamii ya watu wenye shauri moja, kutokubali
(4) Maneno gani hutaja imani pumbavu au ya kijinga kuhusu dini?
• superstition
Share with your friends: |